Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Ingekuwa uislamu ndiyo kigezo cha ustawi na uadilifu ni wazi nchi kama somalia, sudan, chad, mali, libya zingekuwa mbali kimaendeleo. Kwa sasa nchi hizi ndo zilizosambaratika zaidi Afrika. Upo hapo? Tuache udini na tuzingatie utendaji usioegemea itikadi za kidini bali merit. Umerudia mno kuwaita "wagalatia" wezi bila credible evidence - thats unfair bro.
 
kati ya wajume 6, mkristo mmoja tu. hii bodi nani aliiteua?
 
Huu ulikuwa ni msikiti wanaenda kuswali! Hawa jamaa udini utawaua! Wanataka vyeo wakati kichwani hamna kitu
 
hii bodi na tcra wakubwa wote mbona kama dini moja, au ndio sababu mama ameamua kuifumua? nani aliwateua hawa? alifumba macho?
 
tuamini kwamba, hi ndio sababu iliyofanya bimkubwa afumue hii bodi. haikukaa vizuri kabisa.
 
Inanikumbusha enzi za mzee Dau huko NSSF!!! Ila mama yuko vizuri, anarekebisha kasoro mdogo mdogo!!
Kuna kipindi UDOM na NSSF ziligeuzwa misikiti! Bora wangekuwa wanaongeza thamani! Wanapokaa wao shirika au taasisi ujue umasikini unaiangukia! Hata mitaa walipokaa hawa jamaa kwa wingi, mitaa hiyo ni masikini.
 

Tupe ufanisi wa tcra baada ya bodi ya wana madrasa kuanzishwa na mpaka kuvunjwa
 

Kwani aliyeiba hela za Escrow ana dini gani? Badala ya kujisitiri kwa dini yako unatalka dini yako iwe frame of reference. Kuna waovu wengi sana Tanzania, tena wa dini zote. Tusijidanganye hapa
 
Kwani wababe wa madili ya ufisadi mkubwa Tanzania, Rostam na JK ni dini gani?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…