Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Jamaa inaonekana unafahamiana na watu hapa JF.. na ulishauza mali za ukoo.Kuna mmoja hapo siku ukija kumuona
Utauza kiwanja cha urithi
Hao wenzake ni wamama wanaojidogosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa inaonekana unafahamiana na watu hapa JF.. na ulishauza mali za ukoo.Kuna mmoja hapo siku ukija kumuona
Utauza kiwanja cha urithi
Hao wenzake ni wamama wanaojidogosha.
KwaniniKumbe huku jf watu mnaendesha magari tuu
Swala la kuweka na key apo namna flan ya kufanya uvuvi wa watoto wa JFNilikuwa naweka foundation. ..sasa nanyweshea roho[emoji23]View attachment 2339977
Kumbe na wee umeonaSwala la kuweka na key apo namna flan ya kufanya uvuvi wa watoto wa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio funguo ni flash[emoji23]Swala la kuweka na key apo namna flan ya kufanya uvuvi wa watoto wa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa naweka foundation. ..sasa nanyweshea roho[emoji23]View attachment 2339977
Finyango zote nazipa tahadhari ya woningi.. Kaeni tayari jiandaeni moto wajaaa[emoji1][emoji1][emoji1] After all mbinguni maini hayafiki..[emoji23]Hapo unamwagilia maini...[emoji16][emoji16]
Kumbe na wee umeona
Damn! Rebecca 83 was banned forever to be participant here in JF by moderators.Huwa siamini kama hawa warembo ni wanawake..😂😂
Evelyn Salt , witnessj , Rebeca 83 , Demi Joanah , Espy Atoto
Loh jamaniHuwa siamini kama hawa warembo ni wanawake..😂😂
Evelyn Salt , witnessj , Rebeca 83 , Demi Joanah , Espy Atoto
Kumbe amekuwa banned forever?? Nini amefanya? Juzi juzi hapa alikuwa anabishana sana humu ndani.Damn! Rebecca 83 was banned forever to be participant here in JF by moderators.
Aisee.!Huyo mtaalam naye mwanae anatafuta ajira au mtaalam wa kumfanyia mambo [emoji23].. Takucheki
Salam zimfikie Legend [emoji419]kuna celeb mmoja mmemsahau, mwazilishi wa uzi '" Wa mwisho ndio mshindi" Wambuzi, ule uzi unenzishwa 2012 mpaka leo hii uko active
Kafanya nini mpaka akawa forever banned?Damn! Rebecca 83 was banned forever to be participant here in JF by moderators.
Aliomba aondolewe JF id yake ifutwe moja kwa moja akidai JF imemchosha. Lakini kwa vile kujiondoa/kuondolewa haiwezekani naona aliamua kujiripua kwa kuwaporomoshea mods matusi mazito ya kila aina lengo lake likiwa kula ban ya maisha. Mods hawakupepesa macho na walimpa alichokuwa anakitaka.Kafanya nini mpaka akawa forever banned?
Yule mtu ni alikua anapenda ligi na matusi balaa.Kumbe amekuwa banned forever?? Nini amefanya? Juzi juzi hapa alikuwa anabishana sana humu ndani.