Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Huo ujinga haufanyiki. Inakuwaje unakuwa mfuatiliaji wa siasa za nchi hii na mshauri wa CDM lakini uelewi kuna vitu CCM hawawezi kufanya. 1. Kuongeza miaka ya Rais 2. Kuvunja muungano 3. Kuondoka madarakani bila nguvu za wananchi (hapa siongelei kura).subiri february 2021
Wengi wao ndio nawasikia hapa kwa mara ya kwanza,ila kwa HK du sijui yale magwanda ya khaki atayavalia wapi sababu kwa sasa pori kwa pori hakuna tena,itabidi aendelee kutuletea porojo za ''Nje ya Box''Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine
Waliotemwa ni;
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;
1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza
2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya
4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni
5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo
6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu
7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye
8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima
9. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa
10. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu
11. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji
12. Aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Sinkamba Kandege
ccm imemtapeli vibaya sana ! Taarifa zinadokeza kwamba alishashona suti ya kuapishwaJamani kimei vipi mbona amekosekana hata unaibu.......ama yupo sub anasubiria akizingua mtu aingie
Kamwele was active kafanya kazi hizo kwa kipindi kirefu,lakini Magufuli anamlinganisha na yeye.Au pesa za wakandarasi zimeleta zogo?Hata mimi nimeshangaa jamaa alikuwa active sana kama alivyokuwa William Lukuvi
Kamwele was active kafanya kazi hizo kwa kipindi kirefu,lakini Magufuli anamlinganisha na yeye.Au pesa za wakandarasi zimeleta zogo?
Anakubarika,labda alitumbuliwa kwa hasira baada ya kutokubaliana Covid-19Huyu Faustine Ndungulile si ndio alitumbuliwa kipindi kile?ama kweli maisha ni kupanda na kushuka
Kazi maalum.Kuondoa ukomo .
Huyo tayari alishateuliwa vya kutosha.1. Juliana Shonza
Nop. Kuna akina mama wengi sana tu wanadunda na viti maalumu tangu 2005Huyo tayari alishateuliwa vya kutosha.
Juliana Shonza ni mtu pekee kwenye historia aliyeteuliwa ubunge wa bure ( Viti vya Rais na Viti Maalum) mara mbili mfululizo
Nop. Kuna akina mama wengi sana tu wanadunda na viti maalumu tangu 2005
Polepole kapelekwa Bungeni kufanyaje sasa endapo hata unaibu tu kaonekana hatoshi?
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.Manaibu je?
Harison Mwakyembe amepewa WIzara gani hivi sasa?1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
"Ndiyo maana nimemchagua Waziri kichaa kama mimi"Luhaga Mpina kafanyaje?
Angela yule mtoto wake ni mkulu anaitwa nani ?Anjela yumo.Juliana Shonza nadhani katemwa.
Ni mambo ya ndani ya familia yaoAngela kairuki alimkosea nini Jiwe !?
Kweli hiyo? Huyu mzee aliyeomba msamaha kwa Rais hadharani huenda ni mchapa kazi ila huenda hajui kaziDah.!! Kamwelwe huyu mzee mbona alikuwa akipiga sana kazi
MKUU KUNA MKOA ULIOKOSA WAZIRI AMA NAIBU?Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine
Waliotemwa ni;
1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;
1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza
2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya
4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni
5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo
6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu
7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye
8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima
9. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa
10. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu
11. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji
12. Aliyekuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI, Sinkamba Kandege
Alikata watu vidole dah!ccm imemtapeli vibaya sana ! Taarifa zinadokeza kwamba alishashona suti ya kuapishwa