Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Wewe ndio uliyesema kuwa bodi kama hizo zipo. Ukiambiwa uzitaje unakuwa na kigugumizi. Kama huna muda wa kuangalia dini za watu ulijuaje kuwa bodi lako lilikuwa na wagalatia watupu? Mimi sikukuambia ulete picha. Nimesema taja jina la shirika moja tu umeshindwa.

Amandla....
TPDC BOARD MEMBERS
  • HON.AMB.OMBENI SEFUE. CHAIRMAN. Retired Chief Secretary of the United Republic of Tanzania.
  • MS. RUTH ZAIPUNA. MEMBER. ... MGALATIA
  • PROTASE ISHENGOMA. MEMBER. Prominent Lawyer in Oil and Gas Sector. MGALATIA
  • DISMAS FUKO. MEMBER. ...MGALATIA
  • AMB. PETER KALLAGHE. ... MGALATIA
  • PAUL MAKANZA. MEMBER MGALATIA
 
😅😅😅Watu wajinga kabisa hawajielewi.
BINAFSII NIKIWAONA HUWA WANANIPA HASIRA SANA,NCHI HII INAENDELEA KUWA MASKINI KISHA WAPUUZI WAPUUZI WANACHOJUA NI KUIBA PESA NA KUPELEKA KANISANI KUTOA FUNGU LA KUMI,WEZI SANA KIMA
 
pelekenu watoto shule
Mimi nadhani watoto wameishapelekwa shule, ndiyo maana sasa watoto hawa wanafanikiwa kupata nyazifa serikalini. Mimi sioni shida ofisi kushikwa na na watu wa dini moja, kabila moja, dhehebu moja, mkoa mmoja endapo tu ofisi hiyo itazalisha tija kwa ufanisi wa hali ya juu kutokana na majukumu ya ofisi hiyo.

Tuache masuala ya ubaguzi wa kikabila, kidini, kikanda nakadhalika katika kupata wafanyakazi katika ofisi zetu ama za umma ama za binafsi. Mtu apewe kazi kutoka na uwezo mkubwa alionao katika kutimiza majukumu yake katika ofisi hiyo.

Asante.
 
Wewe ndio uliyesema kuwa bodi kama hizo zipo. Ukiambiwa uzitaje unakuwa na kigugumizi. Kama huna muda wa kuangalia dini za watu ulijuaje kuwa bodi lako lilikuwa na wagalatia watupu? Mimi sikukuambia ulete picha. Nimesema taja jina la shirika moja tu umeshindwa.

Amandla....
Unajua bodi ni milele au zinakaa mda gani ? Nina hakika bila ya kutajwa hiyo bodi usingejua ,je kuna mashirika mangapi.

Nimekuambia wakati naanza kazi taasisi yangu board of directors wot walikuwa wagalati na haina shida na ilivunjwa pia na mkurugenzi mpya aliteuliwa kipind Magufuli alipoingi madarakani kwa uwiz.

Wewe unajua mashirika mangapi ya serikali😅😅.

Narudia maana bado mwanafunzi ukitaka kuwajua nenda kweny website za mashirika yao then angalia board of directors.!!
 
TENA SAMIA IKIWEZEKANA PIGA CHINI HIZO ROZALI ZOOOTE HUKO KWENYE HIZO BODI,HAO NDIO VINARA WA WIZI NA UFISADI NDANI YA NCHI HII,WAMETUFIKISHA SEHEMU MBAYA SANA
 
TENA SAMIA IKIWEZEKANA PIGA CHINI HIZO ROZALI ZOOOTE HUKO KWENYE HIZO BODI,HAO NDIO VINARA WA WIZI NA UFISADI NDANI YA NCHI HII,WAMETUFIKISHA SEHEMU MBAYA SANA
Na hawa wajumbe wa Bodi TCRA walikuwa wavaa Rozari?
 
Akili za udini zitatufikisha pabaya kama sio kesho basi keshokutwa ama mtondogoo.

Sasa hao walikuwa waislam kwani waislam walikuwa wanapata bando la bure ama?
Mie naona yeyote mwenye sifa ana haki ya kukaa haijalishi kabila wala dini yake.
Sawa sawa. Sasa makaveli10 siku ukisikia idara/taasisi fulani wapo Wagalatia watupu muache kuja na vile vijarida vyenu vyenye list ya wasomi wa Kiislam. Nitakukumbusha siku mkianza kulalamika
 
Unajua bodi ni milele au zinakaa mda gani ? Nina hakika bila ya kutajwa hiyo bodi usingejua ,je kuna mashirika mangapi.

Nimekuambia wakati naanza kazi taasisi yangu board of directors wot walikuwa wagalati na haina shida na ilivunjwa pia na mkurugenzi mpya aliteuliwa kipind Magufuli alipoingi madarakani kwa uwiz.

Wewe unajua mashirika mangapi ya serikali😅😅.

Narudia maana bado mwanafunzi ukitaka kuwajua nenda kweny website za mashirika yao then angalia board of directors.!!

AKIENDA KUCHUKUNGULIA HAWEZI KURUDI,LAKINI POTELEA MBALI NGOJA TUTAWALETEA MAJINA YA JAMAA ZAO WALIVYOJAZANA HUKO,UTADHANI WANAFUNGUA VIGANGO VYA KANISA
 
Kuna aina nyingine za imani ukizishika zinakuondolea kabisa uwezo wa kufikiri.

By Ngorunde
 
Sawa sawa. Sasa makaveli10 siku ukisikia idara/taasisi fulani wapo Wagalatia watupu muache kuja na vile vijarida vyenu vyenye list ya wasomi wa Kiislam. Nitakukumbusha siku mkianza kulalamika
Tuache kubaguana kwa udini, ukabila, ukanda, nakadhalika...tupeane vyeo kulingana na uwezo tulionao.
 
Kuna aina nyingine za imani ukizishika zinakuondolea kabisa uwezo wa kufikiri.
By Ngorunde

OFCOURSE YES,WEWE HUSHANGAI PROFESA MZIMA ANAENDA KWA MWAMPOSA NA KUAMBIWA KANYAGA MAFUTA HAYA UTAPATA MTOTO,AU NUNUA HUU MCHANGA UKAMWAGIE NYUMBANI KWAKO UTAPATA BARAKA NA ANANUNUA,HUONI KAMA IMANI IMEMWONDOLEA KABISA UWEZO WA KUFIKIRI??

HIVI MGALATIA UNAWEZA VIPI MFANO UKACHUKUA PESA KAMA ZA ESCROW ZA WIZI KISHA UKAZIPELEKA KANISANI UTOE SADAKA??AKILI HIYO??
 
AKIENDA KUCHUKUNGULIA HAWEZI KURUDI,LAKINI POTELEA MBALI NGOJA TUTAWALETEA MAJINA YA JAMAA ZAO WALIVYOJAZANA HUKO,UTADHANI WANAFUNGUA VIGANGO VYA KANISA
Ukienda hapo TPDC tu mtihani yaani yapo mashirika kibao ,ishu ni vile huwezi kuweka taarifa .

Huyo dogo hao members kawajua leo na wala hana uelewa wa maana .
 
WANA AKILI YA HOVYO SANA MAKAFIR WA NCHI HII,WANAIBA FEDHA ZA UMMA AMBAZO ZILIPASWA ZIJENGE KILA AINA YA MIUNDOMBINU WANAPELELA MAKANISANI KUTOA SADAKA NA FUNGU LA KUMI
 
OFCOURSE YES,WEWE HUSHANGAI PROFESA MZIMA ANAENDA KWA MWAMPOSA NA KUAMBIWA KANYAGA MAFUTA HAYA UTAPATA MTOTO,AU NUNUA HUU MCHANGA UKAMWAGIE NYUMBANI KWAKO UTAPATA BARAKA NA ANANUNUA,HUONI KAMA IMANI IMEMWONDOLEA KABISA UWEZO WA KUFIKIRI??

HIVI MGALATIA UNAWEZA VIPI MFANO UKACHUKUA PESA KAMA ZA ESCROW ZA WIZI KISHA UKAZIPELEKA KANISANI UTOE SADAKA??AKILI HIYO??
Nishakuambia unauwezo mdogo kichwa panzi wewe.. unaandika kwa herufi kubwa ili tukuone umeandika? Inferiority complex kichwa panzi wewe. Sijasoma ulichoandika sababu najua unaandika pumba
 
Ahahaha, kumbe ni akina Osman, fatuma,mzee, khalifa;
Shirika lazima

Tukishawafaham itasaidia nn au lengo lako lilikuwa nini.?
Alitaka kusema Muda mwingi walikuwa wako idadani. Kila akienda kuwatembelea anaambiwa wako kuswali, hivyo kazi ya mama ilikuwa haiendi atakavyo.
Awahurumie tu maana kuswali si kosa.
 
Ni makosa makubwa kufikiria kila mhandisi ni mbobezi na ana msaada pale atakapowekwa. Kuna wengine wanatembelea nyota ya uhandisi. Ukiona wanayofanya unashangaa kama kweli zimo zote
Uhandisi wa makaratasi tu hao

Ova
 
TPDC BOARD MEMBERS
  • HON.AMB.OMBENI SEFUE. CHAIRMAN. Retired Chief Secretary of the United Republic of Tanzania.
  • MS. RUTH ZAIPUNA. MEMBER. ... MGALATIA
  • PROTASE ISHENGOMA. MEMBER. Prominent Lawyer in Oil and Gas Sector. MGALATIA
  • DISMAS FUKO. MEMBER. ...MGALATIA
  • AMB. PETER KALLAGHE. ... MGALATIA
  • PAUL MAKANZA. MEMBER MGALATIA
Aise

Ova
 
Back
Top Bottom