Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

Na nyie shindeni muunde Tume yenu,hata kule Kenya Tume Ina wajumbe ambao ni Wafuasi wa Vyama.

Mwisho hata referee anaweza kuwa Yanga au Simba lakini Yuko kati kuamua dimba.
 
Mkuu habari za Geita, Tunaomba Maoni yako kuhusu Mjumbe huyu ambaye ni Katibu Mwenezi wa ccm mstaafu
Acheni Porojo

Ila Chama Chenu porojo tunawatambua ni asili yenu

Hivi Bado Heche ni Kibaraka wa Yule Mkuuu wa Ile wizara?

Naona vijana wengi wa Chadema Aweso Mekua ndio mnamshobokea sana

Au ndio kupata chochote kitu kijanja
 
Haya sasa Mlimani wa nyie watoto wa Juzi hamkubali!! Kuna mwalimu humu jambo I namfahamu aliyewandisha Huyu mwalimu wako Ndanshau, katibu wako mkuu na hata boss wako Mpango!!
Hoja ni huyu ni Ndanshau au siyo? Hata Mimi amenifundisha maarufu kama vis-vis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…