Wafahamu kwa majina na picha Viongozi wakuu wa magaidi wa Hamas waliopo hai sasa, wamenusurika mara kadhaa kuuawa. Unatoa ushauri upi kwa MOSSAD

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024

Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao

Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio kadhaa ya hatari dhidi ya maisha

Je unadhani mossad imefeli wapi hadi sasa?


Toa ushauri wako nini kufanyike

Yahya Sinwar gaidi Mkuu anayeongoza operesheni za kikundi hicho Gaza. Amejificha kwenye nyumba ya chini ya ardhi ya ghorofa 10.
Amezaliwa 1962 na ameongoza kikundi hicho tokea tokea 2027. Amekaa jela miaka 24 kabla ya kuachiwa huru 2011 kupitia mpango wa kubadilishana wafungwa na Israel. Gaidi anayetafutwa na Israel na Marekani na washirika wake

Khaled Mashal Umri miaka 68 gaidi anayetafutwa sana na Israel na Marekani na washirika wake

Orodha kamili itaendelea kukujia hivyo usikae mbali na Uzi huu

Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu wa jamii forum

Picha ya kwanza ni Yahya Sinwar
Picha ya pili ni Khaled Mashal
 

Attachments

  • 96a0af1ec0de4d0d0df49f2fb109388535f2d5d539bedd47ed425d2953a4f05d.0.JPEG
    55.8 KB · Views: 4
  • KhaledMeshaal-Wikimedia-1-1024xcenter-c-default.jpg
    74.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…