Kazi ya serekali sio kufukuza machinga barabarani kunauzembe umesababisha machinga kujaa barabarani ukiwafukuza unataka wafe njaa,Serekali ni watu pia bila watu uwezipata SerikaliNi kujiaminisha tu. Serikali ikiwa na dhati kabisa harudi mtu hata mmoja.
kwani si kuna CCM Arusha ,watawatetea tuHawana mtetezi
Acha kukurupuka kujibu kitu usichokijua au kukielewa. Hapa mlalamikaji au mpangaji alishiriki kujenga fremu katika kiwanja cha manispaa ya jiji la Arusha kwa makubaliano maalum.Kwani wamelazimishwa kulipa kodi? Halmashauri ya jiji ni mwenye nyumba kwa maana ya kwamba yeye ndiye anayechukua kodi anayoona kwamba itamlipa am kumrudishia gharama...
Sasa unashangaa nini!? Unataka wauze bila kulipa kodi!? Watafungua tu na kodi watalipa na sio kuruhusu biashara holelaBaada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na kupelekea wenye maduka kugoma kwa muda usiojulikana.
Wafanyabiashara wafunga maduka kisa kupandishiwa kodi | Mwananchi - Wafanyabiashara wafunga maduka kisa kupandishiwa kodi
Yaani ni zaidi ya Pimbi!We Pimbi CDM inaingia vipi hapa?
Nyie MaCCM kwanini hamtetei wapiga kura wenu??Hawana mtetezi
Ndugu yangu nchi hii tumejaza mapimbi sana!Wewe kwenda kupanga nyanya zako chini pale Friends corner tena barabarani uliona ni sahihi??
Wezi wa kuraNyie MaCCM kwanini hamtetei wapiga kura wenu??
hapa tayari umeshapanic 😀Tuko bize kutetea MIGA, Ushoga na Acacia
Kazi iendelee!!Wafanyabiashara zaidi ya 100 wa maduka katikati ya jiji la Arusha wamefunga maduka yao bila kikomo wakipinga kupandishiwa mara dufu Kodi na halmashauri ya jiji la Arusha kutoka kiasi Cha sh,150,000 hadi sh,300,000 kinyume na utaratibu.
Aidha wamemwomba Rais Samia Suluhu na waziri Ummy Mwalimu kuingilia Kati ili kuondoa unyanyasaji huo unaosababisha washindwe kufanya biashara zao kwa uhuru.
Wakiongea na waandishi wa habari Jana, wafanyabiashara hao ambao ni wajenzi wa maduka hayo yaliyopo eneo la ranger safari, wamedai kuwa kitendo Cha halmashauri hiyo kupandisha Kodi ya pango kinyemela hakikuwa na makubaliano bali halmashauri hiyo imetumia ubabe wakati mwafaka ulikuwa bado haujafikiwa.
Baadhi ya Wafanyabiashara hao Godluck Alick na Amani Mollel wamedai kuwa Jana siku ya kusherehekea miaka 60 ya uhuru wa Tanzania ,baadhi ya maofisa wa jiji wakiwa na migambo kadhaa walivamia katika maduka hayo na kuwakamata viongozi wa wafanyabiashara hao na kuwapelekea polisi wakidai wanashinikiza wafanyabiashara wasilipe Kodi.
"Hili suala lilishazungumziwa na mkuu wa wilaya aliyepita Mbele ya mkurugenzi wa jiji na kufikia mwafaka kwamba wafanyabiashara hao waendeleee kulipa Kodi ya zamani ya sh,laki Moja na nusu ,lakini tumeshangaa hapo jana jambo hili limeibuka upya"alisema Mollel.
Naye mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara hao,Loken Masawe na Katibu wake,Hamidur Jamari wamemwomba Mkurugenzi wa jiji la Arusha kukaa na Wafanyabiashara hao ili kuondoa sintofahamu inayojitokez Kwa Sasa Kwa kuwa msuguano huyo umekuwa wa muda mrefu unaosababisha adha Kwa wananchi.
"Hawa Wafanyabiashara ndio waliojenga haya maduka wanamchabgi wao mkubwa Kwa Serikali,huyu mkurugenzi akutane na Wafanyabiashara na awaheshimu Kwa mchango wao kitendo Cha kuwatumia mgambo siku ya uhuru na kuwakamata viongozi wao awaombe Radhi sio Cha kiungwama"alisema Masawe.
Aidha mwenyekiti huyo amedai kuwa wafanyabiashara hao hawatafungua maduka Yao katika muda usiojulikana ili kushinikiza halmashauri hiyo kukaa kitako ili kufikia mwafaka Kwa kuwa wao ni sehemu ya wamiliki wa maduka hayo.
Katika hatua nyingine Wafanyabiashara waliopanga katika maduka mapya ya halmashauri hiyo yaliyopo eneo la Disemba nao wamegoma kufungua wakidai kiwango cha Kodi wanachotozwa na halmashauri hiyo ni kikubwa na sio rafiki na hakina usawa katika maduka hayo.
Mmoja ya wapangaji wa maduka hayo,Modester Kapinga alidai kuwa Kodi wanayolipa kwa Sasa ya sh,300,000, 400,000,500,000 na 600,000 ni kubwa na haiwalipi ukizingatia kwamba maduka hayo ni madogo na haya biashara.
Akijibu hoja za Wafanyabiashara hao mstahiki meya wa jiji la Arusha Maximilian Iranghe alisema uamuzi wa kupandisha Kodi ni uamuzi uliotolewa na baraza la madiwani baada ya kujiridhisha kuwa Wafanyabiashara hao wanalipwa kiasi kidogo Cha Kodi .
"Haya maamuzi yametolewa na baraza la madiwani halmashauri ni watekelezaji tu ,hao Wafanyabiashara wanalipwa Kodi ndogo Sana"alisema Meya Kwa kifupi.
Awali mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dkt John Pima alidai kuwa suala la Kodi halina mjadala na asiyetaka kulipa kiasi cha sh, 300,000 Kwa mwezi aondoke .
"Hayo maduka ni Mali ya halmashauri na hakuna mjenzi aliyejenga hao ni wapangaji kama wapangaji wengine na hawawwI kutupangia Bei ya pango na asiyetaka kulipa aondoke "alisema
Aliongeza kuwa wiki ijayo halmashauri hiyo inaanza operesheni ya kuwaondoa wenye Madeni makubwa .
Ends...
View attachment 2040142View attachment 2040143View attachment 2040144View attachment 2040145
Wafanyabiashara zaidi ya 100 wa maduka katikati ya jiji la Arusha wamefunga maduka yao bila kikomo wakipinga kupandishiwa mara dufu Kodi na halmashauri ya jiji la Arusha kutoka kiasi Cha sh,150,000 hadi sh,300,000 kinyume na utaratibu.

Haya siyo machafuko bali ni hali halisi ya uhitaji wa haki.Wafanyabiashara zaidi ya 100 wa maduka katikati ya jiji la Arusha wamefunga maduka yao bila kikomo wakipinga kupandishiwa mara dufu Kodi na halmashauri ya jiji la Arusha kutoka kiasi Cha sh,150,000 hadi sh,300,000 kinyume na utaratibu.

Chama chakavu ndiyo kichaka cha hao watendaji wabovu na wewe uko humo humoSitakubali, nasema sitakubaliii, kuna watendaji wabovu wanafanya blunder huko kishazigo naangushiwa mimi, nasema sitakubalii".