Kule Hanang' ilifikia hatua watu wakawa wanalala na buti na kuvaa helmet ili panya wasimalize miguu au wasidhuru sehemu za kichwa.Mimi hao shughuli yao naijua vzr sana Yani mpka dam kabisa lakin utastukia tu asubuhi unaumia ila wakat wanakutafuna hauskii wala kuhisi chochote
Hapana. Wapo enzi na enzi. Huku kwetu Umasaini ndani ndani huku tunawaita "endorkony' " kule uchangani wanaitwa "Mbeva".Wameletwa na watu wanaoagiza vitu used kutoka China, Japan na India
Kwani SUA si Kobe mtini,anayempandisha ni WA nywele za kutelezaWazungu wa SUA au?
Ni Kweli. Lakini hiyo gundi ubora wake unaisha kama itaingia vumbi na wakati mwingine itanasa nzi wengi mno kiasi kwamba panya anapita juu ya nzi waliofia hapo. Gundi haisafishiki i.e.huwezi kuikarabati ikishachafuliwa na nzi, mende,vipepeo na wadudu wengineo kwa kunasa hapo. Ukijisahau, panya aliyenasa hapo atakufa kwa njaa na ataozea hapohapo.View attachment 3086758
Hiyo gundi hakuna panya anachomoka, asubuhi unamkuta mzima anakutolea macho unaamua umpe adhabu gani
Kwa maelezo yake ukiwawekea sumu hawaliJe ww umewaua kwa sumu gani?
All the best
Hao panya siwapendi maisha aseeKule Hanang' ilifikia hatua watu wakawa wanalala na buti na kuvaa helmet ili panya wasimalize miguu au wasidhuru sehemu za kichwa.
Wakazi wa Zanzibar pia wanasema huko wako wengi hivo ukiangalia sehem ambazo wakazi wanasema wamewaona ni maeneo yenye muingiliano wa mizigo kutoka bara la Asia na Tanzania kama Zanzibar, Kariakoo, KigamboniNiliwahi kuwaona Zanzibar kwenye moja ya hoteli
Zanzibar tunawaita viruka njia.Wakazi wa Zanzibar pia wanasema huko wako wengi hivo ukiangalia sehem ambazo wakazi wanasema wamewaona ni maeneo yenye muingiliano wa mizigo kutoka bara la Asia na Tanzania kama Zanzibar, Kariakoo, Kigamboni