Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Asante sana.

1. Nilishaongea nao na naongea nao kila siku

2. Hapana sijafikiria bado.
Hii biashara ina wigo mpana sana.
Zipo taasisi nyingi tu zinazotoa elimu rika hii.
Ila mimi bado sijawahi kuwaza
 
Hao road hakuna wa milioni.
Kundi hili la road ni kundi la mwisho katika makundi 10 ya udangaji
hawa wa road wanang'ang'ania mpaka elfu mbili. Ila shoo iliyotukuka hawatoi na buku mbili wanachukua
 
HAPANA Lior na laiti ningepata mwenzangu aliyewahi fanya au aliye kwenye hii kazi angekuthibitishia kaka.
Utoe pesa kubwa au ndogo, ukinikuta sina mood naweza maliza hata wateja 30 wote kwenye mapaja.

NIAMINI MIMI NIKWAMBIACHO.
Mimi ndio mtoa huduma.
Lior narudia tena acha ubishi, acha ubishi.
Ningetoa ushahidi ila nitaonekana snich!
 
im proud of you my lady,
I hope you are now loving me in conversations and discussions, right?
Thanks
Yes!
Am loving you from nowon.

Mie sijui kiingereza vizuri buana.
 
Sera mbovu za CCM zimeongeza wengi kuwa makahaba kutokana na ukosefu wa ajira kuwa mkubwa kuliko kawaida kwahiyo uchawa wako unaofanya kwa Chama cha mambuzi ujirekibishe
 
Hili kundi la 10 ndio liko upenuni, kuna mengi ya kusema ngoja kwanza uzi utembee nitasema nilichokiona kwa hawa dadapoa hawako peke yao kwenye mawindo yao, wana washindani wao japo hawachukiani, sitawataja hata kwa code kwa leo, sio ile mishangazi
 
Hili kundi la 10 ndio liko upenuni, kuna mengi ya kusema ngoja kwanza uzi utembee nitasema nilichokiona kwa hawa dadapoa hawako peke yao kwenye mawindo yao, wana washindani wao japo hawachukiani, sitawataja hata kwa code kwa leo, sio ile mishangazi
Washindani wanajua kushawishi kuliko wenye haki yao.
 
Mbona kama hiyo ndio definition ya kahaba basi tunao wengi huku mitaani na huenda hata humu jamvini? Maana wengi ni wanauza, its pretty clear wengi wanauza papa japo hawajipangi barabarani.

No wonder kutmba hovyo ni ujinga tu siku hizi, ujipinde kutongoza kumbe you're approaching a slut.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…