Wafahamu macelebrity wa JF na sifa zao

Kafanya nini mpaka akawa forever banned?
Aliomba aondolewe JF id yake ifutwe moja kwa moja akidai JF imemchosha. Lakini kwa vile kujiondoa/kuondolewa haiwezekani naona aliamua kujiripua kwa kuwaporomoshea mods matusi mazito ya kila aina lengo lake likiwa kula ban ya maisha. Mods hawakupepesa macho na walimpa alichokuwa anakitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…