Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

Awana wajezaji wa ku compete kimataifa, kwa msimu huu musahau tu, mna average player wengi Sana.
Ila mmeamua kuwapa sifa sizo.

Misimu miwili hi mta struggle mechi za kitaifa.
Tunawaambia hawaelewi
 
Ukitumia mahaba ya ushabiki ...hautelewa....$ but Kama utafanya uchambuzi.... utaelewa
Mimi Yanga kweli ila mpira si upo wazi wale waarabu hawana Timu ya kuitoa Simba ila wangecheza na Azam hapo ningekuelewa maana Azam wao wanacheza CAF kama mashindano ya ligi za ndani.
 
WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91]

1. Mabululu (Angola [emoji1029])
2. Herelinson (Angola [emoji1029])
3. Ayoub (Tunisia [emoji1249])
4. Mourad (Tunisia [emoji1249])
5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193])
6. Manzi (Rwanda [emoji1206])
7. Isac Mintah (Ghana [emoji1110])
8. Islam Bitran (Palestine [emoji1193])

NB halafu anaibuka Mtu huko na Streka lake la USHELISHELI ambalo linakimbia huku limefumba macho ANAKWAMBIA WANAFUZU MAKUNDI HUKO LUUUZAAA CUP

Kwani Mmesahau Jwaneng Waliwatolea Wapi? [emoji848]

View attachment 3079436
unaogopa kila ukiona "al "
 
Back
Top Bottom