Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 434
- 302
Mhe.Dr.Angelina Mabula ni Naibu Waziri wa Ardhi!Simuoni Angela Mabula wa Ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhe.Dr.Angelina Mabula ni Naibu Waziri wa Ardhi!Simuoni Angela Mabula wa Ardhi
YeahMshirikina inaelekea
Kafara alilotoa mtoto limeisha nguvu atoe mwingine .Arudi kwa wazee wakamuulizie kwa mizimu ya kwao kwamba ni wapi alikotelezaView attachment 1642532
Kuna makabila ni majembe kaziwasukuma kama wote!
We
We kahaba mbona unawashwa sana makalio? Hauna contact za Lissu akutafutie bwana Belgium?
Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine
Waliotemwa ni;
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;
1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza
2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya
4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni
5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo
6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu
7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye
8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima
9. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa
10. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu
11. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji
12. Aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Sinkamba Kandege
Kweli kabisa wanyama kazi eg punda vihongwe.Kuna makabila ni majembe kazi
P
Aliiba nini kwani?
BAKMkuu hawa wahuni wanaweza kufanya lolote lile kwa mshangao wa Watanzania wengi. Hawaogopi kitu na wala hawana aibu.
Mmezoea kubebana, JPM anataka watendaji wake wafanye kazi sio kuuza sura. Hadi leo hamfahamu JPM anataka kufanya nini Tanzania? Kuleta maendeleo ya kweli.Angela kairuki alimkosea nini Jiwe !?
Pia msaka uteuzi Mheshimiwa Pascal Mayalla, yaani kawekwa huko kando kabisa, hebu ngoja tuone nafasi za watendaji wa vijiji zikitoka huenda akakumbukwa
Mbona hujamtaja Angela Kairuki Waziri wa UwekezajiBaada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine
Waliotemwa ni;
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;
1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza
2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya
4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni
5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo
6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu
7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye
8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima
9. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa
10. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu
11. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji
12. Aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Sinkamba Kandege
Yule kapelekwa bungen kama fadhila ndogo tu aliboronga sana kwenye chamaPolepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Jamani ukiwa na wachezaji kibao ni muhimu kila mmoja akacheza - tunahitaji maendeleo ya harakaBaada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine