Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
CV zao ziko wapi?
Amandla....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CV zao ziko wapi?
Natamani nielewe lakini nashindwa
DOES IT MATTER MKUU WA NCHI NI NANI??
TOKEA NCHI HII IMEPATA UHURU WAKUU WA NCHI WANGAPI WAMEPITA NA WAGALATIA MMENDELEA KUWA MWIBA MCHUNGU KWA SERIKALI KATIKA WIZI NA UFISAIDI??
MAGUFULI KISHA AKAJA KUWAUMBUA KWENYE SAKATA LA WATUMISHI HEWA NA KUFOJI VYETI,LISTS IMETOKA MAJINA YOOTE ZAID YA SAILIMA 99.9 NI MAJINA YA VIGANGO VYA KANISA TUH,SHENZY TYPE KUMBE MMEJAZANA HUKO SERIKALINI HADI NA MAVYETI FEKI MNACHUKUA HELA ZA DHULMA KISHA JUMA PILI HAOO MAKANISANI KUTOA SADAKA,WATU WA HOVYO SANA WAGALATIA
Tunaangalia wingi. Sio kila mtu anaweza kupata uwakilishi. Rastafarians, wahindu, wajain, wabahai, ma Buddhists n.k. wakifikia kila mmoja angalau asilimia 20 ya population wataweza kudai uwakilishi. Hata tunapozungumzia ukristu na uislamu hatusemi kila dhehebu (wakatoliki, SDA, wasunni, washia n.k.) lililokuwemo katika dini hizo ni lazima lipate uwakilishi.Wahindu na rastafarians na atheists watawakilishwa vipi kama tutaangalia wakristo na waislam tu?
Mkuu naomba darasa la kujua sura ya mtu ambaye na uwezo wa creativetyBinafsi naamini ktk kujaji mtu kimuonekano mara nyingi nakuwa accurate.
Ukiangalia nyuso za hao watu hapo sioni creativity.
Taja bodi moja yenye wagalatiq watupu. Moja tu.Wagalatia wanaongoza kwa udini ,bodi kibao zina wagalatia watupu ila hakuna kelele kabisa ....Just imagine palivunjwa bodi kibao rejea ya mwaka jana tu hapa ya TASAC bado kuna bodi kibao zilivunjwa hata ya TPA.
Hapa Tanzania ikatokea muislamu akajistiri na kufauta dini yake anaitwa mtu mweny misimamo mikali😅😅akitokea mgalatia akaacha ulevi na kufauta ni biblia anaitwa kaokoka.
Daah udini huu khatari sanaNasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake
MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo
Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi ni Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti), Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki), Mzee S. Mndewa (Mjumbe), Fatuma S. Ikuja (Mjumbe), Abdallah B. Katunzi (Mjumbe) na Rehema J. Khalid (Mjumbe)
View attachment 2808520
Uso wa mtu hutoa siri zote za mtuBinafsi naamini ktk kujaji mtu kimuonekano mara nyingi nakuwa accurate.
Ukiangalia nyuso za hao watu hapo sioni creativity.
Wamekaaa kijambazi jambazi ..🤣🤣🤣 kijasusi jasusi...Yani kama wazee wa kazi vile...Binafsi naamini ktk kujaji mtu kimuonekano mara nyingi nakuwa accurate.
Ukiangalia nyuso za hao watu hapo sioni creativity.
Haki ya Mungu umewaza kama mimi. Kabla ya kusoma comment yako nilitaka niandike hizo sura hakuna hata moja ya matumaini ya kufanya la maana.Binafsi naamini ktk kujaji mtu kimuonekano mara nyingi nakuwa accurate.
Ukiangalia nyuso za hao watu hapo sioni creativity.
Wewe una miaka mingapi kwanza ?Taja bodi moja yenye wagalatiq watupu. Moja tu.
Amandla...
Kama mwenyekiti sura yake imekaa kijanja janja, yani mtu wa maneno na ahadi nyingi kuliko vitendo.Wamekaaa kijambazi jambazi ..🤣🤣🤣 kijasusi jasusi...Yani kama wazee wa kazi vile...
Amina na Jamila nao ni Wagalatia?WAKUU WA IDARA NA VITENGO
FOCUS MAKOYE SAHANI - Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma
MACHIBYA MASANJA - Kaimu Mkurugenzi wa Ujenzi na Miundombinu
HERIEL EMMANUEL - Mkurugenzi wa Uhandisi Mitambo
TITTO MATESHI - Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Umeme
NEVER DAIMON - Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara
AMINA MORSAD LUMULI - Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala
EMANUEL BALELE - Mkurugenzi wa Fedha na Uhasibu
SENZIGE KISENGE - Mkurugenzi wa TEHAMA
VICENT TANGOH - Mkurugenzi wa Sheria
NZEYIMANA DYEGULA - Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji
REGINALD MALELE - Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
STELLA GASPER - Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
JAMILA MBAROUK - Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano
NELSON NTEJO - Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Reli
PETER MATHEW - Mganga Mkuu Hospitali ya Reli
DAMAS MWAJANGA - Mkuu wa Chuo cha Reli Tanzania
HIYO MIGALATIA HAPO,HAKUNA CHA MAANA WANACHOFANYA HAPO ZAIDI ZAIDI YA WIZI NA UFISADI TUH,MNAPENDA SANA CHOKO CHOKO ILI HALI NCHI HII IMEFIKA HAPA KUTOKANA NA UOZO WENU NA WIZI TUH
Ujinga wetu tunatumia mda mwing kujadili vitu vya ovyo!
Kijana bado mdogo sana hujui lolote😅😅Magufuli alikuwa anapigwa chenga ,katumbua mpaka kachoka.Anayetakiwa kuzuia wizi ni maza ambaye ni wa Ijumaa au naye ni mgalatia?
Mkuu, tujadili, usiropokwe tu,twende taratibu.
Unasema haijalishi mkuu wa nchi ni nani? Unaanza kunitia mashaka juu ya utimamu wako, sitaki tufike huko.
Nimekuuliza wakati wa wizi wa pesa za umma mkuu wa nchi alikuwa nani na alichukua hatua gani?
Unasema tena kuhusu wafanyakazi hewa waliowekwa wazi na kuumbuliwa na John Pombe Magufuli, wote tulikuwa hatujui kuhusu wafanyakazi hewa mpaka tulipotolewa tongotongo na Magufuli(nashukuru umesema wazi)
Sasa naomba uniambia Magufuli kama mkuu wa nchi alikuwa wa upande gani na alipokea kijiti kutoka kwa nani?
SASA NYINYI MNAZUILIKA KWA WIZI WAGALATIA??NYINYI KILA ZAMA ZIKIJA HUO UGONJWA WENU WA UFISADI UNAKUWA KAMA KIRUSI CHA CORONA,KINA MUTATE TUH NA KUTAFUTA LOOPHOLES ZINGINE,MFANO HOSPITAL YA BUGANDO HAPO MWANZA PAMOJA NA KWAMBA SERIKALI INAWEKA FEDHA NYINGI ZA RUZUKU KUMBE FEDHA ZINACHUKULIWA TUH NA WAJANJA NA KUKIMBIZA NAZO MAKANISANI,WAJA LAANA SANAAnayetakiwa kuzuia wizi ni maza ambaye ni wa Ijumaa au naye ni mgalatia?
Una matatizo kichwani sio bure .CV zao ziko wapi?
Amandla....
Kijana bado mdogo sana hujui lolote😅😅Magufuli alikuwa anapigwa chenga ,katumbua mpaka kachoka.
Raisi hana uwezo huo na mengi hayajui watu wanamzunguka ndio maana kuna mlolongo wa watendaji kila sehemu ,kila mtu na majukumu yake.