Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

Kiuhalisia hap tripoli ndio wana hofu sana na simba, simba ipo top 5 hadi 10 kwenye lank za club bora Africa hilo tu linawatisha sana Tripoli.
Cha pili simba ndio timu inayoweza kuifunga hata al ahly ya misri ambayo waarabu wote wanaamini ndio team bora sana kwao..
 
Shtuka mkuu ...hyo ni ndoto mbayaa
 
Sio Kwa Simba hii
 
Kizalendo, natamani Simba watoboe kwa manufaa ya nchi yetu.
Ila hata wakifungwa sio mbaya kiviiile, maana watapunguza kututukana wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…