Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Huyu jamaa kuachwa naona kama watu wengi wamefurahi na kujadili, ni vizuri akatafakari sababu mfano Prof. Mbarawa nae ameachwa lakini watu hawajajadili.
 
wasukuma kama wote!
Kuna makabila ni majembe kazi
P
 
Huyo sinkamba ndio namsikia Leo.
 
Mkuu hawa wahuni wanaweza kufanya lolote lile kwa mshangao wa Watanzania wengi. Hawaogopi kitu na wala hawana aibu.
BAK
Kama Spika Ndugai amethubutu kufanya tendo ambalo lipo kinyume kabisa cha Katiba ya nchi, cha kuwahalalisha wale wabunge akina Halima wa "covd 19" basi hao maccm wanaweza kulifanya lolote la kinyume cha sheria na wanaona kwa sasa hatuna la kuwafanya!
 
Angela kairuki alimkosea nini Jiwe !?
Mmezoea kubebana, JPM anataka watendaji wake wafanye kazi sio kuuza sura. Hadi leo hamfahamu JPM anataka kufanya nini Tanzania? Kuleta maendeleo ya kweli.
 
Mbona hujamtaja Angela Kairuki Waziri wa Uwekezaji
 
Jamani ukiwa na wachezaji kibao ni muhimu kila mmoja akacheza - tunahitaji maendeleo ya haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…