Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.

Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai

Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.

Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.

Mama ni nguli wa uchumi
Sio tuu uchumi Bali ni profesawa siasa za Mageuzi na mahusiano ya Kimataifa.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1791729652970450978?t=etb4LYCHbyTEl5t2x3bXow&s=19

My Take: Yule Rais wa Hustlers amepandisha makodi na anaongea Lugha za Magufulification,Sasa hizo na Biashara ni vitu 2 tofauti 🤣🤣
 
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.

Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai

Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.

Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.

Mama ni nguli wa uchumi
Kama wewe unatembea na una afya basi tambua kwamba wewe ni mjinga. Na kama ulienda shule basi ulipoteza muda na kama wewe ni binadamu basi tambua kwamba ni shetani uliye ardhini. Watanzania wanateseka kwa uongozi huu uliojaa matapeli na majinga. Ukiwa mzalendo na una akili huwezi kusifia hata kidogo uongozi huu wa matepeli haya zaidi yakafie mbali.
 
Wanatesekaje? Matapeli ni kina nani wataje tuwajue.

Magufulification na Biashara ni mbingu na Ardhi,ndicho kinaendelea Kwa Rais wa wanyonge(Hustlers ) wa huko Kenya.

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1791306672608072010?t=gECk5YaiVQvvRhII3Fl6yg&s=19

Bado hawajasema Hadi waseme 👇👇

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1791529118367957006?t=au_cajRzDDaYvxzLZqncyQ&s=19
 
Kama wewe unatembea na una afya basi tambua kwamba wewe ni mjinga. Na kama ulienda shule basi ulipoteza muda na kama wewe ni binadamu basi tambua kwamba ni shetani uliye ardhini. Watanzania wanateseka kwa uongozi huu uliojaa matapeli na majinga. Ukiwa mzalendo na una akili huwezi kusifia hata kidogo uongozi huu wa matepeli haya zaidi yakafie mbali.
Sikiliza dw mzee. Siyo mimi
 
Mawazo ya darasa la saba haya. Hakuna msomi anayeweza kuwaza hivi. Kumbuka sera zikiwa nzuri zinamshawishi mwekezaji. Mwekezaji kumvita ni kazi. Jpm yeye alivutia machinga tu allitaka kilia mtu awe mnyonge ili amtawale vizuri
Wanakuja kw sababu Tanzania imekuwa shamba la bibi.kila mmoja anakuja kujichotea Mali atakavyo na kurudi kwao ndiyo maana Kwa Sasa mapato yamepungua kulinganisha na miaka ya nyuma
 
Walikimbilia Kenya sababu nchi ilikuwa na Raisi. Kwa sasa wanarudi maana nchi ipo kama haina raisi ni hela yako tu unajifanyia utakavyo watchdogs wengi ni wala rushwa tu.

Hamna restrictions ni sawa na beseni la mikate limetupwa kwa wanafunzi wa form 4 ni mwendo wa kupiga scramble tu.
Mbona we umeshindwa kuiba sasa. Au huna akili
 
Mbona hatuoni faida yake? Nchi inazidi kudidimia kiuchumi,na Hali ya umaskini kwa wananchi wa kawaida inazidi kuwa mbaya huku wachache wakineemeka!?
Wapi inadidimia. Au huelewi maama ya uchumi. Sema wewe unazidi kudidimia kifedha siyo kiuchumi. Uchumi ni macro economic variable siyo individual. Sasa hivi pato langu limeongeza 3 times ukilinganish ana kipindi cha jpm ambaye alikuwa kila mtu anamuona mwizi ispokuwa makonda na sabaya tu
 
Tataizo Luto amekumbatia ser za jpm ndo maana uchumi unasambaratika mapak apinduliwe na jeshi au auawe kama alivyokufa jpm ili nchi isonge mbele
 
Mawazo ya darasa la saba haya. Hakuna msomi anayeweza kuwaza hivi. Kumbuka sera zikiwa nzuri zinamshawishi mwekezaji. Mwekezaji kumvita ni kazi. Jpm yeye alivutia machinga tu allitaka kilia mtu awe mnyonge ili amtawale vizuri
Mawazo ya darasa la saba haya. Hakuna msomi anayeweza kuwaza hivi. Kumbuka sera zikiwa nzuri zinamshawishi mwekezaji. Mwekezaji kumvita ni kazi. Jpm yeye alivutia machinga tu allitaka kilia mtu awe mnyonge ili amtawale vizuri
Mawazo ya darasa la saba haya. Hakuna msomi anayeweza kuwaza hivi. Kumbuka sera zikiwa nzuri zinamshawishi mwekezaji. Mwekezaji kumvita ni kazi. Jpm yeye alivutia machinga tu allitaka kilia mtu awe mnyonge ili amtawale vizuri
Kuvuta mwekezaji? Kuuza ardhi Kwa waarabu na kufukuza wazawa ndiyo kuvutia uwekezaji?Kila kukicha uchumi unaporomoka kuliko Nchi yeyote inayotuzunguka.sasa hao wawekezaji mnaodanganywa na huyo nani yenu Kwa Nini uchumi uzidi kuporomoka.?
 
Samia hafukuzi wazawa bali anawatafutia pa kuishi. Nchi zozote duniani zinafanya hivyo. Huwezi kue delea kuishi sehemu ambayo ni productive halafu huzalishi halafu serikali akakuacha na kukutazama tu. Lengo la serikali ni kukusanya kodi kwa matumizi mbali mbali ikiwemo hao wanaohamishwa. Wanahitaji dawa, barbara, kulindwa nk hivyo serikali lazima iwe na a big tax base.
 
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.

Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai

Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.

Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.

Mama ni nguli wa uchumi
Huo ujinga wa Ruto ndio ujinga aliuleta Magufuli hapa, kisha wavivu wa kufikiri wakawa wanamsifia. Huko Kenya wafanyabiashara wengi wataleta mitaji hapa, lakini wawe makini maana hizi nchi huendeshwa kwa hisia za Marais, na sio uhalisia.
 
Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.

Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai

Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.

Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.

Mama ni nguli wa uchumi
Kwa taarifa yako Kenya saizi uchumi unavutia foreign direct investment kwa speed sana, hii ni sababu ya kuimarika kwa Ksh yake ndani ya miezi 2 iliopita. Trust kwenye uchumi wake imekuwa kubwa angalia hata Ksh ilivyo strong saizi ukilinganisha na Tsh. Hizo soga za kulishana ujinga zinazidi kuiporomosha nchi kwa kasi (exchange rate)
 
Attachments

  • Screenshot_20240518-175419.jpg
    Screenshot_20240518-175419.jpg
    190.3 KB · Views: 4
Kwa taarifa yako Kenya saizi uchumi unavutia foreign direct investment kwa speed sana, hii ni sababu ya kuimarika kwa Ksh yake ndani ya miezi 2 iliopita. Trust kwenye uchumi wake imekuwa kubwa angalia hata Ksh ilivyo strong saizi ukilinganisha na Tsh. Hizo soga za kulishana ujinga zinazidi kuiporomosha nchi kwa kasi (exchange rate)
Sikiliza dw ya leo mchana. Usionger kwa hisia au kwa kuhadithiwa. Imechambuliwa na maprof wa kikeny wenyewe siyo mimi
 
Endelea kuamini hizo propaganda sisi tulio ndani ya Kenya tunajua uhalisia. Policy za uwekezaji za Kenya ni nzuri sana na ndio maana unaona kampuni kubwa zote zinaweka head office hapa Nairobi sababu legal framework zipo clear tofauti na Tanzania ambapo Rais ndio anaamua kila kitu...... Hao mnaosema wawekezaji wameweka vi-subsidiary vinavyopima upepo tu wala hakuna lolote la maana.
 
Kwa taarifa yako Kenya saizi uchumi unavutia foreign direct investment kwa speed sana, hii ni sababu ya kuimarika kwa Ksh yake ndani ya miezi 2 iliopita. Trust kwenye uchumi wake imekuwa kubwa angalia hata Ksh ilivyo strong saizi ukilinganisha na Tsh. Hizo soga za kulishana ujinga zinazidi kuiporomosha nchi kwa kasi (exchange rate)
We una zero ya uchumi kichwani. Nani kakwambia kwamba mwekezaji anavutiwa na kuwa na strong currency? Unajua jinsi china ilivyowarua wawekezaji wakubwa kabisa duniani kama akina elon musk wakati ime devalue currency yake! Au hujua maama ya currency devaluation and and currency depreciatio.

Rudi shule mkuu ili uwe una argue kitu unachomijua
Endelea kuamini hizo propaganda sisi tulio ndani ya Kenya tunajua uhalisia. Policy za uwekezaji za Kenya ni nzuri sana na ndio maana unaona kampuni kubwa zote zinaweka head office hapa Nairobi sababu legal framework zipo clear tofauti na Tanzania ambapo Rais ndio anaamua kila kitu...... Hao mnaosema wawekezaji wameweka vi-subsidiary vinavyopima upepo tu wala hakuna lolote la maana.
Unajua gdp ya tanzania na kenya kwa sasa. Au unaropoka tu
 
Back
Top Bottom