Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Du kumbe unamfahamu huyu Jamaa. Kweli alikuwa mtumwa. Ila Mtume Muhammad Akamkomboa kutoka utumwani ila wengi hutaka kuhusisha kuwa waislam ndio walikuwa wanawafanya watumwa.
hapana " hao hawaijui historia vyema ""... bilali alikuwa chini ya utawala wa waarabu waliokuwa wanatawala saudia kabla hata ya muhhamad kupata nguvu ya utawala...""... na kuhusu suala la utumwa halijaanza hivi juzi ni tangu karne ya 6 huko "" waarabu na wazungu wote hakuna Mwenye nafuu "" so tuache kujifariji hapa..."""
 

Rudi tuition usome upya historia,ulichoandika hapa ni mapokeo wala si usahihi wa mambo.

Ni kweli waarabu walifanya biashara ya utumwa,lakini notorious slave trade ilikuwa trans Atlantic iliyofanywa na wazungu.

Rudia tena kusoma historia yabiashara ya utumwa.
 
Hakuna Mwenye nafuu naona mnahangaika tu ,..na kupaza shingo zenu kwa kusifia watu ""... waarabu na wazungu wote walifanya biashara ya utumwa ""... waliwatesa mababu na mabibi zetu vile walivyojisikia...so kutaka kutetea upande huo "" ni ujinga ...ukisoma vitabu vya dini kama Qur'an vinasema wazi kuwa mtume alikuta "" biashara ya utumwa ikiwa inafanyika "" na yeye ndiye aliye ikomesha katika wakati wake "" lakini alipoondoka biashara hii ilirudi tena kwa kasi "" tu " kama mlikuwa hamjui waarabu walikuwa wana wanunua Hawa watumwa toka kwa machifu wa wakati huo "" .... mkwawa amefanya sana biashara hii na waarabu ...na mtu mpaka unafnywa mtumwa means lazima "" kuna mates makubwa utakayo yapitia na hali ya kutendewa ubaya uliovuka utu ......"" wazungu washenzi na waarabu pia ni washenzi ....hakuna Mwenye nafuu tusiongopeane hapa
 
Zanzibar ipo nyuma kila kitu kivip? Watu wanatoka dunia nzima kila mwaka kuja kutembea Zanzibar sehemu yenye hoteli nyingi za kisasa za kitalii Afrika hii.
 
Du kumbe unamfahamu huyu Jamaa. Kweli alikuwa mtumwa. Ila Mtume Muhammad Akamkomboa kutoka utumwani ila wengi hutaka kuhusisha kuwa waislam ndio walikuwa wanawafanya watumwa.
Abubakar ndie alimnunua kwa pesa nyingi na kumuachia huru.
 
Slave trade was an African choice.
 
Acha bangi ww
 
Nchi 22 za kiarabu halafu umetaja nchi kumi tu .Halafu Somalia na Comoro nazo ni nchi za kiarabu?..Kama Comoro ni nchi ya kiarabu ungeijumuisha na Zanzibar
 
Si kweli.... Mimi babu yangu alipelekwa Mtumwa akaoa muarabu na akamzaa baba yangu, baba alirudi nyumbani na kuoa na kisha kutuzaa sisi. Hata sasa ninavyo type msg hii nipo bara arabu kwa bibi zangu ambao wote ni waarabu.

Alipelekwa mwaka gani?
 
Tuta amini vipi ndugu
Kweli lakini
Jamani propaganda za wazungu mnatoaga wapi

Waafrika wapo niwape mfano tu kuna watu wanaitwa zanj wapo Iraqi ni weusi kabisa na wamekuwepo toka karne ya 19 iliyojaa utumwa na mpka leo wako na ni zaidi ya million huko Iraq wanapatikana kusini

Ingia hapa wasome
Afro-Iraqi - Wikipedia

 
ONGEENI YOOOTE ILA NAMBA 11 NIMEIELEWA SANA KUTOKA KATIKA TAMADUNI ZA HAWA VINARA WA BIASHARA YA UTUMWA DUNIANI...
Vinara kwa kigezo kipi??? Hivi watanzania kwanni huwa wavivu kufuatilia mambo?? Ni lini wazungu wameacha kuwa vinara wa utumwa tokea enzi za warumi
 
Mkuu nimekuelewa sana endelea kutoa elimu kwa hawa vijana wa sasa wasioumiza vichwa vyao kutafiti wanasubiri kuhadithiwa kwenye vijiwe vya kahawa au mikutano ya wanasiasa!!! Hata story ya mapinduzi tuliyofundishwa shuleni ni tofauti na niliyoishuhudia huko zanzibar kwa wenyeji kiukweli kuna mengi sana ya uongo tunalishwa na jinsi navyoona watu humu waking'ang'ania propaganda za skuli napata shaka tunapoelekea kma taifa
 
Hio story ya mapinduzi ndio kabisa, serikali imejitungia vile inavotaka iwe, ndio maana iko so controversial, yaani hio version ya serikali yenyewe ukiitizama, kuna masuali utajiuliza tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…