Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Hiyo elimu uliyo nayo ndio inakuambia kuwa composition za bodi za taasisi za serikali ni siri!! Unasema hivyo wakati hapa kuna majina na picha za wajumbe wa bodi iliyotenguliwa! Siku nyingine tafakari kwanza kabla hujazungumza upuuzi humu ndani.Mtoto unazalia mwaka 2001 unajua nn😅😅ndio maana nakuambia tulia usome ,acha ushabiki maandazi.
Kaangalie bodi zote maana ni ishu za private ..
Amandla....