Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

Mimi nawashughulikia wapiga ramli kama wewe [emoji33] [emoji33]

Sent using Jamii Forums mobile app


Kwa Nini Utumwa Ulikomeshwa.

Mtu anaweza akasema: “Hivi haikuwa Uingereza ya Kikristo hatimaye ndio iliyo komesha utumwa?

Vema, kama mtu anafanya udhalimu si yeye ndiye anayetakiwa kuendeleza udhalimu huo?

Kama ambavyo imekwisha elezewa, Uingereza ilikuwa ndio mfanya bishara ya watumwa mkub- wa zaidi ya wote, na nguvu za kiuchumi zilipoilazimisha kukomesha biashara ya watumwa, ilifanya hivyo.

Je! ni Uingereza inayostahili au Ukristo ndiyo unastahili kupewa shukurani zozote kwa tukio hilo?

Kwa nini tusizishukuru nguvu za uchumi ambazo ndizo zililazimisha Uingereza kutokuendelea na biashara hiyo?

Ukweli ni kwamba harakati dhidi ya utumwa hazikuongozwa na makanisa; kazi hiyo ilifanywa na watu waadilifu wachache ambao vilio vyao vilikuwa havisikilizwi hadi pale umuhimu wa kiuchumi ulipolazimisha Bunge kupitisha muswada mnamo mwaka wa 1870 dhidi ya biashara ya watumwa.

Baada ya miaka 26, muswada mwingine ulipitishwa kukomesha utumwa katika makoloni ya Uingereza mnamo mwaka 1833. Kama Profesa D.W. Brogan alivyoandika kwenye utangulizi wa kitabu cha Dk. Eric Williams ambacho ni kizuri, kiitwacho “Capitalism and Slavery”,

“Kukomeshwa kwa biashara ya utumwa halafu kusitishwa kwa utumwa, hayakuwa tu matokeo ya kuboreka kwa kiwango cha mfumo wa maadili ya kisiasa humo Uingereza (ingawaje Dk. Williams hadharau kazi ya watu kama Clarkson kuwa ina umuhimu) lakini ilikuwa namna ya kupunguza hasara.

Ukiritimba wa kilimo cha miwa cha visiwa vya West Indies haukuvumilika kulinganishwa na jamii ya viwanda iliyokuwa inastawi haraka, yenye kujiamini kwa usahihi katika nafasi yake ya ushindani isio tetereka mnamo siku za mwanzo za mageuzi ya viwanda. “Kufupisha, kwa maneno ya Profesa Brogan, mpango wa utumwa ulikuwa “unavumiliwa, unatetewa, unasifiwa almuradi ulikuwa na faida.”

“Mpango wa mtumwa ulikuwa na faida sana na kwa kipindi kirefu. Mafanikio ya Bristol na Liverpool na kwa kiwan- go fulani, ya Glasgow yalitegemea faida ya mashamba ya miwa ya visiwa vya West Indies. Mkulima wa West Indies alikuwa mshindani wa ufahari wa tajiri mpenda anasa wa East Indies.

Ilikuwa kama kupoteza muda kwa waadilifu kuonyesha kwamba kila tofali lililojenga maghala makubwa ya Bristol na Liverpool lilitokana na damu ya Mtu Mweusi. Lakini sauti ya waadilifu ilisikika mara chache sana miongoni mwa mlio wa sarafu ya Uingereza Guine (jina hilo hilo linakumbusha biashara ya pembetatu baina ya Uingereza, Afrika na makoloni ya transatlantic).”
“Biashara ya pembe tatu” maana yake ni nini?

Kutoka Uingereza, bidhaa mchanganyiko “mfano halisi wa mzigo wa mfanya biashara ya watumwa” ulipelekwa Africa. Mavazi mazuri na umalidadi kwa Waafrika, vyombo vya nyumbani, nguo za kila aina, chuma na metali, pamoja na bunduki, pingu na minyororo.”

Kutoka Afrika mzigo wa binadamu ulichukuliwa kupelekwa visiwa vya West Indies na nchi za Amerika.
Kutoka West Indes na makoloni mengine; sukari, tumbaku na rangi ya buluu, pamba, kahawa na malighafi zingine zilipelekwa nchi mama (yaani Uingereza) ambako yalitengenezwa kwenye viwanda na halafu yakaingizwa tena kwenye makoloni

.1
Mashamba yalianzishwa kwa sababu ya kuwepo nguvu kazi ya utumwa na yakalindwa na ukiritimba.

Halafu ukaja mtengano wa makoloni 13 ya Marekani ambayo yalifunga soko kubwa dhidi ya nchi iliyohuru makoloni ya Uingereza ya visiwa vya West Indies. Athari yake nyingine ilikuwa kwamba nchi iliyo huru sasa, ya Marekani (U.S.A.) iligeuka kwenye makoloni ya Ufaransa yaani Visiwa vya Saint Domingue (Haiti), Cuba na Brazil. Dk. Williams anaandika, “Ubora wa makoloni ya sukari ya Ufaransa ulikuwa kwa ajili ya wakulima wa Kiingereza, kubwa miongoni mwa maovu mengi ambayo yalijitokeza nje kutoka kwenye Pandora’s box**. (sanduku la Pandora) ilikuwa ni mapinduzi ya Marekani.

Kati ya mwaka 1783 na 1789 maendeleo ya sukari ya visiwa hususan vya Ufaransa, vya Saint Domingo (Haiti), hususan lilikuwa jambo la kushangaza katika maendeleo ya kikoloni. Rutuba ya udongo wa makoloni ya Ufaransa ilikuwa ni ya wazi mno, sukari ya Ufaransa iligharimu moja ya tano (1/5) chini zaidi ya ile ya Uingereza, mavuno ya wastani huko Saint Domingo na Jamaica yalikuwa tano kwa moja.”2

Athari iliyosababisha maafa kwenye makoloni ya Uingereza ya West Indies inaweza kuamuliwa na ukweli kwamba “mwaka 1775 Jamaica ilikuwa na mashamba 775; hadi kufika 1791, katika kila mashamba mia moja, mashamba ishirini na tatu yaliuzwa kwa ajili ya kulipa, kumi na mbili yalikuwa kwenye miliki ya wafilisi, wakati saba yaliachwa; na wakulima wa West Indies, wakiwa na deni la kiasi cha pauni milioni ishirini.”

Polepole, wakulima wa Kiingereza walipoteza moja kwa moja mamlaka yao ambayo waliyafurahia kwa kipindi kirefu katika soko la Ulaya. “Uuzaji wa bidhaa nje kutoka makoloni ya Ufaransa, uliingiza pauni za Kiingereza zaidi ya milioni nane, na Uingizaji bidhaa ndani ya nchi, zaidi ya pauni milioni nne, tani zilizo shughulikiwa 164,000 na wafanya kazi wa meli 33,600; uuzaji wa bidhaa nje kutoka makoloni ya Uingereza uliingiza pauni za Kiingereza milioni tano, na uingizaji bidhaa ndani ya nchi chini ya milioni mbili, tani zilizo shughulikiwa, 148,000 na wafanya kazi wa meli 14,000. Katika hali zote makoloni ya sukari yalikuwa na umuhimu mkubwa sana kwa Ufaransa kuliko yalivyokuwa kwa Uingereza.”3


Hivyo, gharama ya sukari (na hivyo hivyo kwa bidhaa zingine zote.) ilianza kwenda juu sana. Dk. Williams anaeleza, “Ukiritimba wa mkulima wa West Indies haukuwa tu jambo lisilofaa kinadharia, haukuwa na faida katika hali halisi. Mnamo mwaka 1828 ilikisiwa kwamba iliwagharimu raia wa Uingereza zaidi ya pauni milioni moja na nusu kwa mwaka. Mnamo mwaka 1844, ulikuwa unagharimu nchi pauni 70,000 kwa juma moja na jiji la London peke yake pauni 6,000.

Uingereza ilikuwa inalipa zaidi ya pauni milioni tano kwa ajili ya sukari yake kwa mwaka kuliko Bara lota la Ulaya… Mbili ya tano (2/5) ya bei ya ratili moja ya sukari iliyotumiwa Uingereza iliwaisha gharama ya uzalishaji, Mbili ya tano (2/5) ilichukuliwa kama ushuru wa serikali, moja ya tano (1/5) shukurani kwa mkulia wa West-Indies…4

Pole pole, Saint Domingue (Haiti) koloni la Ufaransa, lili- ibuka kama mzalishaji muhimu sana wa sukari. Kwa mtazamo wa Waziri Mkuu wa Uingereza, William Pitt, hili lilikuwa jambo lenye uamuzi. Umri wa visiwa vya Uingereza vya sukari ulifika mwisho. Mpango wa West- Indian haukuwa na faida, na biashara ya watumwa ambayo ndio ilikuwa tegemeo lake, badala ya kuwa na manufaa kwa Great Britain… ni ya uharibifu mno ikilinganishwa na dhana ya maslahi.5

Kwa hiyo, Pitt aligeukia India kulima na kuzalisha sukari. Mpango wa Pitt ulikuwa na sehemu mbili: kurejesha soko la Ulaya kwa msaada wa sukari kutoka India, na kupata fursa ya kukomesha biasharra ya watumwa kimataifa tukio ambalo lingeiangamiza Saint Domingue. Kama haingekuwa ukomeshaji wa Uingereza. Wafaransa waliwategemea sana wafanyabiashara ya watumwa wa kimataifa, basi ingekuwa ukomeshaji wa Uingereza hivyo kwamba hata kama Uingereza peke yake ingepiga marukufu biashara ya watumwa, uchumi wa makoloni ya Ufaransa ungetetereka.

“Mpango wa Pitt ulishindwa kwa sababu mbili. Umuhimi wa sukari ya kutoka India ya Mashariki, kwa kiwango kilichopangwa, haingewezekana kwa sabahu ya kodi ya ushuru kuwa juu iliyowekwa kwa sukari yote isipokuwa ile iliyozalishwa kwenye makoloni ya Uingereza ya West-Indies… Pili, Wafaransa, Wadachi na Wahispania walikataa kukomesha biashara ya utumwa.
Ilikuwa rahisi kuona malengo halisi ya kisiasa yaliyoko nyuma ya pazia la ubinadamu la Pitt. Gaston-Martin, Mfaransa maarufu mwenye taaluma ya historia ya biashara ya watumwa na makoloni ya Caribbean, anamlaumu Pitt kwa kutaka kuwapa uhuru watumwa kwa kutumia propaganda, hapana shaka kwa kutumia jina la ubinadamu. lakini pia kuharibu biashara ya Ufaransa.

Na anahitimisha kwamba kwenye propaganda hii ya kiihsani na kiubinadamu palikuwepo na malengo ya kiuchumi.

Halafu pakatokea tukio moja kubwa. Wakulima wa Kifaransa huko Saint Domingo, mwaka 1791, wakihofia matokeo ya Mapinduzi ya Ufaransa, waliwapa Uingereza visiwa hivyo; muda si mrefu Windward Island ilifuata mtindo huo; Pitt alikubali kuvichukua visiwa hivyo mwaka wa 1793. Vikosi vya jeshi la Ufaransa vilipelekwa kimoja baada ya kingine mara kadhaa lakini havikufanikiwa kuvirejesha visiwa hivyo kwenye miliki ya Ufaransa.

Dk. William anafafanua: “Hii ni zaidi ya manufaa ya kiso- mi. Pitt hangeweza kumiliki Saint Domingo na kukomesha biashara ya watumwa wakati huo huo. Bila ya kawaida yake ya kuingiza watumwa 40.000 kwa mwaka, Saint Domingo ingekwisha filisika. Kitendo cha Pitt kukubalia kuchukua kisiwa hicho kimantiki kilikuwa na maana kwamba hangeendelea na mpango wake wa kukomesha biashara ya watumwa. Kwa wazi hakusema hivyo. Pitt alikwisha fika mbali sana katika kuwaahidi raia wa Uingereza.

Aliendelea kuzungumza kuhusu kukomesha biashara ya watumwa hata hapo alipokuwa anaitumainisha biashara ya watumwa katika hali halisi… Sababu za Pitt zilikuwa za kisiasa na kwa kiwango kidogo kibinafsi. Pitt alipendelea biashara ya sukari: Ama ilikuwa lazima aivuruge Saint Domingo kwa kuingiza sukari nyingi sana Ulaya na ya bei rahisi kutoka India au kwa kukomesha biashara ya watumwa; au aichukue Saint Domingo iwe yake binafsi.”6

Hali hii ingeipatia Uingereza ukiritimba wa sukari, rangi ya buluu, pamba na kahawa… Lakini kama Pitt angeikamata Saint Domingo, biashara ya watumwa lazima ingeendelea. Wakati Saint Domingo ilipochukuliwa na Ufaransa, biashara ya watumwa ilichukua sura mpya ya kuwa kama vile suala la ubinadamu tu…

Lakini kuharibika kwa Saint Domingo haikuwa na maana ya ukombozi kwa makoloni ya Uingereza ya visiwa vya West- Indies. Walijitokeza maadui wawili wapya kwenye uwanja. Cuba ilisonga mbele na kuziba pengo lililoachwa kwenye soko la dunia baada ya kutoweka Saint Domingo.”7

Wakati ule ule, chini ya mamlaka ya Marekani, sukari ya Cuba na wazalishaji wengine waliokuwa na msimamo wa kati, bado ilipata soko Ulaya, na sukari ya ziada kutoka British West Indian ililundikana Uingereza. Kufilisika kwa wakulima ilikuwa hali ya kawaida. Kati ya 1799 hadi 1807, mashamba 65 ya Jamaica yaliachwa, 32 yaliuzwa kufuta madeni, na malalamiko 1807 ya madai yalikuwa yana ngoja uamuzi dhidi ya 115.

Mada zilizokuwa zinazungumziwa hapo kisiwani ni madeni, maradhi na vifo.

Kamati ya bunge iliyoundwa mwaka 1807 iligundua kwamba mkulima wa British Indian alikuwa anazalisha kwa hasara. Mwaka wa1800 faida ya mkulima ilikuwa asilimia 2.5 (2 ½ %), mwaka wa 1807 hakuna faida. Mwaka wa 1787 mkulima alipata 19/6d. Faida kwa kila ratili mia na kumi na mbili; mwaka 1799, 10/9d; mwaka wa 1803, 18/6d; 1805, 12/-; katika kwaka 1809, hasara. Kamati ilidhani sababu kubwa ilikuwa hali mbaya ya soko la nje. Mwaka 1809 sukari ya ziada ya Uingereza ilikuwa tani 6,000. Uzalishaji ukasitishwa. Kuwekea mipaka uzalishaji, biashara ya watumwa lazima ikomeshwe.” 8

Kwa hiyo, kwa maneno ya Dk. Williams, “Kukomeshwa kwa biashara ya watumwa moja kwa moja ilisababishwa na kuvurugika kwa uchumi huo.”9

  • 1. Williams, Dr. Eric. Capitalism and Slavery uk. 65.
    ** Pandora box ni maneno ya methali, maana yake ni mpango ambao ukihamasishwa
    huzalisha matatizo mengi yasiyodhibitika.
  • 2. Ibid, uk. 122.
  • 3. Ibid, uk. 123
  • 4. Ibid, uk. 138-9.
  • 5. Ibid, uk. 146.
  • 6. Ibid uk. 146 -7, Ibid uk. 1487- 8.
  • 7. Ibid, uk. 148-9.
  • 8. Ibid, uk 149.
  • 9. Ibid, uk 150.
 
Ungepitia hoja usingeweka Uafrika na Uarabu kuwa ni vitu tofauti kwenye maandishi yako.

Ungepitia hoja usingeweka Uafrika na Uarabu kuwa ni vitu tofauti kwenye maandishi yako.

Uarabu si rangi wala si utaifa. Kasome vizuri.

Wewe ndiyo walewale ambao hata unachokisoma hauelewi.

Mleta mada kasema Uarabu ni culture. Nami nakubaliana nae.

Sasa wewe hiyo tofauti umeitoa wapi? Katazame list, nchi za Kiarabu zipo ngapi Afrika na population ya Waarabu Afrika ipo ngapi halafu uje useme kuwa Waarabu si Waafrika.

Unafahamu kuwa lugha inayoongewa na watu wengine Afrika ni Kiarabu? Nadhani hilo pia hufahamu.

Wewe si mstaarabu? Ukikiri kuwa u ustaarabu basi elewa kuwa nawe una Uarabu lakini hujijuwi hujitambui kwa ujinga tu uliojazwa.
Ina maana kila aliye mstaarab ni muarab?v

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hizi hadithi wakristo hawataki kusikia hizo uache kusimulia

Watumwa waliuzwa kwenye minada ya wazi. Watumwa wakiwa rasilimali isiyo na thamani, na wanaotambulikana kidogo sana kisheria, posta masta alikuwa wakala aliyetumiwa mara nyingi kuwakamata watumwa wanaokimbia na matangazo yalichapishwa kwenye vyombo vya habari vya kiserikali. Watumishi Weusi walionekana sehemu mbalimbali. Wavulana weusi wadogo walikuwa wasaidizi wa makapteni wa watumwa, wanawake wa mitindo au wanawake waadilifu. Mashujaa wanawake wa Hograrth, ‘The Harlots Progress’ kinahudumiwa na mvulana Mweusi, na Orabella Burmester ya Mar’guerito steen anaonyesha maoni yake ya kupenda mvulana mweusi mdogo ambaye angempenda kama mtoto wake wa paka mwenye manyoya marefu. Watumwa Weusi walioachwa huru walionekana miongoni mwa ombaomba wa London na walijulikana kama ndege weusi wa Mtakatifu Giles.


Walikuwa wengi mno hivyo kwamba iliundwa kamati ya bunge mwaka 1786 kwa lengo la kuwasaidia masikini weusi. Mshairi Cowper aliandika: “Watumwa hawawezi kupumua Uingereza.’ Hii ilikuwa leseni ya mashairi.


Mwaka 1677 iliaminika kwamba ‘Watu Weusi kwa kuwa ni kawaida kwamba hununuliwa na kuuzwa miongoni mwa wafanyabi- ashara, kwa hiyo wao ni bidhaa, na pia kwa kuwa kwao makafiri, inaweza kuwepo mali kwao. Mwaka 1726 Mwana sheria Mkuu alitangaza kwamba ubatizo haukumpa mtumwa uhuru au kufanya mabadiliko yoyote katika hali ya mpito ya mtumwa; juu ya hayo mtumwa hakuwa huru kwa kuletwa Uingereza, na mara afikapo Uingereza mmiliki wake angeweza kulazimishwa kisheria mtumwa husika kurudi mashambani. Hiyo mamlaka adhimu kama Sir William Blackstone aliamini kwamba kuhusu haki yoyote mmiliki wa mtumwa anaweza kupata uhalali kamili kwa ajili ya utumishi wa kuendelea wa John na Thomas (yaani watumwa waliobatizwa), watabaki katika hali ileile ya kutawaliwa maisha yote; hapa Uingereza au penginepopopote.” 3


Wakati meli zilizobeba watumwa kutoka nchi za Kikristo kwenda katika nchi za magharibi za Amerika ya Kaskazini na Kusini, wachungaji, wa Kikristo walikuwa na desturi ya kuzibariki meli hizo kwa jina la Mweza Mwenye nguvu zote na kuwaonya watumwa wawe watiifu. Kamwe haikupata kuingia akilini mwao hao wachungaji kuwaonya wamiliki wa watumwa kuwa na huruma kwa watumwa.


Ni vigumu kuamini lakini inaonyesha kwamba Kanisa Katoliki linafikiri ni sahihi kabisa na inaafikiana na mafundisho ya kanisa lao kununua watumwa hata katika kipindi hiki cha miaka ya 1970. Mwezi Augosti, 1970 dunia ilishtushwa kusikia kwamba Kanisa Katoliki lilimnunua, kwa bei ya kuanzia pauni za Kiingereza 250 hadi 300 kila mmoja, kiasi cha wasichana wa Kihindi 1500 na kuwafun- gia kwenye mabweni ya kidini kwa sababu wasichana wa Kizungu hawataki kuishi maisha ya usista. 4


Palitokea kilio kikubwa hapa duniani hivyo kwamba Vatican ililazimika kuunda tume ya kuchunguza jambo hili. Lakini hata kabla ya tume kuanza kazi yake ya uchunguzi, msemaji wa Vatican alikubali kuwepo kwa “ukweli” kwenye taari- fa hiyo, ingawaje katika kutimiza wajibu wa kazi yake alilaumu gazeti la Sunday Times kwa uchuuzaji wake wa hisia za watu.
 
Huwa swali lako ni moja tu katika kuthibitisha Utumwa

Lkn Maelfu ya Waafrika kule kwa Baba zenu wazungu hapana

Bali
Kwa Waarabu tu

Kweli Hasidi hana Sababu

Kupatikana kwa Bilaal zama zile
haina maana wao walikuwa wanafanya Biashara ya Utumwa

Kisha

Uislam ulipokuja,ulimtoa Bilaal katika Mkono wa muovu na kumpa uhuru halisi na amani ya kweli

Huoni hapo
Uislam,hautaki mambo ya Utumwa!!!
Nenda Zanzibar kuna mashamba ya watumwa mpaka leo yapo tena yanamajina kabisaa kuwa ni shamba la Jmshid au nani mbona tunawatetea sana hawa wananini?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ushahidi upi uliokuwa nao kuwa mababu zenu wamefanywa watumwa na waarabu? Sijui mnakuwa mnajitoa akili au ndio chuki zenu mkikosa la kusema! 😀 😀 😀 Nyerere aliwaambia wanawake wanafagilishwa barabara unguja kwa maziwa au nani kawafundisha mambo haya? Sio nyinyi mliokuwa mkiwauza ndugu zenu vijijini kwa wazungu kisa unapewa kioo ujitizame?

Nianze kukupangia kila nchi na Colonial Master wake akisha tutajua nani kashamiri kwa biashara ya utumwa?

Mwarabu katoka Oman kaja Zanzibar Enzi hizo, kufika tu, kaifanya Zanzibar Mji mkuu wa Oman. Ivi unaweza kunambia taifa gani limefanya ivo kwa Afrika zaidi ya kuwadharau tu? Nyie na CCM ya Zanzibar mkieneza chuki dhidi ya Waarabu, lakini walivokuja na meli yao kina Balozi wakafunga bandari hamna kazi kuwapisha waarabu waingie, mnajifanya watumwa kabla ya kutumwa 😀
Mkuu nahisi historia niliyofundishwa darasani walinilisha matango pori!!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KING LEOPOLD 2 wa belgium kawua wakongo zaid hata ya million 1 wengine kakata mikono wengin migu lakin ucki chochote tukifundishwa Ma shuleni kama vil haijulikan huu ndio mda Wa Africa twamke tujielewe sio tunakuwa tunaishi kwa Akili za kukarilishwa mashuleni tu!!!View attachment 968026
Mkuu mbona tunafundishwa na vitabu vipo au unazungumzia shule za Malawi?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
There you are, walikua Wareno and you knew it through HISTORY na history hiyo hiyo unayo nishauri kwenda kuisoma ndio imetufundisha kwamba Waarabu ndio waliofanya biashara ya UTUMWA hasa Tanganyika na ushahidi upo, ni hayo magofu yaliopo Bagamoyo na Zanzibar. Nimekuingiza kingi na umeingia, well hicho ulicho soma kuhusu Wareno, kwanini kitabu hicho hicho kinacho eleza habari za UNYAMA wa Waarabu hutaki kukiamini? Chagua moja, either uamini kitabu chote na historia yake au pingana na kitabu kizima cha historia ili um save MWarabu wako wa Omani na ukatiri wao.
Kuna watu ni far fetched aisee yaani mtu hawezi kukubali ubaladhuri wa waarab kisa mtuwe wao katoka huko au hakubali ukatili wa wazungu kwa sababu tu ndo anaoana ndiyo wenye perfect development huu si ujinga huu

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Umenifurahisha kwa sababu ya kuonesha how low you are in terms of knowledge. ivi nikikuletea bibilia ambayo inavitabu viwili vya mwanzo sahihi na vyengine nimevimodify itamaanisha kuwa hakuna ukweli kwenye icho kitabu ata mmoja? Pathetic!

And just FYI, history books zipo nyingi tu, huhitaji kusoma kitabu kimoja tu ndio ukawa unajua historia.... Uzuri wa Zanzibar kuna watu wapo hai hadi sasa ambao walikuwepo enzi za utawala wa sultan. cha kushangaza, kutoka midomoni mwao husikii kuwa eti wanawake walifagilishwa barabara kwa maziwa (breasts) yao. 😀

Tafuta elimu kwanza, kingi umejiingiza mwenyewe, kitabu nlichosoma mie na ulichosoma wewe sio sawa.

By the way, achilia mbali waarabu na wazungu, Waswahili wenyewe wamefanya biashara ya utumwa!
Mkuu kitabu gani umesoma tukipitie

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hebu wauilize wazazi wako watakwambia kama hata wewe ulipakwa wanja udogoni... sasa tatizo linakuwepo wapi? 😀
Umejumuisha watu wa pwani na jamii nyingine. Kiuhalisia watu wengi wa pwani hupaka wanja watoto wao wakiwa wadogo lakini si jamii zote.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kwa Mtanzania anayekijua Kiswahili kwa ufasaha lugha ya Kiarabu unaweza kuijua kwa muda mfupi tu. Hata miezi 6 hapa kwa wale wa mikoa ya Pwani na wa mikoa ya bara wanaweza kuchukua mpaka mwaka mmoja.
Tunashukuru kwa kutuongezea maarifa
 
Nenda Zanzibar kuna mashamba ya watumwa mpaka leo yapo tena yanamajina kabisaa kuwa ni shamba la Jmshid au nani mbona tunawatetea sana hawa wananini?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

Ndivyo unavyoambiwa kanisani?? Tuletee jina la mtu mmoja Tu Mzanzibari ambaye babu yake alikuwa mtumwa na ulete address ya alipoishi hapa Zanzibar
 
Ongeza hapo kuwa walipofanya biashara ya utumwa waliwahasi mababu zetu ili wasiweze kuzaliana. Na ndo maana pamoja na kwamba waarabu ndo walikuwa vinara wa biashara ya utumwa na watumwa wengi pia walipelekwa uarabuni hatuwezi kuona masalia ya viazi vya watu weusi kule uarabuni kama ilivyo African-Americans
propaganda hizo... mbona huzungumzi wale wa west afrika?
 
Hahaha...Maneno meengi lakini PUMBA TUPU.
Wahispania waliona fursa ya kuwageuza imani wapagani ndani ya biashara hiyo, na (madhehebu ya Kikristo ya) “the Jesuits”, “Dominicans” na “Franciscans” walijihusisha mno na kilimo cha miwa, ambacho kilisababisha umilikaji wa watumwa muhimu. Hadithi imesimuliwa kuhusu mzee wa Kanisa huko Newport ambaye kila wakati, Jumapili iliyofuata baada ya kuwasili watumwa kutoka pwani, alikuwa anamshukuru Mungu kwamba mzigo mwingine wa viumbe washenzi uliletwa mahali ambapo wangeweza kupata manufaa ya neno la Injili.’


Lakini kwa ujumla wakulima wa Kiingereza walipinga Ukristo (kufundishwa) kwa watumwa wao. Ukristo uliwafanya watumwa kuwa wapotovu zaidi, kutokuwa watiifu na kwa hiyo wanakuwa hawana thamani. Pia ilikuwa na maana pia kutoa maelekezo kwa lugha ya Kiingereza, jambo ambalo liliruhusu makabila mbali mbali kukutana pamoja na kupanga njama za uasi… Gavana wa Barbados mnamo mwaka wa 1695 alilihusisha hilo na wakulima kukataa kuwapa watumwa mapumziko siku ya Jumapili na sikukuu, na mwishoni mwa 1832 maoni ya umma wa Uingereza (Britsh public opinion) yalishtushwa na wakulima walipokataa pendekezo la kuwapa Watu Weusi siku moja ya kupumzika ili kuruhusu kukomesha soko la Jumapili la Watu Weusi.


Kanisa lilitii. “Society for the Propagation of the Gospel” (chama cha kuitangaza Injili) kilikataza mafundisho ya Kikristo kwa watumwa wake huko Barbados, na kuwapiga chapa ya ‘Society’ (chama) watumwa wake wapya kuwatofautisha na wale waliomilikiwa na watu wa kawaida; watumwa wa mwanzo walikuwa urithi wa Christoper Codrington. Sherlock, baadaye akawa Bishop wa London, aliwahakikishia wakulima kwamba ‘Ukristo na kuikumbali Injili hakuleti hata cheme ya tofauti kuhusu mali za raia.’ Wala haukuwekwa vikwazo katika shughuli za kikanisa. Kwa kazi zake kuhusu Asiento ambazo zilisaidia kumfanya kama muwakilishi (Balozi) mwenye mamlaka kamili wa Uingereza huko Utrecht, Bishop Robinson wa Bristol alipandishwa cheo na kuwa Askofu wa dayosisi ya London.


Kengele za makanisa ya Bristol zililia kushangilia kuhusu taarifa ya kukataliwa na Bunge muswada wa Wilberforce uliotaka kukomeshwa kwa biashara ya watumwa. Mfanyabiashara wa biashara ya watumwa, John Newton, aliyashukuru makanisa ya Liverpool kwa ushindi wa jaribio hili la mwisho kabla hajabadilika na akaomba baraka za Mungu zimjie yeye. Alianzisha ibada ya hadhara mara mbili kwa siku kwa uchu wake, akihubiri yeye mwenyewe, na alitenga siku moja ya kufunga saumu na kusali, si kwa ajili ya watumwa bali kwa ajili ya wafanyakazi wa meli. ‘Sikujua,’ aliungama, ‘utamu au saa zaidi za sakramenti takatifu ziwe mara nyingi zaidi kuliko kwenye safari mbili za baharini za kwenda Guinea.’


Kadinali Manning maarufu wa karne ya kumi na tisa alikuwa mtoto wa mfanya biashara tajiri wa visiwa vya West Indies aliye kuwa anashughulika na bidhaa zilizo limwa na watumwa.Wamisionari wengi waliona ni faida kubwa kumfukuza Beelzebub kwa Beelzebub (yaani, kumfukuza shetani kwa kumtumia shetani). Kwa mujibu wa mwandishi wa siku hizi za karibuni sana wa Uingereza kuhusu biashara ya watumwa, walifikiri kwamba njia nzuri zaidi ya kurekebisha matumizi mabaya ya watumwa Weusi ilikuwa kumfanya mwenye shamba kuwa mfano mzuri kwa kuwatunza watumwa na mashamba wao weneywe, ili kutimiza katika utekelezaji wa aina hii ukombozi wa wamiliki wa mashamba na kuendeleza misingi yao.’


Wamisionari wa Kanisa la Moravian kisiwani hapo walimiliki watumwa bila kusita; Wamissionari wa Kanisa la, mwandishi mmoja wa historia anaandika kwa mtiririko wa mvuto kwamba Baptists (yaani, Wakristo wa madhehebu ya Baptst) hawakuruhusu wami- sionari wao wa mwanzo kupinga kumiliki watumwa. Hadi mwisho kabisa, Askofu wa Exeter aliendelea kuwa na watumwa wake 655, na mnamo mwaka wa 1833 alilipwa pauni za Kiingereza 12,700 kama fidia ya watumwa hao.


Wataalam wa historia wa Kanisa waliomba msamaha wa kufedhehesha, kwamba dhamiri ilizinduka polepole sana kutathmini uovu ulioletwa na utumwa na kwamba utetezi wa utumwa uliofanywa na watu wa kanisa ‘ulitokana na utashi wa uzuri wa utambuzi wa maadili.’ Hakuna haja ya kuomba msamaha wa aina hii. Msimamo wa watu wa kanisa ulikuwa ndio msimamo wa mtu wa kawaida. Karne ya kumi na nane kama nyingine yoyote, haingeweza kuvuka mipaka ya uchumi wake. Kama alivyo hoji Whitefield alipokuwa anatetea kusomwa tena kila kipengele cha mkataba wa Georgia uliositisha utumwa, ‘Ni rahisi kuonyesha kwamba nchi za joto haziwezi kulimwa bila Watu Weusi.’


Quaker (kundi la Wakirsto ambalo halipendelei mikutano rasmi na halipendelei ghasia au vita) - wasiofuata kanuni, hawakukubali kuacha biashsra ya watumwa. Mwaka wa 1756 walikuwepo Quaker themanini na nne waliorodhesh- wa kama wanachama wa kampuni ifanyayo biashara kwenda Afrika, miongoni mwao ni “the Barclay”: na “Baring families.” Shughuli ya watumwa ilikuwa moja wapo ya uwekezaji wenye faida kubwa wa Quaker wa Uingereza halikadhalika na wale wa Marekani na jina la mfanya biashara ya watumwa, The Willing Quaker, aliarifu kutoka Boston – Siera Leone mwaka wa 1793, inaashiria uthibitisho ambao ulisababisha biashara ya watumwa kuheshimiwa katika jamii ya Quaker.


Jamii ya Quaker ilifanya upinzani dhidi ya biashara ya watumwa kwanza kutoka Marekani na kutoka kwenye vijiji vya jamii ndogo vya kaskazini, ambavyo havikujihusisha na nguvu kazi ya watumwa. ‘Ni vigumu’, anaandika Dk. Gray, ‘kukwepa dhana kwamba upinzani huo dhidi ya mpango wa watumwa kwanza uliwekewa mipaka kwa kundi ambalo halikupata manufaa ya moja kwa moja kutoka kwenye biashara hiyo, kwa hiyo walikuwa wapinzani.’


Utumwa ulikuwepo wakati wa Mwingereza wa karne ya kumi na nane. Na sarafu ya Kiingereza, guinea, ingawaje ilipatikana kwa nadra, chanzo chake ilikuwa biashara ya Africa. Mhunzi wa dhahabu wa Westminster alitengeneza kufuli kwa ajili ya Watu Weusi na mbwa. Sanamu za watu weusi na tembo, ishara ya biashara ya watumwa zilipamba ukumbi wa Liverpool Town Hall. Alama za cheo na vifaa vya wafanya biashara ya watumwa vilionyeshwa wazi ili vinunuliwe kwenye maduka na kutangazwa kwenye magazeti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu jamii ya Walaaniwa.

Washenzi sana hawa, wana roho mbaya za visasi.

Wapuuzi kwel kwel.

Wabillah Tawfiq,

Sent using Jamii Forums mobile app


Maneno yako ni kweli waliobarikiwa ni nyinyi mnaoolewa na Wachungaji wazungu

1548988417423.png





To vicar Colin Coward, it is nothing short of a marriage made in heaven. But the 65-year-old is expected to raise a few traditional eyebrows when he walks down the aisle with the man in his life – a 25-year-old Nigerian model called Bobby.

Mr Coward and his African partner are due to hold a partnership later this year, followed by a service at the vicar’s church, St John the Baptist church in Devizes, Wiltshire.
 
Back
Top Bottom