Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Ati Kigwangallah katemwa? Hii ni habari njema kusikia kwa leo.
Kigwangallah angeweza kuwa Waziri mzuri sana kwasababu ya intelligence na confidence yake lkn majivuno na kushobokea mitandao ya kijamii out of context, imemgharimu.
 
Kigwangallah angeweza kuwa Waziri mzuri sana kwasababu ya intelligence na confidence yake lkn majivuno na kushobokea mitandao ya kijamii out of context, imemgharimu.
Si ni daktati, aende kutibu wagonjwa pale Uhuru Hospital.
 
Mary Mwanjelwa?
 
Hivi Mary Mwanjelwa si alikuwa Naibu Waziri pia?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Ama kweli Magu hatabiriki aisee yaani hadi kigwangala kapigwa chini na mauchawi yake yote
 
Dah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi
Watu hua mnafikiri kudogo sana, mtu kutokuchaguliwa uwaziri anaweza kupangiwa kazi nyingine na siyo ameachwa kwa ubaya,mnakariri kwamba lazim fulani tu na akiwa huyo fulani tu tena mnasema kweni wengine hawawezi,ana maslahi binafsi,anachofanya Magufuli ni watu wote wafanye kazi bila upendeleo..lakini akili za wengi ndo kama hizi finyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…