Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Mkuu, tujadili, usiropokwe tu,twende taratibu.

Unasema haijalishi mkuu wa nchi ni nani? Unaanza kunitia mashaka juu ya utimamu wako, sitaki tufike huko.

Nimekuuliza wakati wa wizi wa pesa za umma mkuu wa nchi alikuwa nani na alichukua hatua gani?

Unasema tena kuhusu wafanyakazi hewa waliowekwa wazi na kuumbuliwa na John Pombe Magufuli, wote tulikuwa hatujui kuhusu wafanyakazi hewa mpaka tulipotolewa tongotongo na Magufuli(nashukuru umesema wazi)

Sasa naomba uniambia Magufuli kama mkuu wa nchi alikuwa wa upande gani na alipokea kijiti kutoka kwa nani?
 
Wagalatia wanaongoza kwa udini ,bodi kibao zina wagalatia watupu ila hakuna kelele kabisa ....Just imagine palivunjwa bodi kibao rejea ya mwaka jana tu hapa ya TASAC bado kuna bodi kibao zilivunjwa hata ya TPA.

Hapa Tanzania ikatokea muislamu akajistiri na kufauta dini yake anaitwa mtu mweny misimamo mikali😅😅akitokea mgalatia akaacha ulevi na kufauta ni biblia anaitwa kaokoka.
 
Wahindu na rastafarians na atheists watawakilishwa vipi kama tutaangalia wakristo na waislam tu?
Tunaangalia wingi. Sio kila mtu anaweza kupata uwakilishi. Rastafarians, wahindu, wajain, wabahai, ma Buddhists n.k. wakifikia kila mmoja angalau asilimia 20 ya population wataweza kudai uwakilishi. Hata tunapozungumzia ukristu na uislamu hatusemi kila dhehebu (wakatoliki, SDA, wasunni, washia n.k.) lililokuwemo katika dini hizo ni lazima lipate uwakilishi.

Amandla...
 
Taja bodi moja yenye wagalatiq watupu. Moja tu.

Amandla...
 
Daah udini huu khatari sana
 
Binafsi naamini ktk kujaji mtu kimuonekano mara nyingi nakuwa accurate.

Ukiangalia nyuso za hao watu hapo sioni creativity.
Haki ya Mungu umewaza kama mimi. Kabla ya kusoma comment yako nilitaka niandike hizo sura hakuna hata moja ya matumaini ya kufanya la maana.

Kuna kipindi nyuso za watu huonyesha uwezo wao pia wa kufanya mambo.
 
Wamekaaa kijambazi jambazi ..🤣🤣🤣 kijasusi jasusi...Yani kama wazee wa kazi vile...
Kama mwenyekiti sura yake imekaa kijanja janja, yani mtu wa maneno na ahadi nyingi kuliko vitendo.
 
Amina na Jamila nao ni Wagalatia?
 
Anayetakiwa kuzuia wizi ni maza ambaye ni wa Ijumaa au naye ni mgalatia?
Kijana bado mdogo sana hujui lolote😅😅Magufuli alikuwa anapigwa chenga ,katumbua mpaka kachoka.

Raisi hana uwezo huo na mengi hayajui watu wanamzunguka ndio maana kuna mlolongo wa watendaji kila sehemu ,kila mtu na majukumu yake.
 

UOZO WA VYETI FAKE NA WATUMISHI HEWA UPO SINCE NYERERE YUKO MADARAKANI HADI ALIPOFIKA MAGUFULI NA KUWAUMBUA,

DOES IT MATTER RAIS GANI YUKO MADARAKANI ??KWANI WAKATI MKAPA YUKO MADARAKANI WATUMISHI HEWA NA WATU WENYE VYETU FAKE HAWAKUWAPO??I KNOW HAPO HOJA YAKO NI KWAMBA UNATAKA KUMWANGUSHIA HILO JUMBA KIKTWETE KAMA RAIS ALIEMPA KIJITI MAGUFULI,BUT THANKS NA HEKO KWA MAGUFULI MAANA KAWASHUGHULIKIA KISAWA SAWA WAGALATIA WENZAKE KWENYE SAKATA LILE,WHO KNOWS MAY BE KIKWETE ANGEANZA KULIAMSHA NAO WANGEANZA KULIA LIA NA KUSEMA OOOH MDINIII MDINII KISA ANAWANYOOSHA,SASA PALE WALIKOSA PA KUKIMBILIA N COZ MAGUFULI NI MGALATIA MWENZAO WANGEMFANYA KITU GANI??

NA HIYO HAIONDOI HOJA MEZANI JUU YA NAMNA GANI WAGALATIA MMEKUWA MNALITIA TAIFA HILI HASARA TOKA ENZ ZA UHURU HADI HIVI SASA,USOMI PEKEE AMBAO NYINYI MNAUFAHAM VIZURI NA KATIKA KULIIBIA TAIFA HILI TUH
 
Anayetakiwa kuzuia wizi ni maza ambaye ni wa Ijumaa au naye ni mgalatia?
SASA NYINYI MNAZUILIKA KWA WIZI WAGALATIA??NYINYI KILA ZAMA ZIKIJA HUO UGONJWA WENU WA UFISADI UNAKUWA KAMA KIRUSI CHA CORONA,KINA MUTATE TUH NA KUTAFUTA LOOPHOLES ZINGINE,MFANO HOSPITAL YA BUGANDO HAPO MWANZA PAMOJA NA KWAMBA SERIKALI INAWEKA FEDHA NYINGI ZA RUZUKU KUMBE FEDHA ZINACHUKULIWA TUH NA WAJANJA NA KUKIMBIZA NAZO MAKANISANI,WAJA LAANA SANA
 
Kijana bado mdogo sana hujui lolote😅😅Magufuli alikuwa anapigwa chenga ,katumbua mpaka kachoka.

Raisi hana uwezo huo na mengi hayajui watu wanamzunguka ndio maana kuna mlolongo wa watendaji kila sehemu ,kila mtu na majukumu yake.

HAKIKA UMESEMA KWELI KABISA,WAGALATIA NCHI HII NI KANSA SANA KATIKA KILA NYANJA NA KILA SEKTA,WAO UTAALAM WAO WANAOJUA VYEMA NI WIZI NA UFISADI TUH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…