Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

J
 
Fanya tafiti ndogo. Tembelea ofisi za uwekezaji za kenya wakupe idadi ya wawekezaji wanaingia na wanaondoka halafu uje tanzania ufafanye the same utafiti
Kabla ya kujibu hili swali lako kwanza nitajie hizo sera bora za uwekezaji zilizowekwa na Samia ambazo ni bora kuliko zilizopo Kenya kiasi cha kuwahamisha wawekezaji waliopo Kenya.
 
Kabla ya kujibu hili swali lako kwanza nitajie hizo sera bora za uwekezaji zilizowekwa na Samia ambazo ni bora kuliko zilizopo Kenya kiasi cha kuwahamisha wawekezaji waliopo Kenya.
Sera ya kodi ya tanzania ni favourable sana kuliki kenya pia hakuana kikisi kazi kama zamani enzi za jpm cha kuvamia account binafsi na kupora pesa. Kuna utawala wa sheria na wawekezaji wanapend sana hilo ili kulinda migani yao. Hakuna one man show tena ambaye amiamka na mizuka yake anaamua lolote
 
Bro sera za nchi kwenye mazingira ya uwekezaji ndio factor kubwa hizo sera za Samia ni makeup tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20240518-191551.jpg
    318.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240518-191736.jpg
    293.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240518-191753.jpg
    295.2 KB · Views: 4
Bro sera za nchi kwenye mazingira ya uwekezaji ndio factor kubwa hizo sera za Samia ni makeup tu.
Mwekezani siku zote ni risk averse hawezi kuwekeza sehemu ambapo hakuna utawala wa sheria mana anajua mda wowote anaweza kunyanganywa mtaji kibabe tu eti ni fisadi wakati rais hana mamlaka hayo ispokuwa mahakama na wakati wa jpm majaji walikuwa wanapigiwa simu tu kwamba funga huyu acha huyu. Ndo mana samia baada ya kuingia madarakani aliwaachia wote ili mahakama ndo iamue kosa la mtu
 
Sasa Tanzania kuna utawala wa sheria? Mahakama zenyewe hazipo huru, na hili lilithibitishwa na Rostam, sasa hao wawekezaji kwa mazingira kama hayo watatoka wapi to be honest kama sio wachuuzi tu? Kingine huo uwekezaji lazima tuuone kwenye figure tena kupitia reputable organization kama IMF, World Bank etc
 
Hata Baba yako akiwa mwizi au kichaaa still utamwita Baba

No matter what heshima lazima iwepo ndio maana ukiona msafara wake unasimama kusubiri apite

Ni Rais wa inchi, Heshima yake lazima apewe
Kwahiyo rais ni baba yako? Chawa unakwama wapi?
 
 

Attachments

  • IMG-20240519-WA0064.jpg
    111.1 KB · Views: 3
Nyie watu sijui akili zenu zikoje.watu wanalia mtaani hakuna hela nyie mnaleta porojo
 
Sasa nimejua kwa nini wabongo wanalizwa mitandaoni kila siku kwa kuibiwa hela na Wakenya.

Hayo yote ni matunda ya awamu ya 6
 
Kwahiyo rais ni baba yako? Chawa unakwama wapi?

Ni Rais wa Inchi yako
Ni Heshima tu, kwani utapungukiwa na nini ukimheshim ?

Watu wangapi unawaheshim na sio Baba yako?

Rais wa inchi yako ni kumuheshim tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…