mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Point kubwa sana hiiTanzania tunaagiza mno kuliko tunachozalisha. Hiyo inasababisha biashara kuwa nyingi kuliko wateja. Hapo kitakachotokea biashara kuwa ngumu, utokaji mgumu, fitina na hujuma Zitakuwa nyingi. Vita za kibiashara pia zinasababisha watu kufanyiana hujuma kwa kupandishiana kodi na tozo na fitina bandarini.
Hata kodi zikipunguzwa itapunguza makali kwa muda tu, baadae yatarudi yaleyale
Bandari inatakiwa iexport vitu toka tz kwenda nchi zingine duniani. Sio kuagiza tu.
Ova