Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Yaani unaongea kama kabibi fulani hivi cha ajabu utakuwa kijana mdogo tu..
Au una undugu na Bashite wa Kolomije au St. JPM wa Ruwendele?
Au una undugu na Bashite wa Kolomije au St. JPM wa Ruwendele?
WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......kwani uwepo wao kwa sasa umetupa UNAFUU UPI WA MAISHA??/na wakiondoka watatupa unafuu upi au UGUMU upi wa maisha???
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA 2900 TU...?????A HIZI ZOTE NI PROPAGANDA ZA WAATHIRIKA WA UKOSEFU WA VIROBA (UKOVI) wa makao makuu UFIPA......maana akili zao zinawaaminisha wao ndio wangekuwa wameishika NCHII hii MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....