Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Mmh weye....mwenzetu umepanic bhana....ila maka.......ba nao wanahangaika kwa jasho...sio kazi rahisi...narudia tena...Sio kazi rahisi...Sema sina uhakika na UMILIKI kwa upande wao....
Pia please tutupie picha ya gari ya Shishi.....

aaaah aaah eti siyo kazi rahis, unaweza kuwa sahihi kiasi chake , wanaudhi kudanganya umma kuhusu maisha yao, wema hajawah kumilik gari la kununua kwa pesa yake , achilia mbali ile rav 4 aliyopata kwenye umiss, shilole wanamuonaga tahira mwenzao ana nyumba na gar la maana
 
Aya nakupa offer binamu, Soudy brown naye alimuuliza juzi wema vipi kuhusu vifaa ambavyo diamond aliahid kukununulia ameshanunua, na ile nyumba ya million mia ameshakujengea, ndugu yako akabaki anajichekesha tu hana la kujibu, Dada yako ---- sana, hajiuliz ndomo mwenyewe anakaa nyumba ya kupanga from no where ajengewe nyumba ya million mia?, gari yenyewe hajawah kumnunulia...

Wema angekua ana akili angemiliki vitu vya maana maana hua anapewa pesa nyingi kweli lakin amekalia kujirusha na kuonekana ana pesa wakati hana
 
Wema angekua ana akili angemiliki vitu vya maana maana hua anapewa pesa nyingi kweli lakin amekalia kujirusha na kuonekana ana pesa wakati hana

Aliniachaga hoi tu alivyomchukua msanii kutoka Nigeria yule omotola aje kuzindua movie hewa, dah wadau watanisamehe bure ila Dada yangu watakuwa wamempiga kipapai sio bure, narudia tena sio bure kuna watu wanamchezea inabid team wema wakazane kumuombea boss wao badala ya kutukanana ovyo mtandaoni, maana hata kwa akili ya kawaida haingii akilini kabisa wema ashindwe kufanyia kitu cha maana zile dolali za bwana clement na ile ofisi yake ya movie ambayo had inarud mikononi mwa mwenyew wema hakutoa hata movie ya comedy, inauma sana, binadamu sio watu wazuri kabisa
 
Hao team wema wanampoteza wema maana hata hawamshauri uteam mav tu
 
aaaah aaah eti siyo kazi rahis, unaweza kuwa sahihi kiasi chake , wanaudhi kudanganya umma kuhusu maisha yao, wema hajawah kumilik gari la kununua kwa pesa yake , achilia mbali ile rav 4 aliyopata kwenye umiss, shilole wanamuonaga tahira mwenzao ana nyumba na gar la maana

Shilole si bado yuko kwenye ujenzi au imeshakamilika
 
Diamond hilo gari si la Chief kIUMBE

Bongo movie kumbe inalipa kiasi hiko

Binamu umekula wewe? Maana kazi na dawa , Leo Nina exclusive ya nguvu , ngoja nipate dona langu na dagaa kwanza halafu nitarudi, Leo usicheze mbali na warumi, ukisikia popote nipo nifuate...
 
Kwake tunasema atleast maana hao wanaoendesha ma Benz hatujawah kusikia hat kugombania kiwanja sehemu, zaidi ya kugombania nyumba za kupanga kama wolper na baby madaha..

yeah atleast mjini ukiwa na nyumba ni bora zaidi.........

Shilole aende shule nae elim nayo muhim
 
Binamu umekula wewe? Maana kazi na dawa , Leo Nina exclusive ya nguvu , ngoja nipate dona langu na dagaa kwanza halafu nitarudi, Leo usicheze mbali na warumi, ukisikia popote nipo nifuate...

hii ni kama ile wanayosema STAY TUNED

waweza kunimention tu taarifa inifikie kwa wakati
 
eh...waweke kadi za kuonyesha umiliki sio kupiga nayo picha.....
 
Usipoangalia utajikuta unashinda humu jf
 
Binamu umekula wewe? Maana kazi na dawa , Leo Nina exclusive ya nguvu , ngoja nipate dona langu na dagaa kwanza halafu nitarudi, Leo usicheze mbali na warumi, ukisikia popote nipo nifuate...
Janaume zima kujivunia umbeya angalia usije kupigwa ----.
 
Back
Top Bottom