Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 8la hangaya kituko sana aisee!

Yani yeye mtu akiwa na sigda tu anakula teuzi
Hawa ndiyo hupandisha hata bei za bando kulinda maadili ya uislamu.
Wanaona watu wanaangalia mambo ya ajabu mtandaoni.
TCRA
BOT
Kulingana na sayansi na teknolojia linahitaji watu vijana wakakae pale
 
wote islamic
 
Walikua wajumbe wa bodi ya tcra au wajumbe wa baraza la msikiti?
Hapo majina yote yangekuwa ya wakristo isingekuwa ishu hata kidogo na mambo ya udini yasingekuwepo. Ingejadiliwa hoja na sio dini lakini madam ni waislamu basi tatizo ni dini

Ila nyinyi ndugu zetu wakristo mna shida mahala japo sio wakristo wote lakini kuna tatizo mahala..
 
Unapolitizama na kuliweka hivi ulivyo liweka ni kama unasaidiana na hao hao wanaotudidimiza sasa.
 
Sasa nawe unajiona kuwa tofauti kwa lipi, na hao unaowazungumzia hapa. Tena inaonyesha wewe ni mbovu zaidi ya wao.
Unapotoa lawama za kijumla jumla namna hiyo inaonyesha wazi kuwa wewe ndiye mbovu zaidi.
 
Nan kaanzisha udini? Kamuulize Nyerere kuua mikoa ya waislamu na jiulize kwa nn watu wanatumia namba kweny mitihani??
Hayo ni matangopori mliyolishwa na Mohamed Said.
Nyerere hakuua mikoa unayoita ya waislam (sijui unafikiri ni mikoa ipi ya waislam) na namba za mtihani hazikuanzishwa na mpiga dili Kighoma Malima. Ila najua ndio mliishaaminishwa na Moh Said.
 
An amazing Co- incidence
 
Wavaa kobaz mkipewa ubwabwa mnalegeeeeeea,pumbavu kabisa
 
This time around, wateuliwe Wagalatia tupu.

Na tusisikie kelele kama ambavyo sisi tumekaa kimya.
Nchi hii katiba inayotufaa ni katika ya Lebanon, zamu kwa zamu.
Halafu kwenye hizo taasisi waombaji wanatahiniwa na jopo huru.
Mahakama ziwe huru ukiboronga unakula mvua
 
Mbona kuna wasomi wazuri sana waislam,mbona kuna matajiri nchi hii
Tena wameshika uchumi nchi hii
Shida iko wapi kwani mkuu

Ova
 
Tena watawala wa kikristo huwa wana wa favour sana mbona

Ova
 
Ukute wengi wao ni waZenji
 
Tumeona majina yao
 
Hayo ni matangopori mliyolishwa na Mohamed Said.
Nyerere hakuua mikoa unayoita ya waislam (sijui unafikiri ni mikoa ipi ya waislam) na namba za mtihani hazikuanzishwa na mpiga dili Kighoma Malima. Ila najua ndio mliishaaminishwa na Moh Said.
Dogo tulia kanyonye ...Mikoa iliyokuwa mchumi mkubwa na kuifilisi kwa ujinga wake eti ujamaa na nyokwe!

Tafuta sehemu ulale mgalatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…