Mmh weye....mwenzetu umepanic bhana....ila maka.......ba nao wanahangaika kwa jasho...sio kazi rahisi...narudia tena...Sio kazi rahisi...Sema sina uhakika na UMILIKI kwa upande wao....
Pia please tutupie picha ya gari ya Shishi.....
Aya nakupa offer binamu, Soudy brown naye alimuuliza juzi wema vipi kuhusu vifaa ambavyo diamond aliahid kukununulia ameshanunua, na ile nyumba ya million mia ameshakujengea, ndugu yako akabaki anajichekesha tu hana la kujibu, Dada yako ---- sana, hajiuliz ndomo mwenyewe anakaa nyumba ya kupanga from no where ajengewe nyumba ya million mia?, gari yenyewe hajawah kumnunulia...
Wema angekua ana akili angemiliki vitu vya maana maana hua anapewa pesa nyingi kweli lakin amekalia kujirusha na kuonekana ana pesa wakati hana
aaaah aaah eti siyo kazi rahis, unaweza kuwa sahihi kiasi chake , wanaudhi kudanganya umma kuhusu maisha yao, wema hajawah kumilik gari la kununua kwa pesa yake , achilia mbali ile rav 4 aliyopata kwenye umiss, shilole wanamuonaga tahira mwenzao ana nyumba na gar la maana
Shilole si bado yuko kwenye ujenzi au imeshakamilika
Diamond hilo gari si la Chief kIUMBE
Bongo movie kumbe inalipa kiasi hiko
Kwake tunasema atleast maana hao wanaoendesha ma Benz hatujawah kusikia hat kugombania kiwanja sehemu, zaidi ya kugombania nyumba za kupanga kama wolper na baby madaha..
Binamu umekula wewe? Maana kazi na dawa , Leo Nina exclusive ya nguvu , ngoja nipate dona langu na dagaa kwanza halafu nitarudi, Leo usicheze mbali na warumi, ukisikia popote nipo nifuate...
yeah atleast mjini ukiwa na nyumba ni bora zaidi.........
Shilole aende shule nae elim nayo muhim
yeah atleast mjini ukiwa na nyumba ni bora zaidi.........
Shilole aende shule nae elim nayo muhim
hii ni kama ile wanayosema STAY TUNED
waweza kunimention tu taarifa inifikie kwa wakati
binamu siwaona signature yangu....
Janaume zima kujivunia umbeya angalia usije kupigwa ----.Binamu umekula wewe? Maana kazi na dawa , Leo Nina exclusive ya nguvu , ngoja nipate dona langu na dagaa kwanza halafu nitarudi, Leo usicheze mbali na warumi, ukisikia popote nipo nifuate...