Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu


Mkuu, asante kwa hoja nzuri. Hakuna anayekataa kuwa hakukuwahi kutokea utumwa. Wala hamna anayedai Uafadhali wa utumwa fulani. NO. Ushahidi wa utumwa na madhila yake kihistoria upo. Ni kama mchangiaji mmoja alivyoonyesha kuwa maeneo ya Iraqi kuna weusi wa kiafrika (Zanj) ambao walifika huko kama watumwa, alichokiacha ni kuwa hawa Zanj baadae waliasi na kujitwalia maeneo ya Iraq na Iran japo baadae walishindwa kivita Zanj rebellion | ΚΏAbbāsid history. Ila kuwapo kwao hawa Zanj hadi leo hii ni dalili kuwa simulizi za KUWAHASI waafrika wanaume WOTE huko bara Arabu sio kweli. Wapo pia Weusi barani Hindi wakijulikana kama Siddi India’s forgotten African tribe ambao pia walifika huko kama watumwa. Hawa pia hawaishi kwa RAHA. Waingereza wanajulikana kwa kuwauza WAZUNGU wenzao (Irish Slaves) utumwani White Cargo japo ukiwasoma siku hizi ni kama vile wanaelekea kukana kwamba vijana wa Ki-Irish waliowauza utumwani kwenye mashamba ya tumbaku na sukari hawakuwa watumwa.

Tofauti iliyopo ni kuwa;
1. Wazungu hawaweki neno "European" kwenye ile biashara waliyoifanya West Africa ila wanaweka neno "Arab" kwenye hii ya East Africa, lengo halijulikani
2. Hakuna maelezo kwanini waafrika (popote) HAWAKUZIPIGA na hawa Waarabu waliowafanya watumwa ila WAKAZIPIGA (sehemu nyingi sana) na Wazungu, tatizo lipo hapo
 
Slave trade was an African choice.
Kanye West hajakosea. Tatizo watu hawautaki ukweli.

Chief anauza watu wake kwa wageni wakafanywe watumwa kwa sababu kapewa kioo πŸ˜€ πŸ˜€ halafu kuna mashuhuda wa hilo na bado wanaendelea kumwita jamaa chief wao!
 
Zanzibar ipo nyuma kila kitu kivip? Watu wanatoka dunia nzima kila mwaka kuja kutembea Zanzibar sehemu yenye hoteli nyingi za kisasa za kitalii Afrika hii.
Ndio ipo nyuma kwenye kila idara, wakati wa sultani tulikuwa tunaongoza kwenye masuala ya Trade, kapinduliwa Sultan basi tuendelee kuongoza, matokeo yake, Zanzibar inapangiwa na Tanganyika kupeleka sukari bara au la, zanzibar inachaguliwa rais, ZBC uku Zanzibar tunaiita TV Zero (ilikuwa inaitwa TVZ kabla kuwa ZBC). Kheri tutawaliwe tena tu, ikiwa na Sultan au Malkia, lakini si kwa izi pesa tunazokusanya kwenye utalii, akisha kipande cha mita mia cha lami kinatushinda kukifix! Pesa inakwenda wapi? Huu msemo MAPINDUZI DAIMA una maana kubwa sana
 
Shikamoo imeletwa na waarabu?

Shikamoo ni neno linalotumiwa kumsabahi mtu. Ni salamu inayotumiwa na wadogo kwa wakubwa wao, hasa wale wanaowazidi umri.

Jibu lake ni "Marahaba".

Maana ya neno huelezwa kuwa kifupi cha "nashika mguu wako" kama tamko la heshima mbele ya mkubwa.

Jibu la "marahaba" ni salamu ya Kiarabuinayotumiwa kati ya Waarabu sawa na "hujambo", ila kwa matamshi ya "marhaba". Pale jibu ni "marhabteen" yaani marhaba mara mbili.
 
Umekazania zanziba zanzibar zanzibar zanzibar...



Nakukumbusha pia Mwarabu pia Alipita Ujiji,kilwa,Kondoa,kilosa,Bagamoyo,tabora,nzega,Mtwara n.k


Sasa naomba hoja zako zijikite na hayo maeneo mengine.



Hiyo Zanzibar yenyewe Njaa tupu.
Umekazania Tanganyika tu, Mbona husemi Nairobi, burundi, congo, swaziland.

Wewe kama una ushahidi waarabu wamefanya unyama kama mnavosema ulete hapa basi, au utatafuta picha za kuchora unletee? Zanzibar ndio ilikuwa lango kuu la kuingilia Afrika kutokea East side, ndio maana naongelea Zanzibar Zanzibar sana, ndio kitovu cha Zanzibar Empire.

Wewe lete ushahidi wa hizo tuhuma zako. Hii njaa ya Zanzibar mmeileta nyie πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sisi ilikuwa tunalisha wazungu wakati wa vita... apo bado ndio utawala wa Sultani, utawala wa mwafirika tumekuwa na njaa tupu... Hata SMZ yenyewe wanawatukana waarabu kila siku wameishia kuwarudia hao hao waarabu.
 
Mie naona sio,ndiyo maana nikakuuliza ili nipate kuongeza kitu.
Shikamoo ni neno linalotumiwa kumsabahi mtu. Ni salamu inayotumiwa na wadogo kwa wakubwa wao, hasa wale wanaowazidi umri.

Jibu lake ni "Marahaba".

Maana ya neno huelezwa kuwa kifupi cha "nashika mguu wako" kama tamko la heshima mbele ya mkubwa.

Jibu la "marahaba" ni salamu ya Kiarabuinayotumiwa kati ya Waarabu sawa na "hujambo", ila kwa matamshi ya "marhaba". Pale jibu ni "marhabteen" yaani marhaba mara mbili.
 

Sasa hapo mkuu haujaelezea ni vp waarabu wameleta shikamoo,maana sijaona mahusiano ya hiyo shikamoo na waarabu,badala yake umezungumzia neno "marahaba".
 
miafrika bana dini inawalevya mpaka inaamua kukataa ukweli.
 
ww hata ubwabwa wa shingo haujakuisha unaweka rekodi sawa?ipi ya familia yako au?
kitu kimefanyika karne na karne ww leo uweke rekodi sawa ipi kwa kupotosha ukweli co
Wewe ulivukwa na ubwabwa wa shingo, kwaio kitu kikiwa kimetokea karne na karne manake ndio kupotoshwe au? Ukweli upi niliopotosha? Kuwa Mwafrika alimuuza mwafirika mwenzake au?
 
Unataka ugomvi na wazee wa takbir!!!
 
Si kweli.... Mimi babu yangu alipelekwa Mtumwa akaoa muarabu na akamzaa baba yangu, baba alirudi nyumbani na kuoa na kisha kutuzaa sisi. Hata sasa ninavyo type msg hii nipo bara arabu kwa bibi zangu ambao wote ni waarabu.
Weka Picha
 
Hivi bado huko mkijitoa muhanga mnapewa wanawake mabikra 72 huko peponi?
 
Acha kujitetea wewe mwarabu inabid utambue tu babu zako walikuwa wana roho mbaya same as mashetani end of story
 
Acha kujitetea wewe mwarabu inabid utambue tu babu zako walikuwa wana roho mbaya same as mashetani end of story
Lete ushahidi basi.... Mkipewa vioo mnachachawa eti ooh chukua hawa kawatume πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ KANYE WEST KAONGEA UKWELI, SLavery was a choice

Babu Zako walikuwa wakiwauza ndugu zao... Ndio maana hao mnaowaabudu wazungu wanawachora waafrika as Kima. Na mpaka kesho wanawaonea na kuwanyanyasa. ila mnakaa kimya kama kawaida yenu mlozoea!!! As long as mdomo unakwenda kinywani wacha tu wafanye wanavoataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…