white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Wee kaa ukifikiria uchumi una kuzwa kwa kauli mbiu tu. Bila mipangilio thabiti eti nchi ya viwanda!! Unadhani hao wawekezaji wanakurupuka tu bila kuangalia jinsi serikali inavyoendeshwa!! Serikali inaendeshwa kwa matamko tu nani aje awekeze kwa mazingira hayo!! Mfano sakata la viroba duniani kote sheria inapotungwa huwa haianzii nyuma bali huanzia pale ilipotungwa na kwends mbele, ila kwa kuwa tunaendeshwa kwa mzuka. Ndio hivyo kulikuwa na shida gani kwa stock ya viroba iliyokuwepo kuachwa ikauzwa ikaisha ndio wazuie? Kitu kilikuwa halali kisheria mwezi mmoja badaye kimekuwa halamu!?? Uchumi ni namba hakuna kudanganya ni suala la muda tu!! Hayo mapato ya mwezi feb umeyasikia??WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......kwani uwepo wao kwa sasa umetupa UNAFUU UPI WA MAISHA??/na wakiondoka watatupa unafuu upi au UGUMU upi wa maisha???
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA 2900 TU...?????A HIZI ZOTE NI PROPAGANDA..maana akili zao zinawaaminisha wao ndio wangekuwa wameishika NCHII hii MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....