Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91]

1. Mabululu (Angola [emoji1029])
2. Herelinson (Angola [emoji1029])
3. Ayoub (Tunisia [emoji1249])
4. Mourad (Tunisia [emoji1249])
5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193])
6. Manzi (Rwanda [emoji1206])
7. Isac Mintah (Ghana [emoji1110])
8. Islam Bitran (Palestine [emoji1193])

NB halafu anaibuka Mtu huko na Streka lake la USHELISHELI ambalo linakimbia huku limefumba macho ANAKWAMBIA WANAFUZU MAKUNDI HUKO LUUUZAAA CUP

Kwani Mmesahau Jwaneng Waliwatolea Wapi? [emoji848]

Dah! Kama kuna wapalestina kweny hicho kikos bs smba ktu kitacho mzuia kufuzu labda ascheze mechi yake zote
 
WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91]

1. Mabululu (Angola [emoji1029])
2. Herelinson (Angola [emoji1029])
3. Ayoub (Tunisia [emoji1249])
4. Mourad (Tunisia [emoji1249])
5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193])
6. Manzi (Rwanda [emoji1206])
7. Isac Mintah (Ghana [emoji1110])
8. Islam Bitran (Palestine [emoji1193])

NB halafu anaibuka Mtu huko na Streka lake la USHELISHELI ambalo linakimbia huku limefumba macho ANAKWAMBIA WANAFUZU MAKUNDI HUKO LUUUZAAA CUP

Kwani Mmesahau Jwaneng Waliwatolea Wapi? [emoji848]

5imba wapo vizuri,wao majayantiii....
 
Simba makundi ni lazimaa, sio hiyariii
Unataka ndio hivyoo, hutakii ndio hivyooo.
 
Na mbaya zaidi game tunaanzia kwa mkapa afu tunamalizia Tripoli kwa first eleven ya kuanza na mzamiru plus mapembe na sub kibu lazima kiumane
Wee una kichaaa? Simbaa aanzie nyumbani ktk hii hatua?
Em teseka taratibuu bwasheeeee, Simbaa ni mwendo wa humu tyuu, humu tyuu.

Poleeeee wee,
 
Awana wajezaji wa ku compete kimataifa, kwa msimu huu musahau tu, mna average player wengi Sana.
Ila mmeamua kuwapa sifa sizo.

Misimu miwili hi mta struggle mechi za kitaifa.
Wee em Relaaaaaxxxx!!!
Simba to the final CAFCC.
 
Wee una kichaaa? Simbaa aanzie nyumbani ktk hii hatua?
Em teseka taratibuu bwasheeeee, Simbaa ni mwendo wa humu tyuu, humu tyuu.

Poleeeee wee
We ndio dishi limeyumba ngoja nilitikise kidogo likae sawa
Screenshot_20240826-140138.png
 
Back
Top Bottom