Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

Em nioneshee kuwa simbaa anaanzia nyumbani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iyo ni ratiba ,sasa basi kwa mujibu wa iyo ratiba game ya kwanza itacheza Tz kati ya 13-15 mwezi wa 9 na match ya pili itapigwa kati ya tarehe 20-22 mwezi wa 9 huko tripoli

Nb:
Hapo ni team wenyewe ichague taree kati ya izo tarehe kwa lugha nyepesi simba game yake ya mwisho itakua ndani ya mji wa tripoli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.
 
Sijakuelewa mleta mada hao uliowataja ndio wachezaji hatari wa hio timu au ni wachezaji twakimataifa wa hiyo timu?
 
Both.....wakimataifa + wachezaji hatari
 
Back
Top Bottom