Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

HAKUNA KITU KAMA HIKO,ANGALIA NI ASILIMIA NGAPI YA WAISLAM NA WAKRISTO WAMEHODHI OFISI ZA UMMA NDANI YA NCHI HII,MBAYA ZAIDI WANAJINASIBU KUWA ET WAO NI WASOMII,SASA HUO USOMI WENU UKO WAPI??

KILA SIKU NI WATU WA MADEAL NA WIZI TUH,RUSHWA,UBADHIRIFU NA KUJIFANYA KILA JUMA PILI KUKIMBILIA KUTOA SADAKA MAKANISANI,UNAJISKIAJE PROUD KWA KUTOA SADAKA KWA FEDHA ULIYOWAIBIA WALALAHOI??
Ingekuwa uislamu ndiyo kigezo cha ustawi na uadilifu ni wazi nchi kama somalia, sudan, chad, mali, libya zingekuwa mbali kimaendeleo. Kwa sasa nchi hizi ndo zilizosambaratika zaidi Afrika. Upo hapo? Tuache udini na tuzingatie utendaji usioegemea itikadi za kidini bali merit. Umerudia mno kuwaita "wagalatia" wezi bila credible evidence - thats unfair bro.
 
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake

MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023

Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)

View attachment 2808520
kati ya wajume 6, mkristo mmoja tu. hii bodi nani aliiteua?
 
Huu ulikuwa ni msikiti wanaenda kuswali! Hawa jamaa udini utawaua! Wanataka vyeo wakati kichwani hamna kitu
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo 7-11-2023 akiwa Marakesh Morocco amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi hiyo ni:-​

1. Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti)
2. Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki)
3. Mzee S. Mndewa (Mjumbe)
4. Fatuma S. Ikuja (Mjumbe)
5. Abdallah B. Katunzi (Mjumbe)
6. Rehema J. Khalid (Mjumbe

KATIBU MKUU WA WIZARA NI :- Mohamed Hamis Abdulla
Mkurugenzi wa TCRA ni. DKT JABIRI BAKARI.

Haikuwa na balance ya wajumbe. Ishmael alitoa yeye tuu akamuacha Izack mtupu. Bwana akachukizwa.

Je, ni kweli kama watu wanavyo nongona kuwa Miaka 6 kurudi nyuma mpaka Sasa nchi hii imeathiriwa sana na ukabila , udini na ujinsia?

Mungu airudishe Tanzania ile tulioijua miaka yote
hii bodi na tcra wakubwa wote mbona kama dini moja, au ndio sababu mama ameamua kuifumua? nani aliwateua hawa? alifumba macho?
 
tuamini kwamba, hi ndio sababu iliyofanya bimkubwa afumue hii bodi. haikukaa vizuri kabisa.
 
Inanikumbusha enzi za mzee Dau huko NSSF!!! Ila mama yuko vizuri, anarekebisha kasoro mdogo mdogo!!
Kuna kipindi UDOM na NSSF ziligeuzwa misikiti! Bora wangekuwa wanaongeza thamani! Wanapokaa wao shirika au taasisi ujue umasikini unaiangukia! Hata mitaa walipokaa hawa jamaa kwa wingi, mitaa hiyo ni masikini.
 
SASA UKITAKA WAZIDI KUJAZA WAIMBA KWAYA UMESKIA TUKO VATICAN HAPA??

THEN MNACHONISHANGAZA WAGALATIA KUTWA KUJIITA NYINYI NI WASOMI WASOMI,USOMI WENU MBONA HAUNA TIJA??VERY VERY PROFESSIONAL KWENYE KUCHEZA MADEAL NA WIZI WA MALI ZA UMMA,MKIINGIA MIKATABA KWA NIABA YA SERIKALI MIKATABA MNAINGIA YA KISHENZI NA WIZI TUH HUKU MKIANGALIA MASLAHI YA MATUMBO YENU,HAMNA HOFU YA MUNGU HATA KIDOGO,HUWEZI KUTA WASOMI WAISLAM WAKAWA MAJIZI YA KUTUPWA KAMA MLIVYO MIGALATIA

Tupe ufanisi wa tcra baada ya bodi ya wana madrasa kuanzishwa na mpaka kuvunjwa
 
HAKUNA KITU KAMA HIKO,ANGALIA NI ASILIMIA NGAPI YA WAISLAM NA WAKRISTO WAMEHODHI OFISI ZA UMMA NDANI YA NCHI HII,MBAYA ZAIDI WANAJINASIBU KUWA ET WAO NI WASOMII,SASA HUO USOMI WENU UKO WAPI??

KILA SIKU NI WATU WA MADEAL NA WIZI TUH,RUSHWA,UBADHIRIFU NA KUJIFANYA KILA JUMA PILI KUKIMBILIA KUTOA SADAKA MAKANISANI,UNAJISKIAJE PROUD KWA KUTOA SADAKA KWA FEDHA ULIYOWAIBIA WALALAHOI??

Kwani aliyeiba hela za Escrow ana dini gani? Badala ya kujisitiri kwa dini yako unatalka dini yako iwe frame of reference. Kuna waovu wengi sana Tanzania, tena wa dini zote. Tusijidanganye hapa
 
VERY VERY PROFESSIONAL KWENYE KUCHEZA MADEAL NA WIZI WA MALI ZA UMMA,MKIINGIA MIKATABA KWA NIABA YA SERIKALI MIKATABA MNAINGIA YA KISHENZI NA WIZI TUH HUKU MKIANGALIA MASLAHI YA MATUMBO YENU,HAMNA HOFU YA MUNGU HATA KIDOGO,HUWEZI KUTA WASOMI WAISLAM WAKAWA MAJIZI YA KUTUPWA KAMA MLIVYO MIGALATIA
Kwani wababe wa madili ya ufisadi mkubwa Tanzania, Rostam na JK ni dini gani?!!
 
Back
Top Bottom