raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Utazoea tu kikapu hicho worry out 🍻Mkuu raraa reree please 🙏🏿 rudisha avatar picha Yako ya awali tuliyokuzoea uliyovaa kofia please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utazoea tu kikapu hicho worry out 🍻Mkuu raraa reree please 🙏🏿 rudisha avatar picha Yako ya awali tuliyokuzoea uliyovaa kofia please.
Swali zuri sana.Mkuu heshima kwako.
Unadhan nin kifanyike?, Kumbuka serikali haina uwezo wa kufanya biashara wala kuendesha viwanda.
Tanzania siku hizi limekuwa Taifa la Wachuuzi tu na si wazalishaji, kila Mtu siku hizi ni mfanyabiashara,tena biashara nyingi ziko kwenye mitandao hata fremu hakuna!!Tanzania tunaagiza mno kuliko tunachozalisha. Hiyo inasababisha biashara kuwa nyingi kuliko wateja. Hapo kitakachotokea biashara kuwa ngumu, utokaji mgumu, fitina na hujuma Zitakuwa nyingi. Vita za kibiashara pia zinasababisha watu kufanyiana hujuma kwa kupandishiana kodi na tozo na fitina bandarini.
Hata kodi zikipunguzwa itapunguza makali kwa muda tu, baadae yatarudi yaleyale
Bandari inatakiwa iexport vitu toka tz kwenda nchi zingine duniani. Sio kuagiza tu.
Police KAZI yao ni kuhakikisha usalama siyo kupambana na waandamanajiMmeomba ruhusa Polisi? Au mmetangaza tu kwenye media?
kwani wanafanya maandamao au wanagoma (labda kwa kufunga maduka)?Mmeomba ruhusa Polisi? Au mmetangaza tu kwenye media?
Haya nyie jichanganyeni!Police KAZI yao ni kuhakikisha usalama siyo kupambana na waandamanaji
Jichanganyeni!kwani wanafanya maandamao au wanagoma (labda kwa kufunga maduka)?
Bro hujui kiundani unavyozungumzia uzalishaji bila kuimport. Nakuambia kwa kifupi. Hii nchi gharama ya kuanzisha kiwanda ni kubwa kuliko kuagiza. . Kwa mfano ukienda china huwez kukuta kiwanda kimoja cha viatu. Unakutana na assemble center.😂😂😂
Inahitajika akili ya ziada ili kuelewa mambo hayo. Hii akili ya kuagiza (import) yaani kila kitu tunaagiza ndio imelemaza akili. Kila mtu ni kuagiza tu, china,dubai, uturuki, dubai. Hapo kiufupi wafanyabiashara wanaona wanafaidika. Ila kiukweli wanafaidika wachina. Maana bidhaa nyingi mno za kariakoo ni za china.
Huu mgogoro wa sasa hivi chanzo ni wafanyabiashara wa vitenge, nasikia kuna kodi imeletwa kwa vitenge toka nje.
Ila yote kwa yote soko la kariakoo linamfaidisha sana mchina.
NB: Bashe ana hoja ila sio kila mtu atamuelewa. Tunatofautiana akili. Siku bashe akikomaa na pamba. Na viwanda vya kutengeneza nguo na pamba, pia nguo ambazo zina mchanganyiko wa pamba na synthetic fibers nitamuelewa zaidi. Ila ni aibu sana, nchi za jangwa wanalima kuliko sisi na tunaagiza toka nchi zenye jangwa, pia mpaka leo tunaagiza ngano 😂😂😂
Kwahiyo wasikaguliwe kama wametoa RISITI??Karia koo ni soko kubwa sana hapa Afrika mashariki na kati pamoja na kusini. Kariakoo ukienda kununua vitu jumla namanisha nguo, viatu mashine mbalimbali pamoja na vifaa vyote vya msingi nyumbani . Utakutana na wakongo, wazambia, wamalawai wa nyasa, wakenya, waganda nk
Watu wanataka kujenga nchi yetu lakini kuna croocks wapo hapo katikati wanaweka vizuizi wale rushwa.
Kama tunaagiza sana na kusababisha biashara kuwa nyingi basi ilitakiwa kuwe na low price kwenye hiyo biashara kwasababu ya ushindani.Tanzania tunaagiza mno kuliko tunachozalisha. Hiyo inasababisha biashara kuwa nyingi kuliko wateja. Hapo kitakachotokea biashara kuwa ngumu, utokaji mgumu, fitina na hujuma Zitakuwa nyingi. Vita za kibiashara pia zinasababisha watu kufanyiana hujuma kwa kupandishiana kodi na tozo na fitina bandarini.
Hata kodi zikipunguzwa itapunguza makali kwa muda tu, baadae yatarudi yaleyale
Bandari inatakiwa iexport vitu toka tz kwenda nchi zingine duniani. Sio kuagiza tu.
Risiti hazitoki, na huo ndio ukweli.Yupo Mkongo mmoja alikua anakuja kununua mzigo Kariakoo kakamatwa mara mbili akipeleka mzigo wake kwenye Fusso za Tunduma na risiti anapewa wanataka rushwa wanafungua mzigo wote ili wapate rushwa kahamia kununua SA anashangaa uhuru uliokuwepo nunua hata makontena mia wewe yape ulinzi tuu na si mambo ya kukwamishana kama Kariakoo...TRA wala rushwa ndio wanarudisha nyuma maendeleo ya Nchi kwa ubinafsi wao na wana kiwango maalumu cha rushwa...
Nchi hii kwa viongozi wetu hawa tulionao ni nani unayemtegemea atakuwa na time ya kukaa meza moja na wauza maduka kujadili maslahi ya wafanya biashara?Waachane Ni migomo ni njia ya kizamani Sana yakutatua migogoro...wakae meza moja nawahusika wayamalize.
"Ila list za kielectronic watoe waache janja janja "
Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la kariakoo.
Sababu za kuitisha mgomo
1. Urasimu bandarini
2. Usajili wa stoo
3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuaguzi wa risiti
Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi.
Rai kwa mamlaka zinazohusika kuchukua hatua za haraka hili jambo lisitokee. Pale ni kitovu cha biashara ukanda huu. Makosa kidogo tunaweza hamisha hii biashara kwa jirani zetu.
Mimi nashauri wa stick kwenye msimamo wao huo huo mpaka serikali itapoamua kuwasikilizaMkuu heshima kwako.
Unadhan nin kifanyike?, Kumbuka serikali haina uwezo wa kufanya biashara wala kuendesha viwanda.
Mgomo watu si wanafunga maduka yao tu,wanalala nyumbaniMabomu yakipigwa watakimbilia wapi?
Nchi ina bandari kubwa ila bidhaa hakuna ukienda Nairobi au Kampala pana zaga zama za kumwaga pana watu wanashusha Engine za magari hapo Nairobi karibu kila siku aisee wakati bongo ndio bandari tunazo za kutosha hivyo vitu vipo vichache maana TRA kila mfanyabiashara wao wanataka kumnyonya asifanye tena biashara labda awe anatoa rushwa na kukwepa kulipa kodi kwa watu walio nyooka ni ngumu kwenda nao sawa hao watu kwanza watakutengenezea mazingira magumu ili mradi tuu utoe chochote utasikia tunafanya ukaguzi wa miaka 12 iliyopita hiyo ipo Tanzania pekee ndio maana tunafanya vizuri SA na Zambia hata Malawi pia sio mbaya..Nchi hii kwa viongozi wetu hawa tulionao ni nani unayemtegemea atakuwa na time ya kukaa meza moja na wauza maduka kujadili maslahi ya wafanya biashara?
Hii kibongo bongo ipo kwenye movies tu
JichanganyeniMgomo watu si wanafunga maduka yao tu,wanalala nyumbani
Au mabomu watapelekewa majumbani mwao
Ova
USITUTISHEHaya nyie jichanganyeni!