Wafanyabiashara 2,900 kuhama soko kuu la Kariakoo

Yaani unaongea kama kabibi fulani hivi cha ajabu utakuwa kijana mdogo tu..
Au una undugu na Bashite wa Kolomije au St. JPM wa Ruwendele?

Daah Leo Nimeona Nyama 1Kg inauzwa sh. 5,000/= Kwa Dar es salaam kutoka 8,000/=

Myth.
Nyama zimeshuka bei machinjioni Kutokana na kushuka bei ya ng'ombe vijijini.
 
Sasa si ndo vizuri? Mlikua mnalalamika mfumuko wa bei za vyakula, nyama imeanza kushuka bei pia mnalalamika[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Dah... Wanajichanganya kwelikweli [emoji13] [emoji13]
 
tayari ccm imepoteza kura 2900 za wafanyabiashara, kura 5000 za wanafamilia wa wafanyabiashara na kura 10000 za wafanyakazi wa wafanyabiashara hao
Kwani CCM Wamekwambia wanahitaji kura Kwani hujui wakati wa kukaribia Uchaguzi mkuu Mambo yenu tuta yaweka sawa na mtakuwa vipofu
 
Uwe unatumia akili na tafiti kabla haujaja kuropoka hapa. Swala la machinga limefanya wengi biashara iyumbe. Wala sio onachoropoka hapa. Na ufahamu walipa kodi wanapungua machinga hana hata risiti. Hizi akili za fisiemu sijui zikoje.
 
Yaani unaongea kama kabibi fulani hivi cha ajabu utakuwa kijana mdogo tu..
Au una undugu na Bashite wa Kolomije au St. JPM wa Ruwendele?
Na rudia kusema tena waondokeeee.....Tubaki na tutengeneze wafanya bishara wapya wenye uzalendo na NCHI HII.......kama na wewe ni mmoja wao ONDOKA tuachie KIZIMBA CHETU HAPO KKOO.........hatutaki kikazi cha NUKSI SISI.....
 
wewe
Uwe unatumia akili na tafiti kabla haujaja kuropoka hapa. Swala la machinga limefanya wengi biashara iyumbe. Wala sio onachoropoka hapa. Na ufahamu walipa kodi wanapungua machinga hana hata risiti. Hizi akili za fisiemu sijui zikoje.
mpuuzi kweli kweli...NI UTAFITI UPI NA WEWE ULIO UFANYA????? zaidi ya kudandia MAADA ZA WAVUTA BANGI WENZIO HUMU......muulize mleta mada au source ya habari KAFANYA UTAFTI UPI UO WA KUJUA 2900????
 
Na kwenye kampeni 2020 wakati wa kuomba kura washauri walioshika nchi wakope maneno yako wayatumie kwenye kampeni mnaweza pata ushindi wa kishindo.
 
Maisha ya nibebe ni bembeleze nikuibie yameisha nenden tuuuu
 
Hasira za nini mkuu?
 
Unaweza kuta wewe ni mtumishi wa umma.
Hivi unajua mishahara yenu ya mwezi wa pili ilikopwa wapi?
Mtumishi wa umma anajielewa watake radhi,atakuwa kula kulala Kwa shemeji chakula tayari njoo ile,mhangahikaji awaezipost hivo.
 
Nyama zimeshuka bei machinjioni Kutokana na kushuka bei ya ng'ombe vijijini.
Raha sana siku hizi nyama kwangu kama maharage si Mboga nakula kila siku hasa Jioni hivi Niko dogo la kuchomea nyama nyumbani linauzwa Bei gani?
 
Nyama zimeshuka bei machinjioni Kutokana na kushuka bei ya ng'ombe vijijini.
Mbali na kushuka bei sababu ya ukame vijijini, watu hawana uwezo wa kununua nyama sababu ya ugumu wa maisha, kila zama na kitabu chake,atakuja mwingine ataachia,ndo maisha yetu kwenda mbele kurudi nyuma kurudi nyuma kwenda mbele.
 
Mkuu hali ya Raia wa Taifa hili lililofilisika ni Mbaya Sana, ni Kila mahali, Watu wana huzuni ktk Nchi Yao
 
Adui wa Uchumi ni kutokusanya kodi, na adui wa kodi informal business sasa cha kushangaza mkuu marafiki na inform.
 
Kijana umewahi kufanya biashara yoyote hata ya kuuza mapera ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…