Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
06. Ommy Dimpoz

Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.



05 . Ney wa Mitego

Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.





04 . Wema Sepetu

Wema Sepetu anamiliki gari aina ya
Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.



03 . Lady Jaydee

Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.



02. Irene Uwoya

Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.



01 . Diamond Platnumz

Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.

 
...kwanza wewe inaonekana huwajui wasanii wa bongo, (maana kuna wasanii ambao mimi binafsi nawafahamu na wana magari yenye thamani zaidi ya hiyo mark x) pili inaonekana hata bei za magari "0" km huzijui, au ume copy na ku paste.
 
siamini kama irene uwoya na wema sepetu wamepata hayo magari kutokana na kazi zao za filamu,

hicho kitu hakiwezekani! otherwise watuambie vyanzo vyao vya pesa ni vipi!

lazima kuwe na external force iliyotumika.

hongera zao lakini, mjini mipango!

namba moja bado tuna utata, je hilo gari ni la diamond ama kiumbe? ama alimuweka kiumbe kwenye utata ili azidi kung'aa kwa scandal? sijapata conclusion halisi kwa namba moja!
 
Hiv iren Uwoya hua anaishi kwao? Tuwekee na mijumba wanayomiliki halaf wolper siku hana gari?
 
Mmmmh Irene Uwoya na Wema Sepetu???

Mangi leo sina hela ya kiroba..yero nigongee ugoro!
 
Irene Uwoya na Wema hongeren,,inaonyesha uchumi mlionao hamuukalii
 

Watoto Wa Kike Sisi!!
Mwanaume Akishindana Nasi Anageuka Aunty......HeeeHeeee....
It Is.... As Simple As That....
 
Thamani ya magari sasa!!! Sintofahamu maana ni kubwa kuliko bei ya magari yenyewe, wasanii ni waongo sana sijui waonekane wana pesa?! Wanaongeza sana, wawadanganye wasiojua bei ya magari.
 
Ivi hao ma blogger wana akili nzuri kweli? Kwa hiyo wema, diamon na Irene uwoya hayo magari wamenunua kwa pesa Zao? Mbona hilo Prado ni la chief kiumbe kwani kuna siri tena?, na huyo wema hilo gari hana tena kwanz halikuwa la kwake, na uwoya hilo benz alihongwa na wala hatumii tena hilo gari, siku izi namuonaga na range nyeusi, kama mtu akiendesha gari la mtu au kuazima kama sio kuhongwa, basi wanaomilik magar ya kifahari ni wengi, wafanye utafiti kwanza waache kukurupuk
 
Tatu Bora imenikumbusha my sheria class nilipokuwa college.......Possesors.....
 
Wanaacha kuwataja wakina shilole kutwa wanakata mauno jukwaan wapate riziki unawaweka hao makahaba, kwa na huyo ommy dimpoz hilo gari kahongwa, msinipandishe mashetani nikaropoka na mengine apa
 
Wanaacha kuwataja wakina shilole kutwa wanakata mauno jukwaan wapate riziki unawaweka hao makahaba, kwa na huyo ommy dimpoz hilo gari kahongwa, msinipandishe mashetani nikaropoka na mengine apa

Na wolper gari wapi siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…