Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 8la hangaya kituko sana aisee!

Yani yeye mtu akiwa na sigda tu anakula teuzi
Hawa ndiyo hupandisha hata bei za bando kulinda maadili ya uislamu.
Wanaona watu wanaangalia mambo ya ajabu mtandaoni.
TCRA
BOT
Kulingana na sayansi na teknolojia linahitaji watu vijana wakakae pale
 
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake

MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023

Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)

View attachment 2808520
wote islamic
 
Walikua wajumbe wa bodi ya tcra au wajumbe wa baraza la msikiti?
Hapo majina yote yangekuwa ya wakristo isingekuwa ishu hata kidogo na mambo ya udini yasingekuwepo. Ingejadiliwa hoja na sio dini lakini madam ni waislamu basi tatizo ni dini

Ila nyinyi ndugu zetu wakristo mna shida mahala japo sio wakristo wote lakini kuna tatizo mahala..
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo 7-11-2023 akiwa Marakesh Morocco amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi hiyo ni:-​

1. Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti)
2. Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki)
3. Mzee S. Mndewa (Mjumbe)
4. Fatuma S. Ikuja (Mjumbe)
5. Abdallah B. Katunzi (Mjumbe)
6. Rehema J. Khalid (Mjumbe

KATIBU MKUU WA WIZARA NI :- Mohamed Hamis Abdulla
Mkurugenzi wa TCRA ni. DKT JABIRI BAKARI.

Haikuwa na balance ya wajumbe. Ishmael alitoa yeye tuu akamuacha Izack mtupu. Bwana akachukizwa.

Je, ni kweli kama watu wanavyo nongona kuwa Miaka 6 kurudi nyuma mpaka Sasa nchi hii imeathiriwa sana na ukabila , udini na ujinsia?

Mungu airudishe Tanzania ile tulioijua miaka yote
Unapolitizama na kuliweka hivi ulivyo liweka ni kama unasaidiana na hao hao wanaotudidimiza sasa.
 
Hapo majina yote yangekuwa ya wakristo isingekuwa ishu hata kidogo na mambo ya udini yasingekuwepo. Ingejadiliwa hoja na sio dini lakini madam ni waislamu basi tatizo ni dini

Ila nyinyi ndugu zetu wakristo mna shida mahala japo sio wakristo wote lakini kuna tatizo mahala..
Sasa nawe unajiona kuwa tofauti kwa lipi, na hao unaowazungumzia hapa. Tena inaonyesha wewe ni mbovu zaidi ya wao.
Unapotoa lawama za kijumla jumla namna hiyo inaonyesha wazi kuwa wewe ndiye mbovu zaidi.
 
Nan kaanzisha udini? Kamuulize Nyerere kuua mikoa ya waislamu na jiulize kwa nn watu wanatumia namba kweny mitihani??
Hayo ni matangopori mliyolishwa na Mohamed Said.
Nyerere hakuua mikoa unayoita ya waislam (sijui unafikiri ni mikoa ipi ya waislam) na namba za mtihani hazikuanzishwa na mpiga dili Kighoma Malima. Ila najua ndio mliishaaminishwa na Moh Said.
 
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake

MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023

Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)

View attachment 2808520
An amazing Co- incidence
 
WAABUDU SANAMU NI NANI BAINA YANGU NA YAKO??

NYINYI SI NDIO AMBAO MMECHONGA SANAMU LA YESU NA MAMA YAKE MARIA KISHA MKAWATUNDIKA UCHI HUKO MAKANISANI NA KILA SIKU MNAOMBA KWA KUTAZAMA HAYO MASANAMU NA KUTAKA MSAADA KWAO??

KAMA HIYO HAITOSHI MENGINE MNAYAVAA HADI SHINGONI MWENU.SASA NANI MUABUDU SANAMU KATI YANGU MIMI NA WEWE KAFIRI??
Wavaa kobaz mkipewa ubwabwa mnalegeeeeeea,pumbavu kabisa
FzyDWI2WcAAU3Vu.jpg
 
This time around, wateuliwe Wagalatia tupu.

Na tusisikie kelele kama ambavyo sisi tumekaa kimya.
Nchi hii katiba inayotufaa ni katika ya Lebanon, zamu kwa zamu.
Halafu kwenye hizo taasisi waombaji wanatahiniwa na jopo huru.
Mahakama ziwe huru ukiboronga unakula mvua
 
SWALI LAKO JIBU NI SIMPLE TUH,TOKEA NCH HII IPATE UHURU SI MLIONA MFUMO KRISTO NDIYO SLOGAN YA KUENDESHA NCHI HII??

SI MLIJIONA KUWA NYINYI NI WASOMI NA SISI WATU WA MADRASA HATUNA KITU TUNAJUA??SI MLIONA NYINYI NDIE WENYE WELEDI WA KUONGOZA KILA TAASISI HIZI ZA UMMA NA SERIKALI KWA UJUMLA??

HAYA SASA TUELEZENI,NYINYI MNAOJIITA WASOMI MMELIFIKISHA WAPI TAIFA HILI??

KWANI KIPIMO CHA USOMI WENU HASA NI KIPI?KUIBA NA UFISADI??
Mbona kuna wasomi wazuri sana waislam,mbona kuna matajiri nchi hii
Tena wameshika uchumi nchi hii
Shida iko wapi kwani mkuu

Ova
 
SWALI LAKO JIBU NI SIMPLE TUH,TOKEA NCH HII IPATE UHURU SI MLIONA MFUMO KRISTO NDIYO SLOGAN YA KUENDESHA NCHI HII??

SI MLIJIONA KUWA NYINYI NI WASOMI NA SISI WATU WA MADRASA HATUNA KITU TUNAJUA??SI MLIONA NYINYI NDIE WENYE WELEDI WA KUONGOZA KILA TAASISI HIZI ZA UMMA NA SERIKALI KWA UJUMLA??

HAYA SASA TUELEZENI,NYINYI MNAOJIITA WASOMI MMELIFIKISHA WAPI TAIFA HILI??

KWANI KIPIMO CHA USOMI WENU HASA NI KIPI?KUIBA NA UFISADI??
Tena watawala wa kikristo huwa wana wa favour sana mbona

Ova
 
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi hiyo ni:-​
1. Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti)
2. Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki)
3. Mzee S. Mndewa (Mjumbe)
4. Fatuma S. Ikuja (Mjumbe)
5. Abdallah B. Katunzi (Mjumbe)
6. Rehema J. Khalid (Mjumbe

KATIBU MKUU WA WIZARA NI :- Mohamed Hamis Abdulla
Mkurugenzi wa TCRA ni. DKT JABIRI BAKARI.
Ukute wengi wao ni waZenji
 
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake

MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023

Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)

View attachment 2808520
Tumeona majina yao
 
Hayo ni matangopori mliyolishwa na Mohamed Said.
Nyerere hakuua mikoa unayoita ya waislam (sijui unafikiri ni mikoa ipi ya waislam) na namba za mtihani hazikuanzishwa na mpiga dili Kighoma Malima. Ila najua ndio mliishaaminishwa na Moh Said.
Dogo tulia kanyonye ...Mikoa iliyokuwa mchumi mkubwa na kuifilisi kwa ujinga wake eti ujamaa na nyokwe!

Tafuta sehemu ulale mgalatia.
 
Back
Top Bottom