Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla.

Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai

Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.

Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.

Mama ni nguli wa uchumi
 
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.

Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai

Rais wa inchi unamwita kama mdada wako wa nyumbani?

Anaitwa Mheshimiwa Rais Samia

Hayo mengine ni uongo mkubwa ambao hauna maana yoyote
 
Kwa sasa Tanzania ndio kimbilio na chaguo namba moja la watalii, wafanyabiashara wakubwa pamoja na wawekezaji.
Kama Tz ni kimbilio la watalii kama unavyobubujikwa na machozi hapa kwann sasa dola hazipatikani nchini??, kumbuka kawaida watalii wakiingia kwa wingi nchini kunakuwa na ongezeko za pesa za kigeni (dola, euro, pound)
 
Walikimbilia Kenya sababu nchi ilikuwa na Raisi. Kwa sasa wanarudi maana nchi ipo kama haina raisi ni hela yako tu unajifanyia utakavyo watchdogs wengi ni wala rushwa tu.

Hamna restrictions ni sawa na beseni la mikate limetupwa kwa wanafunzi wa form 4 ni mwendo wa kupiga scramble tu.
 
Mmh, hata kama nyinyi mnazidisha sasa. Kila kitu sifa, kila kitu sifa, hamjishtukii. Mbona mmezidi sasa. Kwa huu mwendo, ctoshangaa mkija kusema" mama anaupiga mwingi, idara ya utabiri wa hali ya hewa chini ya uongozi wa mama wamefanikiwa kuwaandaa wananchi dhidi ya kimbunga mwajuma nchokone kuepusha madhara." kila kitu mnamsifia tuuuu. Uuuuuuu. Mtu mwenyewe anamahaba n nchi za wenzetu kuliko nchi yake. Tangu aingie madarakan amesafiri kutoka nje ya tz mara nyingi kuliko kusafiri ndani ya nchi kuzijua kero za wananchi wake. Hajishtukii kuwapuuzia watu wake??? Atazijuaje kero ndani ya nchi ilhali hatembei?? Gharama za safari zake nina uhakika tunajenga mwendokasi kutoka mwenge hadi bagamoyo. Mkosoeni anapostahiki na punguzeni kumpa sifa hasizostahiki, sifa za kijingajinga
 
Mbona hatuoni faida yake? Nchi inazidi kudidimia kiuchumi,na Hali ya umaskini kwa wananchi wa kawaida inazidi kuwa mbaya huku wachache wakineemeka!?
Tatizo la huyo mluga luga ye huwa anasifia tu bila mantiki, yaani ilimradi tu asifie...siku yake inakuwa imeenda vizuri!.
 
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.

Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai

Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.

Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.

Mama ni nguli wa uchumi
Lucas mwingine huyu huku!!
 
Back
Top Bottom