Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Utadhani Baraza la ma-ulamaa!

Itakuwa mashirika mengi kwa sasa hali ipo hivyo.

BTW:Who cares? Hata wangekuwa wapagani hakuna faida yoyote kwa wapagani wenzao zaidi ya matumbo yao na familia zao.
 
Mimi sijawahi kujua faida za mtu ninaefanana nae dini au kabila na siyo ndugu yangu aliye kitengo kwamba huko kufanana nae kunanisaidiaje kwenye mzunguko wangu wa maisha?

Kwanza hanijui,nikijipendekeza atanikataa nadhani faida zipo kwenye familia zao siyo sisi tusiowajua so hili siyo jambo kubwa kiasi hicho .
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo 7-11-2023 akiwa Marakesh Morocco amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Mungu airudishe Tanzania ile tulioijua miaka yote
Utasema viongozi wa msikiti.Hii ni nchi wacheni uwehu.
 
Mimi sijawahi kujua faida za mtu ninaefanana nae dini au kabila na siyo ndugu yangu aliye kitengo kwamba huko kufanana nae kunanisaidiaje kwenye mzunguko wangu wa maisha?

Kwanza hanijui,nikijipendekeza atanikataa nadhani faida zipo kwenye familia zao siyo sisi tusiowajua.
Br kama mm tu,
Yan Magu tulikuwa tunatoka nae dhehebu moja, lakin ni je alinisaidia nini? Samia hatutoki nae dini moja, je amenisaidia nn?

Utaona wote tu wanafanya yale mambo basic kama taifa bila kujali dini zetu na wala hawanisaidii mimi kwa msingi wa dini
 
Vema kwa kuwa umekili hujawahi kujua, siku ukijua utashaangaa tabia halisi za asili za mwanadamu ikiwemo ile ya Egoism
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo 7-11-2023 akiwa Marakesh Morocco amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi hiyo ni:-​

1. Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti),
2. Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki)
3. Mzee S. Mndewa (Mjumbe)
4. Fatuma S. Ikuja (Mjumbe)
5. Abdallah B. Katunzi (Mjumbe)
6. Rehema J. Khalid (Mjumbe

KATIBU MKUU WA WIZARA NI :- Mohamed Hamis Abdulla
Mkurugenzi wa TCRA ni. DKT JABIRI BAKARI.

Haikuwa na balance ya wajumbe. Ishmael alitoa yeye tuu akamuacha Izack mtupu. Bwana akachukizwa.

Je, ni kweli kama watu wanavyo nongona kuwa Miaka 6 kurudi nyuma mpaka Sasa nchi hii imeathiriwa sana na ukabila , udini na ujinsia?

Mungu airudishe Tanzania ile tulioijua miaka yote
Isihusishwe na udini kivipi wakati bodi imejaa shungi na balagashia. Hata kama hujui kusoma picha huoni?
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo 7-11-2023 akiwa Marakesh Morocco amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo

Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais amefanya uamuzi kuanzia Novemba 7, 2023
Waliokuwa Wajumbe wa Bodi hiyo ni:-​

1. Mhandisi Othman S. Khatib (Mwenyekiti),
2. Khalfan S. Saleh (Makamu Mwenyeki)
3. Mzee S. Mndewa (Mjumbe)
4. Fatuma S. Ikuja (Mjumbe)
5. Abdallah B. Katunzi (Mjumbe)
6. Rehema J. Khalid (Mjumbe

KATIBU MKUU WA WIZARA NI :- Mohamed Hamis Abdulla
Mkurugenzi wa TCRA ni. DKT JABIRI BAKARI.

Haikuwa na balance ya wajumbe. Ishmael alitoa yeye tuu akamuacha Izack mtupu. Bwana akachukizwa.

Je, ni kweli kama watu wanavyo nongona kuwa Miaka 6 kurudi nyuma mpaka Sasa nchi hii imeathiriwa sana na ukabila , udini na ujinsia?

Mungu airudishe Tanzania ile tulioijua miaka yote
Huyu mwanamke anataka kuwaweka ndugu zake wazenji akiwa anatekeleza mpango wake anakutana na kikwazo cha udini. Wazenji badilisheni majina yenu tumieni hata ya kienyeji kama mtishamba, Nungwi, Kendwa etc
 
Br kama mm tu,
Yan Magu tulikuwa tunatoka nae dhehebu moja, lakin ni je alinisaidia nini? Samia hatutoki nae dini moja, je amenisaidia nn?

Utaona wote tu wanafanya yale mambo basic kama taifa bila kujali dini zetu na wala hawanisaidii mimi kwa msingi wa dini
Hayo ni matokeo ya ujumla jumla tu, prejudice, upendeleo na mengine kama hayo yanaathiri pakubwa jamii kuliko mtu mmoja mmoja. Angalia kule Uchina lile jimbo la Xinjiang Uyghur (XUAR) wanavyotendwa na Wachina na serikali ya Beijing. Sogea hapo Darfur Sudani uone upendeleo wa viongozi wa Dini flani dhidi ya Dini nyingine kupitia Janjaweed...mifano ipo mingi sana.
 
Akili za udini zitatufikisha pabaya kama sio kesho basi keshokutwa ama mtondogoo.

Sasa hao walikuwa waislam kwani waislam walikuwa wanapata bando la bure ama?
Mie naona yeyote mwenye sifa ana haki ya kukaa haijalishi kabila wala dini yake.
 
Back
Top Bottom