Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.
Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji waliokuw kenya kuna tanznai
Wanalia na ajira kwamba zimeondoka zimekuja bongo.
Wanasem enzi za jpm walifurahi sana mana kenya ingezizidi nchi zote mana wafanyabiahara walikimbilia kenya kipindi kile na keny wkaafurahi kwaba soon uchumi wa tanzania ungekufa, ni kweli. Sasa imekuwa kinyume.
Mama ni nguli wa uchumi
Kwa sasa Tanzania ndio kimbilio na chaguo namba moja la watalii, wafanyabiashara wakubwa pamoja na wawekezaji.
Kama Tz ni kimbilio la watalii kama unavyobubujikwa na machozi hapa kwann sasa dola hazipatikani nchini??, kumbuka kawaida watalii wakiingia kwa wingi nchini kunakuwa na ongezeko za pesa za kigeni (dola, euro, pound)Kwa sasa Tanzania ndio kimbilio na chaguo namba moja la watalii, wafanyabiashara wakubwa pamoja na wawekezaji.
Usiamini vya kuambiwa labda ujithibitishie. Mazingira ya kibiashara kwetu ni uchwara heri ata kwa kenyaNi kweli kabisa hali Kenya ni mbaya Sana
Tunaofanya biashara mipakani tunayaonaUsiamini vya kuambiwa labda ujithibitishie. Mazingira ya kibiashara kwetu ni uchwara heri ata kwa kenya
Wewe upo mpakani!! Mimi nipo ndani kimasomo. Umeona nini, kitaje ulichokionaTunaofanya biashara mipakani tunayaona
Mbona hatuoni faida yake? Nchi inazidi kudidimia kiuchumi,na Hali ya umaskini kwa wananchi wa kawaida inazidi kuwa mbaya huku wachache wakineemeka!?Kwa sasa Tanzania ndio kimbilio na chaguo namba moja la watalii, wafanyabiashara wakubwa pamoja na wawekezaji.
Tatizo la huyo mluga luga ye huwa anasifia tu bila mantiki, yaani ilimradi tu asifie...siku yake inakuwa imeenda vizuri!.Mbona hatuoni faida yake? Nchi inazidi kudidimia kiuchumi,na Hali ya umaskini kwa wananchi wa kawaida inazidi kuwa mbaya huku wachache wakineemeka!?
Lucas mwingine huyu huku!!Nakupingeza sana samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya africa n africa kwa ujumla.