Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91]

1.Mabululu (Angola [emoji1029])
2.Herelinson (Angola [emoji1029])
3.Ayoub (Tunisia [emoji1249])
4.Mourad (Tunisia [emoji1249])
5.Samer Jondi (Palestine [emoji1193])
6.Manzi (Rwanda [emoji1206])
7.isac Mintah (Ghana [emoji1110])
8.Islam Bitran (Palestine [emoji1193])

#NB halafu anaibuka Mtu huko na Streka lake la USHELISHELI ambalo linakimbia huku limefumba macho,
ANAKWAMBIA WANAFUZU MAKUNDI HUKO LUUUZAAA CUP

Kwani Mmesahau Jwaneng Waliwatolea Wapi!!????[emoji848]View attachment 3079436
Kiuhalisia hap tripoli ndio wana hofu sana na simba, simba ipo top 5 hadi 10 kwenye lank za club bora Africa hilo tu linawatisha sana Tripoli.
Cha pili simba ndio timu inayoweza kuifunga hata al ahly ya misri ambayo waarabu wote wanaamini ndio team bora sana kwao..
 
Taarifa kutoka tripoli Libya ni kwamba uongozi wa timu umegawanyika vipande vipande ishu kubwa ni kwanini viongozi wameshindwa kuihonga caf ili wabadilishiwe Simba na timu nyingine ili walau waingie makundi. Kwa Simba tripoli wanaona hawana nafasi ya kufunga hata goli moja achia mbali kuiondosha simba
Shtuka mkuu ...hyo ni ndoto mbayaa
 
Kiuhalisia hap tripoli ndio wana hofu sana na simba, simba ipo top 5 hadi 10 kwenye lank za club bora Africa hilo tu linawatisha sana Tripoli.
Cha pili simba ndio timu inayoweza kuifunga hata al ahly ya misri ambayo waarabu wote wanaamini ndio team bora sana kwao..
Sio Kwa Simba hii
 
WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91]

1. Mabululu (Angola [emoji1029])
2. Herelinson (Angola [emoji1029])
3. Ayoub (Tunisia [emoji1249])
4. Mourad (Tunisia [emoji1249])
5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193])
6. Manzi (Rwanda [emoji1206])
7. Isac Mintah (Ghana [emoji1110])
8. Islam Bitran (Palestine [emoji1193])

NB halafu anaibuka Mtu huko na Streka lake la USHELISHELI ambalo linakimbia huku limefumba macho ANAKWAMBIA WANAFUZU MAKUNDI HUKO LUUUZAAA CUP

Kwani Mmesahau Jwaneng Waliwatolea Wapi? [emoji848]

View attachment 3079436
Kizalendo, natamani Simba watoboe kwa manufaa ya nchi yetu.
Ila hata wakifungwa sio mbaya kiviiile, maana watapunguza kututukana wananchi.
 
Back
Top Bottom