Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Unaitwa nani?Akili ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitwa nani?Akili ni nini?
Nikajua utanisahau mkuu... much love 😀 😀 😀 😀 uzi wetu pendwa udumuNiko JF tangu kitambo na wengi sana humu mmenikuta nishaijua hii mitaa sema sikua active sana kwenye huu mtandao pendwa ila ktk kuishi humu nimegundua kuna watu wenye ushawishi sana humu JF sijui tuwaite JELEBRITY au sio
Unakuta kuna raia umu hata wakicomment nukta watu wanamiminika kureply likes kibao..
Kuna haja JF iwatambue hawa watu wapate verification ya account zao...
Kuna watu ambao nyuz zao ndo zinaongoza kwa kupata engagement achana na umaarufu wa uzi wa kula kimasihara..
Naomba niwatambue wafuatao km watu wa nguvu sana humu jukwaani kutokana na mchango wao kupitia post zao na ikiwezekana wajipost siku moja moja tuwajue siku tukikutana nao mtaani tuwabless mbili tatu moyo uelee
1;MSHANA JR;namuonaga km mtu fulani mwny hekima sana kupitia thread zake,usipite thread za huyu mwamba km unataka kupata madini mbalimbali
2;mzabzab; huyu mwamba matusi sana yuko sana mitaa ya jukwaa la mahusiano kule,uzi wa jukwaa la MMU bila comment ya huyu mwamba bado sana uo haujaenda mjini
3;Gentamicine;kama shabiki wa Chelsea na Simba huwa lazma nipitiw jukwaaa la Sports na huyu jamaa anakiwasha sana uko na kutoa za ndaaaani though anaonekana raia hawamuelewi mpikaji sana wa data
4;Robert Heriel; Mzee wakuitwa Taikon wa Fasihi mwamba anatoa zile ngumu kumeza yaani kupitia misimamo yake so huwa siwez kupita uzi alouanzisha huyu jamaa
5;Rikiboy;Mzee wa uzi wa kula kimasihara yaan jamaa katoa hit song moja ya kudumu mpk mwisho wa hii app moja ya uzi ambao uko active mda wote washatokea watumishi na wahubiri wakashindwa kuuzuia
6;Sky Eclat;yuko JF since 2012 namuona km Lady Jay Dee wa humu JF huyu madam,nawish nimuone yukoje
TOA APPRECIATION ZAKO KWA WANA JF wengne unaowakubali ambao wanafanya vizuri[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji115][emoji115]
Faida ya sangoma hiyo mtaniMsosi
Supu nzuri ila mbona kama nyumbani kwa mganga [emoji1787][emoji1787]
Mkuu achana kidogo na maswali nyingi.. mtaani hali mbaya alafu umri hausubiri embu nipe connection ya mtaalamu wa mambo yako yale anifanyie wepesi mwaka wa 6 huu tangu namaliza chuo sijaonja kitu kinaitwa ajiraUnaitwa nani?
Wewe sasa mkongwe nimependa ulivyo insight ukweli kuwa wanaoona maarufu ni hawa wachangia mapenzi, uchawi na vichekesho.Unaweza kumponda mtu hivyo kuwa si mkongwe kwa kuangalia mwaka aliojiunga.
Lakini nikupe mfano mimi sikuwa registered member ila nimekuwa msomaji mzuri sana wa nyuzi na forums mbalimali tangu mwaka 2007 lakini nikaja kutengeneza akaunti yangu rasmi mwaka huu 2022
Kwa mfano kuna forums ya mambo ya historia. Huenda watu wa kule wasiwe maarufu kama wa kwenye MMU na siasa.
Ila kwa heshima kule kuna mzee wetu Mohamed Said yule mzee ana madini mengi sana ya historia ya Tanganyika pia kuna Nyani Ngabu heshima kwao watu hao pia.
Hahahaa,Kuna Kiranga huyu jamaa alinivutia sana kuipenda jamiiforums na kunisanua kuhusu hizi dini, kikubwa critical and logical reasoning nimejifunza kwa huyu mwamba, nakumbuka mtaa wangu ulikua jamii intelligence naanzia uko uko namalizia uko uko huyu jamaa bhana hoja zake kama haupo neutral hauwezi kumwelewa., kuna siku moja Mshana Jr aliingia kichwa kichwa akamuuliza "kiranga una akili?" Kiranga nae kabla ya kujibu akataka kujua akili ni nini kwaiyo akauliza "akili ni nini". Mjadala ukaishia hapo kila moja anahisi akijibu tu anapigwa knock-out mpaka thread ya 10 mshana hataki kufafanua akili ni nini ili ajibiwe na kiranga anataka afafanuliwe kwanza akili ni nini ili ajibu kama anayo au hana
Naona romany creams hapo moja ya biscs zangu pendwa 😋Nipo mtani napata thupu karibu sanaView attachment 2339711
Nipo mtani napata thupu karibu sanaView attachment 2339711
Nakubali [emoji817]unamsahau vipi extrovert; jamaa anaonekana ni check bob alafu mission town mmoja hivi
Raia wasipoona comment yake wanaanza kumtag mshkajmzabzab huyu mwamba kila uzi wa mahusiano hakosi. Namkubali sana huyu mwamba
Hawa raia wanapatikana mitaa gani umu mbona sikutani nao kabsa MkuuHuo ni mtazamo wako ambao upo tofauti sana na statistics za maktaba,,umetumia vigezo gani kwanza kumuacha Chakubimbi ambaye kitakwimu ndio anatukimbiza humu!!?View attachment 2339034
Nakubaliana na ww nakutana sana na huyu raia umu[emoji817]Extrovert huyu ni mtoto wa mjini mjanja-janja sana. Comments zake nyingi huwa hanaga kuremba inapohusu kuchakata mbususu
Huyu nae sio mnyonge kwny top JF members hatuwez kumuachaDemi lady mwenye fantasys kibao asie kosekana kwenye mada za mambo ajabu ajabu ya kugegeduana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli..Kuna fala moja imesahaulika. Huwa inatoa sana nyuzi za kipumbavu sana...
Inajiita.......
Mpwayungu village
Huyu jamaa itakuwa anawapelekea moto sana waremboExtrovert huyu ni mtoto wa mjini mjanja-janja sana. Comments zake nyingi huwa hanaga kuremba inapohusu kuchakata mbususu
Mwamba sana huyu sijawah kuukosa uzi wake hata mmoja,madini sana, appreciation kwake Mshana JrMchawi Mstaafu Mshana Jr ni kiboko jamaa anajua mambo mengi kwenye angle mbalimbali. JF walikosea sana kutomrecognize Mshana wakampa tuzo yule mzanzibari na maamuma Mohammedi.
natamani siku 1 ID zetu fame ziwe wazi ili nimjue Kiranga ni nani maana sio kwa ubishi ule.
Unataka kusema kuna warembo wa kiume mkuuHuwa siamini kama hawa warembo ni wanawake..[emoji23][emoji23]
Evelyn Salt , witnessj , Rebeca 83 , Demi Joanah , Espy Atoto