Wafahamu wachawi na uchawi hapa

Wafahamu wachawi na uchawi hapa

Foxyizafa nadhani mleta mada kaandika kutokana na upeo wake ulipoishia kwenye hii mada ...sasa ww kama unauelewa mkubwa zaidi ilibidi uongezee au uandike jinsi ujuavyo ww kuliko kumkosoa mtu bila kuelezea ukweli wako ..inaonekana hii mada kama imekugusa umejibu kwa jazba sana

sijamjibu kwa jazba nmejaribu kumtanabaisha anapotaka kuhubiri auhubiri lkini anapotka kuzungumzia mambo ynaytakiwa uwenaufahamu wakutosha hupasw kuandika kwa mlengo waupande mmoja na hata jmbo lnywe halijui hii ni haifai mkuu
 
Simulizi yako haina mashiko
Pale ulipo sema ijumaa wachawi aw logi kwasababu ya uwapo wa mikutano ya kilokole siku hiyo, sioni kama kuna ukweli maana ulokole hasa nchi zetu hizi umekuja juzi tu na uchawi upo tangu enzi sasa ijumaa kabla ya ulokole walokua wanaloga?
 
stunna nakuelewa sana, mkuu.
Ila kidogo nitie tie nyama then msomaji huweza kupata mwanga na majibu ya baadhi ya maswali yake.
Kila kitu kina higher level katika utendaji wake, katika hizo level kuna watu ambao ni choosen one ambao huweza kabidhiwa siri ya kitu husika na kuaminika moja kwa moja na Blue print wa uchawi na giza ambae ni Lucifer.
kama alivyosem wanaotumia Fimbo na miongon mwa wenye nguvu kidgo, katika process moja ya kuhakikisha fimbo hutumika kama usafir haya hufanyika. Muhusika anaiweka fimbo hiyo chini, kisha huanza kusoma dua fulani kwa Lugha ya kiarabu fimbo hiyo hunyanyuka na kupanda hewani kama ilivyokuwa imelazwa. Sasa hapo muhusika atakanyaga upande mmoja wa fimbo kisha majini yake yatamwonyesh njia yote atayopita roho, na kuona kama kuna hatari yeyote atapewa warning pia, akiweka mguu wa pili kwenye fimbo safari itaanza, tena hiii ndio njiaa ya haraka sana.
Nini hufanyika hapo, roho itaacha mwili (kama baadhi wanavyofundisha jinsi ya kutoka nje ya mwili humu) fimbo ile itaanza kukimbia na roho yako itaanza kuifata mwili huo kwa haraka sana ndio maana jina lingine la usafiri huu ni kujitoa uhai.

Waganga wengi unaowaona ni zao hilo hilo la kuzimu, wana kazi na wajibu wao pia, ila dhumuni kubwa ni kupeleka roho nyingi kuzimu na kutesa watu na kuwaondoa akili za kuwaza ibada. Wao wanaleta shida na hao hao hujifanya kuleta suluhu ili kukamata roho yako vizuri, kumjua mganga angalia equation hiii
Mganga =mchawi + Tabibu.
Ni zaid ya uchawi maana huweza kuroga na kuagua.

Unapo pata shida za wachawi hujaenda kwa mganga ni sawa umepigwa na chui ukaenda kwa simba kutaka msaada.
Msaada huo ni wa muda mfupi haudumu milele. Ukitaka kuwa Salama tafuta Mungu wa kweli ambae hana shaka na wala hajawahi hata kuhisiwa au kutamkwa popote kuwa ni Mungu wa kuzimu, Ukipata wachawi 100 hakuna hata mmoja ambae anasema alitumwa, au kukutana na YESU ili ampe nguvu za kichawi, mengine tafakari.

Kila nitakapo pata neno la kuchangia nitafanya hivyo

Naomba uni elimishe tafadhali.

Ningependa kujua, haya mambo uliyajua jua vipi and how did u prove that they truly exist ??
 
Last edited by a moderator:
kanigusa zaidi kwnye magonjwa..mi huwa siumwi often, namshukuru Mungu kwa protection yake kwangu na kwa ajili ya hiyo toka zamani nikiumwa huwezi niona hospital, imani yangu kweli ipo strong..ila ukilala mzima na unaamka asubuhi unaumwa, aisee lazima ushtuke na ndicho kilichonitokea last week, nilisali hadi nikalijua tatizo na nikazidi kuomba and right now hata sisumbuki na maumivu ya mgongo tena

kuna watu wanakuja wakiwa kwny ngozi ya kondoo, kumbe chini yake mapembe yanang'aa yamenyooka loh! Simama na Mwokozi wako, you will be fine
 
Weka source ambayo ni dvd ya aliyekuwa sheikh shariff (aliyekuwa mtoto maarufu Tabora miaka 90s) ambaye aliokoka Mbeya
 
Pele mchawi wa soka.
Naendelea kuwaza tu mambo ya rohoni.
Uharibifu wowote unaoonekana katika mwili (kwa macho) huanzia Kwenye ulimwengu wa kiroho.

UKlWA vizuri Kwenye ulimwengu wa kiroho hamna atakaye weza kukuroga.

Very true uko Sawa kabisa matukio yote yanayomtokea binadamu hufanyika kwanza kwenye ulimwengu wa kiroho then baadae ndo kwenye ulimwengu wa kawaida.
Ukiwa vzuri na kuvunja kila madhabahu za mwovu utaishi vizuri na kukwepa mikossi iliyoandaliwa.
Maana maandiko yanasema vita vyetu si juu ya damu na nyama ila ni vya kwenye ulimwengu wa roho kupambana na pepo waovu.
 
Hilo si jina la kawaida, ni jina lililokirimiwa kupita majina yote, jina lenye mamlaka . Hata kuzimu wakiwa wanataka kumtaja hutumia neno kama The one kama code ya jina hilo, kinyume na hapo ni hatari gizani

Hili jina kiboko kuzimu marufuku kulitaja kabisa kuna mmoja alienda huko akajisahau akalitaja mapepo yote na shetani yaliungua kukuchafuka kabisa. Hili ni jina lipitalo majina yote.
 
Asante sana lakini naisubiri kwa hamu hio ya majini maana this is so serious kuna vita kubwa sana ya kiroho ambayo hatuioni lakini kama ukisali sana na ukawa na macho ya kiroho utaona

usijali mkuu hiyo ya majini ntaweka kilakitu hadharani
 
Hili jina kiboko kuzimu marufuku kulitaja kabisa kuna mmoja alienda huko akajisahau akalitaja mapepo yote na shetani yaliungua kukuchafuka kabisa. Hili ni jina lipitalo majina yote.

JESUS.....ila badili username lako, i hope ukijua wats beyond ilo jina...
 
Vipi kwa wenzetu waislam?au hayo majini na mashetani hayawahusu wao?na kama ndivyo unajifunza nini hapo?au Mungu ni wa walokole tu?au umeelezea upande unaoujua tu?kama ndivyo basi tukubaliane kuwa elimu yako haijakamilika! Huwezi kuzungumzia mti kwa kuainisha tawi moja pekee,nilitegemea utueleze majini na wachawi ni viumbe wa aina gani,wameumbwa na nani,kwa makusudi gani,nk,ila nilichokiona hapo ni promotion kwa walokole mwanzo mwisho,na kwa bahati mbaya zaidi ukweli usiohitaji scientifical proof ni kuwa jamii ya walokole ndiyo moja ya jamii zinazotaabika sana kwa ukosefu wa maarifa wakitanguliwa na jamii ya waaminio ushirikina,Mungu akubariki ili uweze kuzifanyia kazi changamoto hizi na next time uje ukiwa more smart.

Mkuu nimekuelewa lakini nmejaribu kubase kwnye makanisa kwa maana ndio vita yao kubwa iliko sikutaka kubase kwa waislamu na wala sipo kwa ajiri ya promo isipokuwa nipo kwa ajiri ya kushare hii elimu, kwa mfano nkuulize labda ni wapi umeshawahi kuona mchawi kadondokea msikitini au kwnye mkutano wa kiislamu?? jibu ni hapana ndio maana kwa leo sikutaka kubase huko nauandaa uzi mpya wa majini huo ntaelezea kila kitu na nafikiri utajifunza kitu
 
We Vp ! Unauliza mipango CCM ?.. Wale Washkaji Zao ina maana hujui au ? ndiyo maana wanakwambia majini yalisilimu yakawa waislam

kwani majini kusilm nijambo baya? wehujui uliza majini wametahajwa zaid yamara 20kweny bible malaika wameelkza dawa zakupnga mappo tibiti6:1-8 na 8;1-3.mambo yaramli ymetajwa samwel1sura28aya ya3-20.yesu alielekrza kupnga majini mathayo8;28-34.namathayo17:14-21..majini pia walmwamin yesu soma marko3;11.pia walitii wanafunzi kwajina la yesu luka10:17.paulo pia alipeleka wanafunzi wakekwashetani wafundishwe wasimtukane mungu timotheo wakwnza1:18-20.hao majn niviumbe na tunaish ktk ulimwngu mmoja kwamujbu wavtbu vyte ndomna ktk biblia walaw17:1-7 MAJNI WALZNI NA WANAISRAEL SO WAO KUAMIN NIHAKI YAO NDOMANA KUNA MAJINI KILA DINI KILA KABILA NAHAYO YMESEMWA NABIBLE HATA KABLA MUHAMMAD HAJZALIWA IKIWA WACHAW WALIAMIN MFNO SIMON SOMA MITUME8:9-11.NAHATA MAPEPO WALITII VP KWNYE QURAN IONEKANE NDO AJBU NA MTAMBUE UISLAM NDODINI ILIPINGA VIKALI USHIRIKINA KULKO DN NYNGNE YYTE aya ya3 ktk sura yatano na aya yatisini ktk sura hiyohiyo mwmungu amesema wazi.quran haiusiki na uganga wala kupunga imesemwa wazi sura ya6 aya112.tujitahidini tusome tusifate mkumbo kmakuna mtu anahitaj ufafanuzi zaid anitfte mana naandka kifup sabbu nnamambo mngi yananizonga nakwakua kuna vitabu vingi nshaandika kuhusu haya mambo sioni sabbu yakujaza jukwaa mtuakitaka hoja avitafute then ataelewa vzuri
 
Darasa zuri sana. Kwanini majini walisikiapo jina la YESU hutetemeka?

lazma watetemeke ndio maana wenzetu hilo jina huwa halitajwi misikitini kwa maana majini pia nayo huwa yanaswali sasa ili kupooza makali ya hilo jina na ilete maana moja ndio maana wakaamua kumuita Yesu kwa jina la issa lakini ni watu wawili tofauti,sasa ikiwa watalitaja hilo jina msikitini na akati na majini pia yapo hali inaweza kuwa tete. ila mkuu naandaa uzi mpya unaozungumzia mambo haya najua utapata upinzani mkubwa sana humu
 
Wewe acha kutuzingua, unadai wachawi hawarogi ijumaa eti kwa kuwa walokole wanakesha kanisani, kwa nini usiseme hawawangi kwa kuwa ijumaa ni siku tukufu kwa waislamu wanafanya ibada kwa wingi!?
 
stunna nakuelewa sana, mkuu.
Ila kidogo nitie tie nyama then msomaji huweza kupata mwanga na majibu ya baadhi ya maswali yake.
Kila kitu kina higher level katika utendaji wake, katika hizo level kuna watu ambao ni choosen one ambao huweza kabidhiwa siri ya kitu husika na kuaminika moja kwa moja na Blue print wa uchawi na giza ambae ni Lucifer.
kama alivyosem wanaotumia Fimbo na miongon mwa wenye nguvu kidgo, katika process moja ya kuhakikisha fimbo hutumika kama usafir haya hufanyika. Muhusika anaiweka fimbo hiyo chini, kisha huanza kusoma dua fulani kwa Lugha ya kiarabu fimbo hiyo hunyanyuka na kupanda hewani kama ilivyokuwa imelazwa. Sasa hapo muhusika atakanyaga upande mmoja wa fimbo kisha majini yake yatamwonyesh njia yote atayopita roho, na kuona kama kuna hatari yeyote atapewa warning pia, akiweka mguu wa pili kwenye fimbo safari itaanza, tena hiii ndio njiaa ya haraka sana.
Nini hufanyika hapo, roho itaacha mwili (kama baadhi wanavyofundisha jinsi ya kutoka nje ya mwili humu) fimbo ile itaanza kukimbia na roho yako itaanza kuifata mwili huo kwa haraka sana ndio maana jina lingine la usafiri huu ni kujitoa uhai.

Waganga wengi unaowaona ni zao hilo hilo la kuzimu, wana kazi na wajibu wao pia, ila dhumuni kubwa ni kupeleka roho nyingi kuzimu na kutesa watu na kuwaondoa akili za kuwaza ibada. Wao wanaleta shida na hao hao hujifanya kuleta suluhu ili kukamata roho yako vizuri, kumjua mganga angalia equation hiii
Mganga =mchawi + Tabibu.
Ni zaid ya uchawi maana huweza kuroga na kuagua.

Unapo pata shida za wachawi hujaenda kwa mganga ni sawa umepigwa na chui ukaenda kwa simba kutaka msaada.
Msaada huo ni wa muda mfupi haudumu milele. Ukitaka kuwa Salama tafuta Mungu wa kweli ambae hana shaka na wala hajawahi hata kuhisiwa au kutamkwa popote kuwa ni Mungu wa kuzimu, Ukipata wachawi 100 hakuna hata mmoja ambae anasema alitumwa, au kukutana na YESU ili ampe nguvu za kichawi, mengine tafakari.

Kila nitakapo pata neno la kuchangia nitafanya hivyo
Merengo90 katika andiko lako hapa kuna kitu nimejifunza
MUNGU akubariki sana
 
Last edited by a moderator:
jamani msizungumze mambo ambayo huna taaluma nayo kwakuhubiri ulkole umeweza ilauchawi ni zaid yahayo ulosema ndugu upo uchwi wa aina nyng sana na siwote wanakutana ijumaa kwmye vilnge na hakuna jini anaeitwa khairut na kama ulikua hujui wapo wachaw wanatumi hayo hayo makanisa kktania tena huku kwetu kwasiri lkn hukonjelive na humohutumia hyobible kfnikisha baadh ya shughli zao.mm nina elim yakutosha juu ya hayo mambo na nshafika nchinyngi za ulaya mashriki na afrikamaghrib na ucpnde kkrupuka humu jf hivyo vtu vnawajuz wake sio umekremsha story zakijjni k kuletamada usioijua hapa

ndugu yangu nafikiri umeusoma kwa gadhabu ndio maana umeshindwa kuuelewa ni wapi niliposema wachawi wanakutana kila ijumaa?? na pia ninaposema makanisa ya kiroho simaanishi makanisa yote maana kuna makanisa ambayo si ya kiroho japo ni makanisa,lakini pia unaposema wapo wanaotumia biblia kufanyia ulozi mi nafkiri quran imekuchanganya ndgu yangu ndo mana huwezi kuta hata mganga anatumia biblia kwnye kilinge chake cha uganga?? na kama ushawahi kumuona mtu anatumia biblia kuponya basi jua huyo ndo mlokole tunaemzungumzia maana kinachoponya si hio biblia bali ni neno lililoandikwa humo lakini hao tunalowaskia wanaitwa waganga wa vitabu ni vitabu gani wanavyotumia??
 
Mkuu nimekuelewa lakini nmejaribu kubase kwnye makanisa kwa maana ndio vita yao kubwa iliko sikutaka kubase kwa waislamu na wala sipo kwa ajiri ya promo isipokuwa nipo kwa ajiri ya kushare hii elimu, kwa mfano nkuulize labda ni wapi umeshawahi kuona mchawi kadondokea msikitini au kwnye mkutano wa kiislamu?? jibu ni hapana ndio maana kwa leo sikutaka kubase huko nauandaa uzi mpya wa majini huo ntaelezea kila kitu na nafikiri utajifunza kitu

hujui kitu ndugu hao wachawi mnaosema mnapiga sana vta mnatumia kitabu gani na tucompare kt ya bible na quran wapi kunamafundisho yakuupinga uchwi nakupmbana nao ss tna aya kibaozinaeleza wazi uchawi madhara yke najinc yakujilnda vp useme cc htuliangalii hilo ntakupa chache tuimraan3:1-2,ikhlasw,nnas,falaq,al araf7:117-121,yunuss10:81-82,twaha20:69,tawba9:4 na ayanyingi zngne ilanynyi hamsom akili zenu mgndo mnaongea mnachohisi mada ya mambo haya narudia ww hunaujuzi nayo cos nimambo mtambuka ynagusa kilanyanja na inabd author awe nimjuzi ama msomi jaribu tu kuwapm wakina mshana jr,mzizi mkavu rankims na wngne watkupa muongzo cc wngne simabingwa wakupost ilatumebobea kwny ilmu hzo saweww ukijahapa nathread ya aina hiyo hlfu inamaudhui mengine cc hatuwz kukausha tutakuchana tu.hoja mbna wachawi hawaanguk micktn huo niutoto hakna asiejua aina yamaknisa yakiroho ufnyji waowaharkt swali jpes mbna hawaanguki kweny maknisa ya kiroma,anglikna na ruthlani inamana kule yesu hayupo hebu jfunze kuwa na heshma ya maoni ndugu
 
Back
Top Bottom