Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Okay sawa.
Hapa nimekuelewa.
Sawa kaka na hongera
 
Yeah.
Ndio hali halisi hii
 
Legend 🙌
 
Maswali
1. Uliingiaje kwenye hii kazi ya afisa udangaji
2. Hukuwahi pata mimba kazini?
3. Kwa sasa unatoa bure kwenye mahusiano au gharama ziko palepale
4. Umeingiza mabinti wangapi kwenye hii kazi kabla ya kustaafu
5. Kwa wiki unaweza kusanya sh ngapi biashara ikiwa imechanganya
6. Dau gani kubwa ulishawahi mbutua mteja?
7. Kuna tofauti gani kati ya mteja mzungu na mswahili
8. Kipi kilikusukuma kustaafu
9. Kitu gani huwarudisha afisa udangaji kazini baada ya kuacha kwa miaka kadhaa japo wana vitega uchumi?
10. Ushawahi kuimiss hiyo lifestyle ya afisa udangaji?
11. Unajisikiaje pale wateja wanapokumiminikia kuliko washindani wako?
 
Sera mbovu za CCM zimeongeza wengi kuwa makahaba kutokana na ukosefu wa ajira kuwa mkubwa kuliko kawaida kwahiyo uchawa wako unaofanya kwa Chama cha mambuzi ujirekibishe
ndugu mdau,
mambo ya kisiasa si yana jukwaa maalum lakini?
na mbona unanikasirikia na unanifokea mimi nisie husika na ukahaba wa binti yoyote?
 
Unataka upate kampani ya aina yako? Mpo wengi sana . Mi nakupelekea moto tu na mti mkavu. Na kama ukiona vipi leta na dada zako nao na wewe na familia yenu niwachape nao
Mwenyewe hapa unaona ndo ushajibu..!! Mambo ya afya ya akili are real..!!
 
Kasema alilolizungumzia leo ni kundi la 10, yapo tisa mengine
 
Amboo ❌ Ambao ✅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…