Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Nchi hii wote wezi tu hakuna cha waislam wala wakristo

Ova

HAKUNA KITU KAMA HIKO,ANGALIA NI ASILIMIA NGAPI YA WAISLAM NA WAKRISTO WAMEHODHI OFISI ZA UMMA NDANI YA NCHI HII,MBAYA ZAIDI WANAJINASIBU KUWA ET WAO NI WASOMII,SASA HUO USOMI WENU UKO WAPI??

KILA SIKU NI WATU WA MADEAL NA WIZI TUH,RUSHWA,UBADHIRIFU NA KUJIFANYA KILA JUMA PILI KUKIMBILIA KUTOA SADAKA MAKANISANI,UNAJISKIAJE PROUD KWA KUTOA SADAKA KWA FEDHA ULIYOWAIBIA WALALAHOI??
 
UNACHOTAKIWA KUJUA MISIKITI SIYO KAMA KWENU MAKANISA,SISI NI HARAMU KUCHUKUA FEDHA YA WIZI NA KWENDA KUJENGEA MISIKITI,HIYO NI HUKO KWENU NYINYI,MFANO TUH HAPA KARIBUNI WEZI WAKUBWA MNACHUKUA FEDHA ZA UMMA ZA ESCROW BILLIONS OF MONEY MNAKIMBIZIA MAKANISANI,HAMNA LOLOTE WAIZI WAKUBWA NYIE
Teh teh duniani gani hiyo

Msikiti kanisani kote ovyo tu

Ova
 
Ni kweli nina matatizo kichwani. Weka basi hizo CV za wajumbe wa bodi ulizosema zimo humu humu. Mnapenda mno kusema uongo mkidhani mko kijiweni. Au haujui CV ni nini? Nitakurahisishia, tuambie elimu, taaluma, wadhfa tofauti walizoshika za angalau watatu katika hiyo bodi.

Amandla...
Mwanzo nimekwambia Kuna Uzi upo humu unaongelea CV za hao wajumbe ukaniambia nikupe huo Uzi, nimekupa Uzi na nikakuambia soma post #22 bado unaniambia nikuwekee CV.
 
MAJITU YA HOVYO KWELI KWELI,WATU WANA SHIDA YA MAJI,UMEME,BARA BARA MIAKA NENDA RUDI,

NYINYI MNAIBA FEDHA MNATOROSHA NJE YA NCHI,WENGINE VERY PROUD KILA JUMA PILI KUKIMBIZA HIZO FEDHA ETI KUTOLEA SADAKA YA FUNGU LA KUMI,,REALLY??

MFANO ILE ISHU YA ESCROW,MAJITU HAYANA HATA AIBU YANACHUKUA FEDHA ZA WIZI KWENDA KUGAWA MAKANISANI,HOVYO KABISA
 
MAJITU YA HOVYO KWELI KWELI,WATU WANA SHIDA YA MAJI,UMEME,BARA BARA MIAKA NENDA RUDI,

NYINYI MNAIBA FEDHA MNATOROSHA NJE YA NCHI,WENGINE VERY PROUD KILA JUMA PILI KUKIMBIZA HIZO FEDHA ETI KUTOLEA SADAKA YA FUNGU LA KUMI,,REALLY??

MFANO ILE ISHU YA ESCROW,MAJITU HAYANA HATA AIBU YANACHUKUA FEDHA ZA WIZI KWENDA KUGAWA MAKANISANI,HOVYO KABISA
Msafi nani nchi

Ova
 
MIMI SEHEMU YYTE AKIWA KAFIR NI KIONGOZI LAZIMA NINA KUWA NA MASHAKA TUH,WACHACHE SANA WANA HOFU NA MUNGU,WENGI NI VIBAKA NA WAPIGA MADEAL TUH
 
Tunaangalia wingi. Sio kila mtu anaweza kupata uwakilishi. Rastafarians, wahindu, wajain, wabahai, ma Buddhists n.k. wakifikia kila mmoja angalau asilimia 20 ya population wataweza kudai uwakilishi. Hata tunapozungumzia ukristu na uislamu hatusemi kila dhehebu (wakatoliki, SDA, wasunni, washia n.k.) lililokuwemo katika dini hizo ni lazima lipate uwakilishi.

Amandla...
Kwa hiyo unaamini akiteuliwa mkatoliki ni uwakilishi mzuri wa ukristo kwa msabato, kwamba msabato ataridhika amewakilishwa?
Au akiteuliwa muislam wa Shia, itamridhisha msunni kama Ponda?

Kwa ujumla utaratibu wa kusema serikali haina dini ni utaratibu mzuri kuuzingatia. Dini isiangaliwe kwa vyovyote katika uteuzi au nafasi zozote za utendaji. Waangalie tu sifa zingine za elimu, ujuzi na uzoefu n.k. Ukisha angalia tu mgawanyo wa kidini mwishowe itafika huko ambako madhehebu yatataka yawakilishwe proportionally.
 
HOW DO YOU FEEEL??
Ha ha ha haaa !

THE BIG SHOW oyeeee! Nadhani, yale magoli matano aliyofungwa Simba timu na mpinzani wake bado yamemchanganya. Ukizingatia, anaweza kuwa alifanya ubashiri (betting). Mimi namuombea msamaha kwenu.

Ha ha haaaaa!
 
Sawa sawa. Sasa makaveli10 siku ukisikia idara/taasisi fulani wapo Wagalatia watupu muache kuja na vile vijarida vyenu vyenye list ya wasomi wa Kiislam. Nitakukumbusha siku mkianza kulalamika
Mara nyingi mie si mlalamikaji wa upuuzi upuuzi..

Mie siwezi mpigania muislam akae sehemu sababu weengi wao hawana hata manufaa kwa huo uislam wenyewe, kwakuwa nchi si ya kidini basi hakuna haja ya kupigania mtu achaguliwe kwa udini wake.

Ishu ya wagalatia wa nchi hii ni ishu paana sana.. Niliyoyasoma na kuyaona huenda mie nawe tukatofautiana kimtazamo pakubwa tu.
 
Msafi nani nchi

Ova

SWALI LAKO JIBU NI SIMPLE TUH,TOKEA NCH HII IPATE UHURU SI MLIONA MFUMO KRISTO NDIYO SLOGAN YA KUENDESHA NCHI HII??

SI MLIJIONA KUWA NYINYI NI WASOMI NA SISI WATU WA MADRASA HATUNA KITU TUNAJUA??SI MLIONA NYINYI NDIE WENYE WELEDI WA KUONGOZA KILA TAASISI HIZI ZA UMMA NA SERIKALI KWA UJUMLA??

HAYA SASA TUELEZENI,NYINYI MNAOJIITA WASOMI MMELIFIKISHA WAPI TAIFA HILI??

KWANI KIPIMO CHA USOMI WENU HASA NI KIPI?KUIBA NA UFISADI??
 
Nyie waabudu sanamu na jiwe mna nini cha maana mnafanya mkipewa nafasi? Ndiyo maana Mama Samia kaona awale kichwa kabla hamjaharibu zaidi hapo TCRA

WAABUDU SANAMU NI NANI BAINA YANGU NA YAKO??

NYINYI SI NDIO AMBAO MMECHONGA SANAMU LA YESU NA MAMA YAKE MARIA KISHA MKAWATUNDIKA UCHI HUKO MAKANISANI NA KILA SIKU MNAOMBA KWA KUTAZAMA HAYO MASANAMU NA KUTAKA MSAADA KWAO??

KAMA HIYO HAITOSHI MENGINE MNAYAVAA HADI SHINGONI MWENU.SASA NANI MUABUDU SANAMU KATI YANGU MIMI NA WEWE KAFIRI??
 
Vipi kuhusu hizi kenge zilizowekwa na yule mfu alikwisha oza saa hizi utadhani ni baraza la kanisa ili wapige na kudhulumu korosho za wakulima

ADMINISTRATION BODI YA KOROSHO​

img235457120210901185207.png

RETIRED.BRIG. GENERAL ALOYCE DAMIAN MWANJILE
Board Chairman

DG-removebG.png

FRANCIS ALFRED
Director General

rb.jpeg

REUBEN PUTAPUTA
Acting Director of Finance and Administration

NGAIZA.png

REVELIAN .S. NGAIZA
Acting Director of Marketing and Quality Control

SILOMBA.png

LUSESHELO SILOMBA
Director of Agriculture and Processing
 
Kwa hiyo unaamini akiteuliwa mkatoliki ni uwakilishi mzuri wa ukristo kwa msabato, kwamba msabato ataridhika amewakilishwa?
Au akiteuliwa muislam wa Shia, itamridhisha msunni kama Ponda?

Kwa ujumla utaratibu wa kusema serikali haina dini ni utaratibu mzuri kuuzingatia. Dini isiangaliwe kwa vyovyote katika uteuzi au nafasi zozote za utendaji. Waangalie tu sifa zingine za elimu, ujuzi na uzoefu n.k. Ukisha angalia tu mgawanyo wa kidini mwishowe itafika huko ambako madhehebu yatataka yawakilishwe proportionally.
Nia sio kuwaridhisha waumini wa dini hizi. Nia ni kuwa na wigo mpana wa uzoefu. Unapokuwa na bodi inayosimamia mawasiliano ni vizuri kuwa na watu watakaoweza kueleza kwa nini upande mmoja unachukizwa na mambo ambayo wanaona yanagusa jamii yao. Msunni ataelewa zaidi kwa nini muislamu mwenzake amechukizwa na vitendo fulani kuliko mgalatia. Na mgalatia nae atamfahamisha kwa nini hilo halimsumbui. Sijazungumzia proportionality. Usemi ni kuwa serikali haina dini lakini raia wake wana dini. Kujifanya haioni hilo ni kujidanganya. Siku hizi karibu kila kikao kinafunguliwa kwa sala na dua. Huo ndio ukweli wenyewe.

Amandla...
 
Vipi kuhusu hizi kenge zilizowekwa na yule mfu alikwisha oza saa hizi utadhani ni baraza la kanisa ili wapige na kudhulumu korosho za wakulima

ADMINISTRATION BODI YA KOROSHO​

img235457120210901185207.png

RETIRED.BRIG. GENERAL ALOYCE DAMIAN MWANJILE
Board Chairman

DG-removebG.png

FRANCIS ALFRED
Director General

rb.jpeg

REUBEN PUTAPUTA
Acting Director of Finance and Administration

NGAIZA.png

REVELIAN .S. NGAIZA
Acting Director of Marketing and Quality Control

SILOMBA.png

LUSESHELO SILOMBA
Director of Agriculture and Processing
Mbona hukuwataja Chief Internal Auditor, Chief Accountant na Agricultural Planning Manage?

Amandla...
 
Mimi sijawahi kujua faida za mtu ninaefanana nae dini au kabila na siyo ndugu yangu aliye kitengo kwamba huko kufanana nae kunanisaidiaje kwenye mzunguko wangu wa maisha?

Kwanza hanijui,nikijipendekeza atanikataa nadhani faida zipo kwenye familia zao siyo sisi tusiowajua so hili siyo jambo kubwa kiasi hicho .
Hii nchi kuna watu hufikiri wakiamka asubuhi na kwenda kwenye mihangaiko yao wanafikiri ndiyo hivyo.
Mipangilio mizuri na ufanyaji kazi mzuri wa serikali ndiyo unakufanya uishi maisha ambayo unawaza.
Hamia Sudan au Somalia ndiyo utajua umuhimu wa kuwepo serikali.
Akitumbuliwa au TCRA isipokuwepo wewe inakusaidia nini. Ni mtu mzima lakini usiwaze km mtoto
 
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake

MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023

Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)


View attachment 2808520
Cv zao ilikuaje. Huenda hamna kitu hapo. Yaani mamlaka muhimu inaenda kupewa bodi kichaa. Unakuta management ndio inaendesha bodi badala ya bodi kudhibiti na kuendesha management. Haya mambo ya ujinga yanatumaliza.
 
Back
Top Bottom