Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

HAKIKA UMESEMA KWELI KABISA,WAGALATIA NCHI HII NI KANSA SANA KATIKA KILA NYANJA NA KILA SEKTA,WAO UTAALAM WAO WANAOJUA VYEMA NI WIZI NA UFISADI TUH
Tunashuhudia teuzi mbali ila akiteuliwa muislamu hao jamaa Qur an haikuwahi kusema vizuri ,hivi karibu ntaanza kujitenga na hao jamaa wana chuki za asili kabisa .

Yaani wao wanaangalia jina kama ni muislamu basi wanaanza chuki.
 
Kijana bado mdogo sana hujui lolote😅😅Magufuli alikuwa anapigwa chenga ,katumbua mpaka kachoka.

Raisi hana uwezo huo na mengi hayajui watu wanamzunguka ndio maana kuna mlolongo wa watendaji kila sehemu ,kila mtu na majukumu yake.
Makamba, Bashe, Ummy, Aweso, JK, Rostam, Riziwani nao ni wagalatia?
 
Mkuu,naendelea kukusihi, fikiri kabla ya kuandika. Unaweza kudhani unatetea watu wa dini yako kumbe unawatumhukiza matopeni.

Bado hujatoa majibu kuhusu ulichokiita wizi wa fedha za umma za escrow, wakati zinachotwa mkuu wa nchi na mlinzi mkuu wa mali za umma alikuwa nani?

Kama vyeti feki na watumishi hewa viliwekwa wazi na kuumbuliwa na Magufuli ambaye ni Mgalatia kama unavyodai wewe, kwanini asipongezwe mgalatia na alipokea kijiti kutoka kwa mtu wa dini yako ambaye aliwaacha watumishi hewa waendelee kuitafuna nchi?

Ufisadi na uchafu wa aina yoyote ile hauna dini, labda kwa mtu kama wewe uliyeamua kuivaa dini yako na kusafisha watu wa dini yako huku ukiwachafua watu wa dini nyingine. Hilo limekutia upofu na utaendelea kubaki na upofu.
 
Makamba, Bashe, Ummy, JK, Rostam ni wagalatia?
 
Ni ccm sio sisi
 
Isihusishwe na udini kivipi wakati bodi imejaa shungi na balagashia. Hata kama hujui kusoma picha huoni?
😁😁😁😁 Bongo ukiwa na siteresi ni za kujitakia tu. Hata kama wangekuwa Wagalatia ingesaidia nini? Wangeweza kupunguza gharama za mabando? Wangeruhusu VPN ili watu waendelee kupumua bila woga?😳😳😳😳

 
Waislamu watupu ,khaaa
 
Haki ya Mungu umewaza kama mimi. Kabla ya kusoma comment yako nilitaka niandike hizo sura hakuna hata moja ya matumaini ya kufanya la maana.

Kuna kipindi nyuso za watu huonyesha uwezo wao pia wa kufanya mambo.
Serious yani.. naona kuna shida hapo.
 
Mkuu naomba darasa la kujua sura ya mtu ambaye na uwezo wa creativety
Kutambua/kunyambua/Kuvumbua au kwa neno lingine Kufunua ukweli au uhalisia wa mtu kupitia Uso ni kipawa/kipaji. Si rahisi kufundishwa.
 
Waislamu wao wanachojua mtanzania hasipo kuwa muislamu basi atakuwa mkristo.
 
Nimevutiwa na hii comment yako.

Nipe tathimini ya hii picha yangu.
Sina hakika kama ni ww exactly but huu uso unaonesha ni namna gani mtu huyu ni mtu wa furaha na mara nyingi watu wa aina hii ya nyuso ni Wasanii hasa wa Muziki.. refer papa wemba etc ni very creative na mara nyingi wana uwezo wa kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja (Multitasking).
 
Mbona bodi nyingi zimejaa wagalatia kama TEC hamjasema kitu udini unawasumbua na roho mbaya.

WAKUU WA IDARA NA VITENGO

FOCUS MAKOYE SAHANI - Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma

MACHIBYA MASANJA - Kaimu Mkurugenzi wa Ujenzi na Miundombinu

HERIEL EMMANUEL - Mkurugenzi wa Uhandisi Mitambo

TITTO MATESHI - Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Umeme

NEVER DAIMON - Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara

AMINA MORSAD LUMULI - Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala

EMANUEL BALELE - Mkurugenzi wa Fedha na Uhasibu

SENZIGE KISENGE - Mkurugenzi wa TEHAMA

VICENT TANGOH - Mkurugenzi wa Sheria

NZEYIMANA DYEGULA - Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji

REGINALD MALELE - Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

STELLA GASPER - Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

JAMILA MBAROUK - Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano

NELSON NTEJO - Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Reli

PETER MATHEW - Mganga Mkuu Hospitali ya Reli

DAMAS MWAJANGA - Mkuu wa Chuo cha Reli Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…