Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

Wafungue tu biashara zao maana huo ni utekelezaji wa baraza la madiwani, Jiji. Ukifunga biashara yako utapata hasara mwenyewe na kodi lazima ulipe, Watu wamelelewa vibaya mpaka wanaingiza siasa kwenye mambo ya msingi.
 
Kazi ya serekali sio kufukuza machinga barabarani kunauzembe umesababisha machinga kujaa barabarani ukiwafukuza unata wafe njaa,Serekali ni watu pia bila watu uwezipata Serikali
Kumbuka kuwa machinga wanajua wametenda kosa kwani hakuna anayetuhusiwa kufanya biashara pembeni ya barabara, walijua kosa ni lao ndio maana baada ya hasira kuisha wakaondoka bila ya ubishi.

Hukohuko walipo wamejijengea mazingira ya kupata mikopo na misaada mingine ya kibiashara, ile ilikuwa ni vurugu mechi sio ufanyaji wa biashara.

Kumbuka kuwa hayati JPM alikuwa ni populist leader huwa haangalii mambo madogo yanayotokana na maamuzi makubwa anayoyaamua. Anatafuta sifa za jumla jumla, mileage za jumla jumla.
 
Hatua njema. Wakikomaa mbona kitaeleweka tu?

Udhwalimu hukataliwa kwa vitendo.

Maneno matupu hayavunji mfupa!

Cc: CDM, CCM
Kwani udhalimu bado upo?

Si aliondoka nao yule mbaya wenu?
 

Kwa pale ranger Yale maduka mapya 300,000 Ni Haki kabisa! Waache Kama yatakosa watu
 
Kwani hiyo Halimashauri si inaongozwa na CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli wapinzani walikuwa wanatuchelewesha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lazima wagome. Haiwezekani kodi ipande kinyemela hivyo.
Sio kodi kupanda kinyemela, hiyo 150,000/= inawatosha, zaidi ya nini? Watu maofisini wanafikiria namna ya kupata fedha kwa wakulima, wafanyabiashara na hata wananchi, huku wakiweka mifumo ya kuzitumbua kwa posho, marupurupu, misafara n.k! Hawajui biashara ni struggle kupanda na kushuka!
 
Tena Mkuu Kwa kuongezea, Wala Hamna kodi iliyopanda, Kuna jumuiya inaitwa JWT pamoja na madalali ndo Wanaendesha huo mgomo Kwa maslahi yao.
Kodi ilkua inalipwa 150,000 jiji na 150,000 Kwa dalali. Hawa madalali MIKATABA yao ilishaisha. Jiji linataka hiyo fedha yote walipwe wao Kwa maana jiji ndo wamiliki halisi wa hivyo vibanda.
 
Acha kupotosha uma. Tuwe wazalendo Kwa nchi yetu. Mimi nilijenga kibanda hapo stendi ndogo. Katika mkataba wa ujenzi, tulikubaliana tufanye biashara/tukae bure bila kulipa chochote Kwa muda wa miaka kumi. Baada ya miaka kumi vibanda rasmi vilirudi manispaa ( Sasa Jiji) tukaanza kulipia Kodi. Naa tulikua tunaingia mkataba wa mwaka mwaka. Bàadae wengi WETU sisi wajenzi OG waliuza vibanda na wengine walipangisha.

Kuna mtu anaitwa Moris Makoy hapo stendi ndogo, huyu alipewa zabuni ya kukusanya Kodi za pango na kuwakilisha Jiji. Huyu Sasa ndo alisababisha vibanda kupanda Bei Mara dufu. Akawa anafungiwa watu vibanda na akawa kama vile anavimiliki hivyo vibanda. Hapa Sasa ndo alijivunia vibanda vyaa kutosha na akaanza kuvioaangishabkwa Bei ya juu. Wengine nao wakamwiga na waakapandisha Bei. Bàadae Kodi ilianza kupelekea Jiji na Sio kwake Tena. Pale Sasa ndo wakawa wanakusanya Kodi Kwa wapangaji na na lazma mpangaji alipe Kodi ya mwaka mzima na wanazitumia na hawazipeleki jiji. Ndo mwanzo wa hiyo migogoro unayoskia.

Wajenzi wa Sasa asilimia 98 walivinunua hivyo vibanda, hivyo hawaufahamu hata mkataba wa mwanzo ulkua na vipengele gani. LAKINI serkali inapoteza mapato makubwa sana Kwa kuachia hiki kikundi KIDOGO Cha watu kuhodhi hayo maeneo naa kuikwamisha serkali na kusumbua wafanyabiashara
 
Unalipwa shs ngapi kutetea ujinga?
Silipwi hata shilingi 100. Mimi ni mjenzi halisi na nakerwa Sana na tabia ya Hawa wanunuzi madalali kisababisha migogoro kilaa uchwao. Mimi nafanya biashara Kwenye kibanda nilichojenga, na nafahamu hiki kibanda ni Mali ya halmashauri, na tutasaini mkataba. Nafahamu kwamba siruhusiwi kupangisha, nikishindwa nitakirudsha Jiji.
Hii migogoro inayosimamiwa na Lokeni siafiki kabisa. Na hii michango ya mabango kila mara Shokia anakusanya kwa kweli imetuchosha. Tutaishi hivi Hadi lini, jamani tumevuna vya kutosha. Tusisumbue serkali
 
Wizi na ujambazi wa serikali unatamalaki
 
Watafunguwa acha njaa iwapige kwanza. Kodi gani imepandushwa!? Hawa ndiyo wakwepa Kodi waliokuwa wamewajili wamachinga. Sasa kimeumana wameanza kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…