Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Wafahamu wasanii sita(6) bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi kwa sasa

Gari anayoendesha wema ndiyo anayomiliki shilole tena shilole kanunua kwa pesa yake , yupo wapi johari na mark x yake?, ray na Prado yake?, mnaacha kutaja watu wanaohangaika kwa majasho yao mnawataja hao makahaba...
 
Mbona wengine wanayo hapo mjini?

wanayo lakin hawaendi nayo mbali mkuu!

hamna hata mmoja anae generate rout ya one thousand kilometres and above as a single journey!

kwanini wanaishia masaki na mbezi beach?

kwanini hatuwaoni kwenye foleni za ubungo mbagala? kwani hizo sio barabara?
 
Huyo naye anamiliki Prado kama ya diamond na mini Cooper, na yeye ndo wale wale akina wema, bora johar kajikamua na mark x yake

wanatoa wapi mikwanja mkuu?

kwani bongo movie imefikia kiwango cha kunulisha watu magari ya milion 50?
 
wanayo lakin hawaendi nayo mbali mkuu!

hamna hata mmoja anae generate rout ya one thousand kilometres and above as a single journey!

kwanini wanaishia masaki na mbezi beach?

kwanini hatuwaoni kwenye foleni za ubungo mbagala? kwani hizo sio barabara?

Sasa kwani celebrities si wanatakiwa wakae huko Masaki na Oyster Bay. Celebrity gani atakaa Uswazi?
 
Sasa kwani celebrities si wanatakiwa wakae huko Masaki na Oyster Bay. Celebrity gani atakaa Uswazi?

kwani wao hawana wa kuwatembelea huku ukabwelani?

btw, gari ulizozitaja naamini zina injin capacity kubwa sana!

najua zina uwezo wa kutembea mwendo mkali, sasa kwa jinsi hii, ina maana gari hizi zinakuwa 'under utilised'!!

kama unavyojua kwa gari kama vx v8, unavyokwenda kasi sana ndivyo unavyopunguza fuel consumption..

kwanini basi wasiwe wanajitoa kuja huku mikoani basi kwa personal trips?
 
Labda ni celebrities wa kibongobongo. Celebrities wanaendesha Toyota?????
Celebrities wanakaa uswazi?
Tafuteni msamiati mwingine
 
unamaanisha nini Ntakasi?

Namaanisha hapo ni filamu za ukweliukweli ndizo zinawapa possesion ya magari......Note....POSSESION sio OWNERSHIP.....Investors wako makini!
 
Last edited by a moderator:
Wanaacha kuwataja wakina shilole kutwa wanakata mauno jukwaan wapate riziki unawaweka hao makahaba, kwa na huyo ommy dimpoz hilo gari kahongwa, msinipandishe mashetani nikaropoka na mengine apa

Hahahaaa tiririka mkuu inaonekana unajua mengi.
 
Binadamu huyo ata mkokoteni hana, halafu naomba uache kunichimba, maana najijua

Hahhahhaha halafu Warumi ile inshu tulikua tunaisubiri mim na wewe ya yule mtu kununuliwa vifaa baada ya wiki mbili imefikia wapi
Nimeuliza la mwisho tu kaka yangu
 
Namaanisha hapo ni filamu za ukweliukweli ndizo zinawapa possesion ya magari......Note....POSSESION sio OWNERSHIP.....Investors wako makini!

we mjanja eenh! uwezo wako wa kufikiri niliusoma toka mwamzo!

mawazo yako yako kibarazani barazani saaana!

jivunie kuwa na papuchi...
 
Gari anayoendesha wema ndiyo anayomiliki shilole tena shilole kanunua kwa pesa yake , yupo wapi johari na mark x yake?, ray na Prado yake?, mnaacha kutaja watu wanaohangaika kwa majasho yao mnawataja hao makahaba...

Mmh weye....mwenzetu umepanic bhana....ila maka.......ba nao wanahangaika kwa jasho...sio kazi rahisi...narudia tena...Sio kazi rahisi...Sema sina uhakika na UMILIKI kwa upande wao....
Pia please tutupie picha ya gari ya Shishi.....
 
Mark x n 15m hiyo 30m unapata mawili n hyo vx 130m hata ukienda yard zipo bei hiyo, hiyo benz y wolper hata auze movie miaka 10 hanunui labfa auze mbuye
 
Hahhahhaha halafu Warumi ile inshu tulikua tunaisubiri mim na wewe ya yule mtu kununuliwa vifaa baada ya wiki mbili imefikia wapi
Nimeuliza la mwisho tu kaka yangu

Aya nakupa offer binamu, Soudy brown naye alimuuliza juzi wema vipi kuhusu vifaa ambavyo diamond aliahid kukununulia ameshanunua, na ile nyumba ya million mia ameshakujengea, ndugu yako akabaki anajichekesha tu hana la kujibu, Dada yako ---- sana, hajiuliz ndomo mwenyewe anakaa nyumba ya kupanga from no where ajengewe nyumba ya million mia?, gari yenyewe hajawah kumnunulia...
 
Mark x n 15m hiyo 30m unapata mawili n hyo vx 130m hata ukienda yard zipo bei hiyo, hiyo benz y wolper hata auze movie miaka 10 hanunui labfa auze mbuye

Awa uwa wanataja bei ya juu ili wapate sifa matokeo yake wanajiponza serikali ikaona kumbe wanapata pesa nyingi .TRA ikaingilia kati na kuwawekea kodi na pesa ya kusajili movie ikapanda sasa wako wanalialia
 
Back
Top Bottom