Wafanyabiashara 2,900 kuhama soko kuu la Kariakoo

WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......kwani uwepo wao kwa sasa umetupa UNAFUU UPI WA MAISHA??/na wakiondoka watatupa unafuu upi au UGUMU upi wa maisha???
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA 2900 TU...?????A HIZI ZOTE NI PROPAGANDA..maana akili zao zinawaaminisha wao ndio wangekuwa wameishika NCHII hii MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....
Wee kaa ukifikiria uchumi una kuzwa kwa kauli mbiu tu. Bila mipangilio thabiti eti nchi ya viwanda!! Unadhani hao wawekezaji wanakurupuka tu bila kuangalia jinsi serikali inavyoendeshwa!! Serikali inaendeshwa kwa matamko tu nani aje awekeze kwa mazingira hayo!! Mfano sakata la viroba duniani kote sheria inapotungwa huwa haianzii nyuma bali huanzia pale ilipotungwa na kwends mbele, ila kwa kuwa tunaendeshwa kwa mzuka. Ndio hivyo kulikuwa na shida gani kwa stock ya viroba iliyokuwepo kuachwa ikauzwa ikaisha ndio wazuie? Kitu kilikuwa halali kisheria mwezi mmoja badaye kimekuwa halamu!?? Uchumi ni namba hakuna kudanganya ni suala la muda tu!! Hayo mapato ya mwezi feb umeyasikia??
 
Naona TRA makusanyo yataongezeka...
Lazima tuwe mashetani wote
Mahindi na Mchele pia bei chee nasikia kwa Mwanza..na Dsm kilo 1200 tuu..😉. Lakini kumbuka ng'ombe wameshuka bei kutokana na UKAME na Vyakula halikadhalika bei chee sababu mavuno mengi hakuna UKAME..Great Thinker come on and say...
 
WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......kwani uwepo wao kwa sasa umetupa UNAFUU UPI WA MAISHA??/na wakiondoka watatupa unafuu upi au UGUMU upi wa maisha???
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA 2900 TU...?????A HIZI ZOTE NI PROPAGANDA..maana akili zao zinawaaminisha wao ndio wangekuwa wameishika NCHII hii MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....
Kibstec uko sawa kabisa,
Hata wakiondoka hawatatupunguzia kitu chochote.....wafanyabiashara hawana mchango wowote kwenye nchi yetu kabisa nakubaliana na wewe...
Kodi zote serikali inakusanya kwa wakulima na wafanyakazi....nampongeza sana mwalimu aliekufundisha somo la uchumi....hao 2,900 kwanza ni kitu gani kwa nchi ya watu zaidi ya 45 milioni!
Wao waende zao watuachie nchi yetu.....
Tunahitaji GT kama wewe ndugu yangu Kibstec ili kuitoa nchi yetu hapa ilipo....
 
Wafanyabaishara 2,900 kutoka Ilala wamefunga biashara zao, wengine kuhamia DRC na Msumbiji kutokana na mdororo wa kibiashara- HT @ MWANANCHI

Daah Leo Nimeona Nyama 1Kg inauzwa sh. 5,000/= Kwa Dar es salaam kutoka 8,000/=

Myth.

Sasa ulitaka ibaki hiyo hiyo 8000 wakati tulikua tunalia gharama za maisha zipo juu .
 
Wafanyabaishara 2,900 kutoka Ilala wamefunga biashara zao, wengine kuhamia DRC na Msumbiji kutokana na mdororo wa kibiashara- HT @ MWANANCHI

Daah Leo Nimeona Nyama 1Kg inauzwa sh. 5,000/= Kwa Dar es salaam kutoka 8,000/=

Myth.

Mi kila siku naangaika kupata sehemu ya kufanyia biashara lakini na kuta tayari imeshikwa wakiondoka wazamani wapya wanakuja mfanya biashara unatakiwa ukabiliane na hali yoyote utakayo kutana nayo
 
WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......kwani uwepo wao kwa sasa umetupa UNAFUU UPI WA MAISHA??/na wakiondoka watatupa unafuu upi au UGUMU upi wa maisha???
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....

Mkuu jaribu hata siku 1 ufungue biashara ya kashata ili ujue biashara zinaendaje, inawezekana hiyo ajira inakupa kilema cha akili
 
WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......kwani uwepo wao kwa sasa umetupa UNAFUU UPI WA MAISHA??/na wakiondoka watatupa unafuu upi au UGUMU upi wa maisha???
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA 2900 TU...?????A HIZI ZOTE NI PROPAGANDA..maana akili zao zinawaaminisha wao ndio wangekuwa wameishika NCHII hii MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....
We jamaa inaonekana huwa kukinga mwisho wa mwezi.
 
Sasa si ndo vizuri? Mlikua mnalalamika mfumuko wa bei za vyakula, nyama imeanza kushuka bei pia mnalalamika[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwahiyo mleta mada unalalamika bei ya nyama kushuka ama nini
Muuzaji hulalamika bei ya bidhaa anayouza ikishuka bei,mnunuaji hulalamika bei ya bidhaa anayonunua ikipanda bei
 
Na rudia kusema tena waondokeeee.....Tubaki na tutengeneze wafanya bishara wapya wenye uzalendo na NCHI HII.......kama na wewe ni mmoja wao ONDOKA tuachie KIZIMBA CHETU HAPO KKOO.........hatutaki kikazi cha NUKSI SISI.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi ni akili za kuonea wivu wanaopata. Unahisi wakitumbuliwa maisha yako yatakuwa mazuri....
 
Back
Top Bottom