Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Mabomu ya Nini tena Kwenye maandamano. Ya Amani.Mabomu yakipigwa watakimbilia wapi?
Maslahi binafsiBandari ndo source ya shida zote hizi...
Hatari Sana , viwanda vyetu vinahujumiwa na mapinduz ya kilimo ya bashe hatuyataki mwisho tumebak kuexport drugs na kujiuzaTanzania tunaagiza mno kuliko tunachozalisha. Hiyo inasababisha biashara kuwa nyingi kuliko wateja. Hapo kitakachotokea biashara kuwa ngumu, utokaji mgumu, fitina na hujuma Zitakuwa nyingi.
Hata kodi zikipunguzwa itapunguza makali kwa muda tu, baadae yatarudi yaleyale
Bandari inatakiwa iexport vitu toka tz kwenda nchi zingine duniani. Sio kuagiza tu.
Yani wanagoma wakati kuna msiba wa taifa?Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la kariakoo.
Sababu za kuitisha mgomo
1. Urasimu bandarini
2. Usajili wa stoo
3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuaguzi wa risiti
Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi.
Rai kwa mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka hili jambo lisitokee. Pale ni kitovu cha biashara ukanda huu. Makosa kidogo tunaweza hamisha hii biashara kwa jirani zetu.
Mkuu heshima kwako.Tanzania tunaagiza mno kuliko tunachozalisha. Hiyo inasababisha biashara kuwa nyingi kuliko wateja. Hapo kitakachotokea biashara kuwa ngumu, utokaji mgumu, fitina na hujuma Zitakuwa nyingi. Vita za kibiashara pia zinasababisha watu kufanyiana hujuma kwa kupandishiana kodi na tozo na fitina bandarini.
Hata kodi zikipunguzwa itapunguza makali kwa muda tu, baadae yatarudi yaleyale
Bandari inatakiwa iexport vitu toka tz kwenda nchi zingine duniani. Sio kuagiza tu.
Mmeomba ruhusa Polisi? Au mmetangaza tu kwenye media?Mabomu ya Nini tena Kwenye maandamano. Ya Amani.
Tuweni wastarabu
Wakinga na wachaga wamezoea wizi sasa wamebanwa na serkali huku china ikifanya yake kwa kunyooka wanalialia tuKuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la kariakoo.
Sababu za kuitisha mgomo
1. Urasimu bandarini
2. Usajili wa stoo
3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuaguzi wa risiti
Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi.
Rai kwa mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka hili jambo lisitokee. Pale ni kitovu cha biashara ukanda huu. Makosa kidogo tunaweza hamisha hii biashara kwa jirani zetu.
πππHatari Sana , viwanda vyetu vinahujumiwa na mapinduz ya kilimo ya bashe hatuyataki mwisho tumebak kuexport drugs na kujiuza