Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

Huyo Manzi wa Rwanda ni mtu wetu tu.

Mchezaji yeyote kutoka Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Zambia ni wa kwetu damu moja. Zimwi likujualo halikuli likakumaliza.
 
Tinajifariji
 
Both.....wakimataifa + wachezaji hatari
Kwahiyo hawana mchezaji hatari mzawa hata mmoja hao wa Libya?

Na hao uliowataja ni hatari kwa lipi maana sijaona maelezo ya huo uhatari wao zaidi ya kuona nchi walizotokea au unamaanisha hizo nchi walizotoka ndio hatari?
 
Kuna huyu mabululu....ni noma sana
 
Simba tumewawakilisha kimataifa miaka mitano tukicheza champion league Afrika.
Basi tuwaachie Yanga nao watuwakilishe kimataifa kwa wakati huu.
Simba tulifeli, tuwa achie Yanga wachukue hilo Kombe.
 
Yanga ni moto mkuu
 
WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91]

1. Mabululu (Angola [emoji1029])
2. Herelinson (Angola [emoji1029])
3. Ayoub (Tunisia [emoji1249])
4. Mourad (Tunisia [emoji1249])
5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193])
6. Manzi (Rwanda [emoji1206])
7. Isac Mintah (Ghana [emoji1110])
8. Islam Bitran (Palestine [emoji1193])
Kumbe Simba imeiondoa mashindanoni timu hatari sana !
 
FB_IMG_17271538179080644.jpg
 
Back
Top Bottom